vijana

  1. Kwanini vijana Watanzania wanaongoza zaidi kufuatilia na kujadili ngono na uchawi ?

    Katika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho. Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi...
  2. Responded Diwani wa Ilemi, Baraka Zambi: Vijana wote ambao wapo tayari kuacha uhalifu, ofisi ya Kata ipo tayari kuwapokea

    Wakazi wa Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wakizungumzia hoja ya kuzorota kwa hali ya ulinzi na usalama katika eneo hilo. Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi pamoja na viongozi wa serikali za mitaa wamesema kuwa licha ya kuwahi kutokea kwa baadhi ya matukio ya uhalifu, hali ya usalama imeendelea...
  3. Gwaride la Vijana Mwenge wa Uhuru 2026 Sumbawanga

    GWARIDE LA VIJANA WA HALAIKI WAKIWA WANACHEZA KATIKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2026. 📸📍Sumbawanga, Rukwa. Sehemu ya Gwaride la Vijana wa Halaiki wakinogesha Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru.
  4. Live From Sumbawanga: Kilele Wiki ya Vijana, Kuzimwa Mwenge na Nyerere Day, Sumbawanga Kuchele!, Ila Rangi ni Yanga!, As If ni Tukio la Chama Flani!

    Wanabodi, Mimi mwana Bodi mwenzenu niko hapa mjini Sumbawanga kwenye kilele cha Wiki ya Vijana, Kuzimwa kwa Mwenge wa Uhuru na Sikukuu ya Mapumziko ya Nyerere Day. https://www.youtube.com/live/7Skt4UMDoVs?si=WEikF_1rmCQaZX2k Karibuni Tufuatilie, Mzee Pasco Rejea; Hili la Vijana wa Chama...
  5. Mkumbo wa Vijana Kwenda Kulelewa na Vibibi vya Kizungu: Vijana Wakumbushwe Pesa Usiyoitolea Jasho Haina Thamani.

    Vijana wa sasa wanaamini sana kwenye shortcut, lakini wajue kabisa shortcut huwa ni kwa ajili ya dharura tu, ukiifanya kama ndiyo normal life yako hakika nawe hautatoboa.
  6. Mwenge wa uhuru wageuka baraka kwa wafanyabiashara Sumbawanga

    Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao. Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
  7. Niffer, Dada mwenye ushawishi mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

    Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili. Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM. Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29. Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM? Au kazi hii inaweza kumgharimu...
  8. VIJANA KUIPENDA TANZANIA NI PAMOJA NA KUDAI TANZANIA YENYE HAKI

    Uzuri wa nchi haupimwi kwa mataji inayoshinda, vivutio vya utalii inavyovimiliki, wala sifa inazopata kimataifa pekee. Nchi hupimwa pia kwa namna inavyowalinda wananchi wake, inavyosimamia rasilimali zao na inavyowajibika mbele ya watu wake. Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari...
  9. Vijana mmeamua kabisa kujiua wenyewe

    Natumai nyote hamjambo wakubwa kwa wadogo, narudia tena na kilio changu kwa kizazi cha 1985-2005 Kwani nyie mna vichwa gani au nyie mmeumbwa kwa udongo gani? Sigara nyinyi bangi nyinyi mirungi nyinyi ugoro nyinyi pariki nyinyi, pombe kali nyinyi jamani shida nini vijana? Asubuhi tu vijana mna...
  10. R

    Vijana nguvu mnayoiweka kwenye Derby mgeliiweka kwenye liberation struggle ya Tanganyika, tungelikuwa huru kitambo!

    Mtaa wote kelele, hakukaliki. Najiuliza nguvu hii ingelitumika kuikomboa TANGANYIKA, tungelikuwa huru mudà kitambo. Tumelogwa na nani!
  11. Vijana wa Sasa hivi wamezaliwa katika wakati nzuri sana

    Vijana wa Sasa hivi wamezaliwa katika wakati mzuri . Wakati ambao unaweza ukapost kitu kikaonekana na watu elfu Moja Means you can run business very easily kwakutumia teknolojia tu .
  12. KAMPUNI YA ALMASI YATOA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA WAZAWA 61 MKUTANO WA IPU

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha. Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
  13. Ni wikiendi nyingine tena ambayo inaenda kuharibu maisha ya vijana kadhaa

    ■KIJANA USIBABAIKE NA MAKEBO MAKUBWA ■DADA USIBABAIKE NA LIFTI YA CROWN NA HAYO MAHARRIER ■AKIKUAMBIA ASIKII UTAMU AKIWA AMEVAA CONDOM JIFANYE UMESAHAU KITU NJE ALAFU UKIMBIE BILA KUGEUKA NYUMA ■HIO CHUPA YA TATU WALIOKUNUNULIA NDIO INAENDA KUKUMALIZA, HIZO MBILI ZINATOSHA , NENDA NYUMBANI
  14. Waajiri acheni utapeli wa kutoa matangazo ya ajira Kwa Vijana bila kuweka wazi kiwango cha mshahara

    Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema! Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
  15. Dini imeharibu "critical thinking ya vijana wengi wa kiafrica na kiarabu. Wameipa nafasi kuu kama chanzo cha maarifa yao na muamuzi wa maisha yao

    Free will zenu zimemezwa na mafundisho ambayo alieandika mwenyewe alikuwa ana timiza uhuru wa maoni yake, je wewe maoni yako yako wapi, iko wapi mantic yako?, uko wapi utashi wako?
  16. Vijana msikubali kukaa kwa shemeji zenu kwa namna yoyote ile

    Na nyie ambao mnakaa kwa shemeji zenu muwe na heshima na adabu.
  17. L

    Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  18. Nasikia Vise mchawi ni Kili tu, akipiga tano tu. Tumswalie Mtume. Lakini mbona vijana wa GSM sio walevi sasa kuna shida gani wakuu ?

    Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
  19. O

    Vijana Waandamana Redeemed Gospel Church Buruburu Wakidai Haki kwa Jahenda

    Kundi la vijana liliandamana nje ya Redeemed Gospel Church, Buruburu, Nairobi, Jumapili Oktoba 4, 2026, likidai hatua zichukuliwe dhidi ya wasichana wanaoonekana kwenye video iliyosambaa wakimnyanyasa msichana anayetambulika kama Jahenda. Video hiyo inaonekana kuonyesha Jahenda akiwa...
  20. Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

    Marcostilone ERoni Grahams Dr am 4 real PhD mcTobby Hongereni sana vijana ingawa watasema hizi zote ni akaunti zangu😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…