Wakuu,
Hapa Askofu alikuwa anaongea bila uoga tena na nadhani ujumbe wake utakuwa umefikia walengwa
Hivi kama watawala hawataki hata kuwasikiliza viongozi wa dini wanataka wamsikilize nani?
"Je hii ndio Tanzania mpya ya Kazi na Utu? Kanisa ikishindwa kuzungumza habari hizi imepoteza hadhi...
Tukiwa kama vijana jamani tujitathimini kwamba familia yako changa ya watoto wawili au watatu wadogo unamuachia nani. Lakini pia wazazi wako unawaacha na nani?
Lakini pia fanya tathimini ya kina kwamba sawa, hata ukikinukisha, wewe kuna direct benefit gani utayoipata. Yaani fanya ile wanaita...
#D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi.
Ili ushenzi wote uishe lazima tukakinukishe kwenye ofisi zao hatuwezi kukubali unyama huu uachwe kwenye nchi yetu.
Kuna watu mpaka hivi sasa hawajapata...
Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii..
Najua mioyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote..
Yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na...
Mjumbe wa CCM Halmashauru kuu ya taifa NEC ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia Jimbo la Malindi Hassan Ussi
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za CCM mkoa wa Dodoma leo tarehe 15 novemba 2025 Mbunge huyo amesema.
Serikali imetoa billion 200...
Hotuba iliwalenga vijana sana sijajua ilikuwa kwa makusudi au bahati mbaya .
Nahisi vijana wamekuwa kundi lilosahulika.
Jaribuni kujua mahitaji ya msingi na muwapatie.
Kuwapa waziri sifikirii kama inatosha .
Kudharau wasomi, kuwaita kumamako n.k imechochea chuki
Mama Tanzania kwanza.
Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ...
Shida ya Nchi hii ni CCM
Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara..
Kwanini?
Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza,
Utu/watu baadae...
Hiyo ndio slogan yao..
Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa...
Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya...
Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
FURSA FURSA
Natatafuta vijana wanaoweza kufanya kazi za kutunza mifugo kama ng'ombe, mbuzi Nk
Majukumu
Kuandaa malisho ya wanyama
Kulisha wanyama
Mshahara: 100,000
Kula na kulala buree
Vigezo: usiwe na umri wa zaidi ya miaka 22
Piga:0765 049 904
Askofu Nkwande wa jimbo katoliki la Mwanza amelaani vikali mauaji ya raia akisema kwamba "tulifungiwa ndani na waliotufungia ni wenzetu ndugu zetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu".
Nkwande aliyasema hayo wakati wa ibada maalumu ya kuwaombea waliouawa...
GT
Mkiambiwa nchi inaongozwa na watu.wa hovyo ni kama hilo zee.
Hili zee ni role model ya wabunge vijana huko linapaka superblack mvi zisionekane hovyo kabisa
Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Wakili, Boniface Mwabukusi, amesema kwa sasa Taifa linahotaji haki, ukweli na uwajibikaji, mambo ambayo amesema yatawawezesha watanzania kufahamu watatoka kwa namna gani mahali walipo kwa sasa, na sio kuanza kuwalaumu Vijana
Akizungumza na...
Hizi ni propaganda na miradi ya Serikali, sidhani kama ni akili zao timamu :COFFEE:
Vijana kwa sasa tunapanga Disemba 9 kudai haki
-------------
Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na...
Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu
Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani.
Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya
Mwangalie Traore
Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana.
Ukizeeka thinking capacity yako inakufa
Ndio...
Wakuu,
Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100.
Soma GE2025 - Ahadi za...
Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria.
Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
Vijana msishindane na serikali, mtulie, fanyeni kazi mule ugali na familia zenu
Siku ya maandamanlo ya tarehe 29 wengi waandamanaji walikuwa vibaka na wezi na ndl sababu wengi waliiibiwa
Sasa je,maandamano nikuaribu miundombinu? Ni kuiba maliza raia wenzenu?
Kwa wote waliouwawa bila hatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.