vijana

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

    Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura.
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Vijana fanyeni mazoezi

    Vijana Mimi Nina mwezi Sasa nafanya mazoezi ya hatari maana toka nimetoka jkt sijawai kufanya mazoezi Kama mwezi huu. Najiweka fit mno na nipo fit Sana kiasi kwamba atakayejichanga tarehe 29 kitampata kitu. Nimefanikiwa kununua Lita 5 za petrol, Bunda la viberiti, Elementi, na vifaa vingine...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Vijana Wamegeuzwa Watumwa wa Mfumo Uliokufa – Ni Wakati wa Kuishtaki Akili ya Taifa!

    Ni aibu, ni fedheha, ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kuona taifa linaloitwa “lenye dira na maendeleo” linaendelea kubeba mizigo ya wazee vilaza wanaoshikilia vyeo kana kwamba ofisi za umma ni milki zao za kifamilia! Vijana wasomi, wenye critical thinking, innovation mindset, na uwezo mkubwa wa...
  4. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kuna neema inakuja kwa baadhi ya vijana, katika ushirikiano wa kimataifa

    Kuna sekta itapata neema ya kwenda nje kupata exposure, uzoefu na ujuzi katika tasnia/shughuli zao... Pia watarudi na vifaa vyenye technolojia ya kisasa kabisa ili kurahisisha kazi zao. Ni Kama Ile ya tasnia ya sanaa ya uigizaji walivyokwenda kule Korea... Neema hii Inaweza kua ni matunda ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania U-single sugu (loneliness epidemic), ni janga linalokua kwa kasi miongoni mwa vijana

    Za weekend Sometimes u-single ni kitu kizuri, ila u single sugu ndo ninaouzungumzia hapa/au kwa namna ingine naweza iita (loneliness epidemic) among vijana wa kike na wa kiume ni kubwa, vijana wengi wakiwa kwenye umri wa kuoa au kuolewa..hawana kabisa watu wa kufunga nao pingu za maisha, saa...
  6. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Nashauri polisi watupe mafunzo ya muda vijana tuongeze nguvu Oktober 29

    Za usiku mnene Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu Hii itaongeza nguvu zaidi dhidi ya hawa manyumbu wanachochea fujo Virungu tu vinatosha kuwakalisha hawa vijana wasiojitambua Oktober...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Queen Massanja si useme tu ukweli kuwa Vijana wakipanda hawashuki haraka na hutaka kusugua vilivyo ili Hela yao iende sawa?

    QUEEN: BORA DR. MWAKA VIJANA HAPANA _ Msanii wa bongo Movie Queen Masanja ambaye ni Ex-Wife wa Dr. Juma Mwaka amesema bora arudiane na mumewe kuliko kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na vijana wadogo wadogo. "Bora kurudi kwa mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, Vijana ni pasua...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Queen Masanja asema Bora arudi kwa mumewe kuliko hawa vijana wanakula viboga bila kuchoka

    Queen Masanja: "Bora nirudi kwa Mume wangu kuliko hawa Vijana wa siku hizi!". Msanii maarufu wa Bongo Movie, Queen Masanja, ambaye pia ni aliyekuwa Mke wa Dkt. Juma Mwaka, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kufunguka wazi kuhusu maisha yake ya uhusiano. Kupitia mahojiano yake, Queen...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Baba wa mmoja wa vijana waliouawa na miili yao kutupwa Mapinga asema mwanaye ni kama alinyongwa na kupigwa kwenye moyo

    Yani hawa walikamatwa na nani? Maana ukisikiliza maelezo ya huyu mzee anadai kwamba walikamatwa ila ndio hatujui ni wakina nani? Je, ni kuna dili walilicheza ambalo walikwenda kinyume cha makubaliano kwahiyo wenzao wameamua kuwamaliza? Maana wakati mwingine nao ndugu zetu bodaboda...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wazalendo waandaa mbao/mabango kwa ajili ya ujumbe kuelekea Oktoba 29

    This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Je, ajira mpya zaidi ya elfu 17 zilizotangazwa na Serikali ni kupunguza vuguvugu la vijana kuelekea uchaguzi mkuu?

    Ni nani Miongoni mwenu angeweza amini Hawa Vijana wa TikTok , wenye Miaka 18,19,20,21 ni Tishio Kwa Samia?. Sasa tazameni Kutoka Kwa LISSU Hadi PADRE KITIMA Hadi POLEPOLE Hadi MDUDE hadi Vijana wa miaka 18, 19, 20, 21. Kwa Mama mwenye Akili, Hawa bado ni watoto Kwa namna yoyote wanayobehave ...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawakumbusha Vijana Wakatoliki, Tarehe 29/10 tunaandamana huku tukimkumbuka Padre Kitima aliyenusurika Kuuawa na Mapadree wengine wanaotekwa

    Leo hii Padree Kitima, Katibu wa Balaza la TEC angekua mavumbini. Mapdre wengi wameamua Kuishi kijasusi kuwakwepa Watekaji na Wauaji , yote hii ni sababu tu ya kushauri Mapenzi ya Bwana wetu YESU KRISTO ! Mapadre wengine wametekwa na Kupotezwa !!. Hizi Hasira zooote Vijana wa Kiseminari ...
  13. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa vijana waliozaliwa 1990s, kinaweza ndo kikawa kizazi kitakachoiondoa CCM

    Naona ndo kizazi chenye watu wanaojitambua na kujua haki zao hapa Tanzania. So Ccm muwe makini Sana .
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msigwa: Vijana tunahamasishwa tu, ni tabia za kipuuzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akigusia Sakata la Mwendokasi ameweka wazi kuwa kuharibu miundo mbinu haiwezi kuwa suluhisho la changamoto.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vijana tukalinde Amani, tusikubali kushawishiwa kuharibu Amani yetu

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni leo Oktoba 12, 2025, Runzewe, Mkoa wa Geita amesema; "Nchi inayoitwa JMT iko moja peke yake, na toka nchi hii imeundwa tumepigana vita moja tu na Idi Amin na kwasababu...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Vijana wa KIDATO Cha NNE na chapili jiandaeni na mitihani. Wazazi iungeni serikali mkono watoto wavuke salama

    Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
  17. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Tuwambie vijana vijiweni uko nchi hii ni mali yao wana haki yakupata mgao wao kama wanavyogombania kodi za nyumba ya familia za urithi

    Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tiktok wanazungumzia maandamano kama wanafanya comedy

    Wimbi la watu kutekwa limeongezeka sana na wengi ni tiktokers, kule wanaongea waziwazi kama vile wanafanya comedy, kitu wasichojua ni kua adui yuko determined na hana aibu kufanya anayotaka kufanya. Pengine ni kweli wanaumia sana na yanayoendelea lakini pia kuna ile hali ya kupata ushujaa kwa...
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Na hawa ndio vijana wa kiTanzania watakaoandamana Oktoba 29?

    Kanda ya ziwa bado safari ni ndefu, sijui wamepatwa na nini Wananchi wa Buhongwa Wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi pembezoni mwa barabara, tayari kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku alituasa vijana tujihadhari na watawala wahuni leo hii naye kageuka kuwa Muhuni.

    GT Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu. Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini. Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni...
Back
Top Bottom