vijana

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vijana mnafel wapi? Jiaminini

    Mara ooh sins chapaa mtoto mzuri awezi nikubali,mara ooh sina kitu Hebu acha nitoe ushuhuda wangu binafsi.mimi kuna time sikuwa naela, nilikuwa na life gumu kidogo Nilipata offers nyingi kuotka kwa wadada wa kawaida mno ambao sikuwapenda.so nilidecline ofa zao Nilijiamin ingawasikua na ela...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Maandamano ni batili, vijana tusitumike

    Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jeshi la police kwanini mnawapeleka vijana walioandamana mahakamani wakiwa uchi na wamedhoofika kiafya?

    Hivi polisi mbona imekuwa taasisi iliyokosa hekima? Yaani unamtoa mtuhumiwa mahabusu hadi mahakamani bila kuwa na mavazi tena mbele ya hadhara na camera za waandishi Vijana walikuwa hawana nguo wala viatu Sasa kama mtu anafikia mahakamani akiwa uchi, huyu mtuhumiwa anaishije huko mahabusu...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

    Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele wa CCM vyuoni tunakukla nanyi. Taarifa iliyopo wanaandaliwa wanafunzi bandia kuingia vyuoni...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Walio wahamasisha vijana kuandamana na kuchoma moto miundombinu ndio wanao waonea huruma

    Kama adui yao alikuwa ni serkali kwanini wamechoma vibanda vya maskini wa taifa letu, Kama adui yao ni tume ya uchaguzi kwanini wachome mwondokasi. Walipanga kuwauwa na kuchoka moto nyumba za wanaccm huku wao wakijiita wanademokrasia. Walikuwa wanawahimiza kuandamana na kuwaambia wajitoe...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tujipongeze sana Vijana tulioandamana , Wakati alipouliwa Mmoja wetu, tulisonga mbele, Hii Spirit ni zaidi ya Enzi za Uhuru, Mapambano yanaendelea

    Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa. Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 GE2025 Aftermath: Ansbert Ngurumo atoa way forward ya kuepusha maafa zaidi. Vijana wasikilizwe. Ataja sauti ambazo zikisikika, vijana watatulia

    https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC Amesema haya: 1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa 2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo 3. Ameshauri way...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wito wa Mgomo kutoshabikia Simba ,Yanga na Taifa stars Kuanzia sasa Vijana tumeumizwa mno tusimamie nchi yetu.

    GT Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matumizi ya Tsh 600B za uchaguzi!!! Tusishangae vijana kuchoma nchi

    Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbatia asisitiza "Tupeni miili ya vijana wetu tuwazike"

    Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, James Mbatia amesema hali iliyojitokeza siku na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 nchini Tanzania, si suala la kisiasa pekee bali ni “maumivu ya wananchi walio wengi dhidi ya wachache”, kutokana na hali hiyo kugubikwa na maumivu, vifo- miongoni mwa mambo...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  12. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania APPRECIATION: Asanteni sana JWTZ walau kwa hicho kidogo mlichofanya

    Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza. Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji. Japo maumivu ya familia zetu ni makubwa na makali sana kutokana na kupoteza ndugu zetu, lakini binafsi naamini nyinyi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi. Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua. Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna watu humu wali wadhihaki vijana kwamba hawana la kufanya on 29th. Mko wapi sasa?

    😁😁 mna hali gani huko?
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Godbless Lema awashauri vijana, wakimaliza kupiga kura, warudi nyumbani wakalale

  18. H

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamedhihirisha ni Maadui wa JWTZ, Madaktari, Walimu, Vijana; Tuitikie Walichokianzisha Kila Mtu Kwa Nafasi Yake.

    Kwenye ile clip ya Muliro na Mafwele, Mafwele ametamba na kutoa idadi ya wanajeshi wa JWTZ waliowateka ambao bado wanawashikilia, akawataja idadi ya madaktari waliowateka na kuwashikilia, akataja idadi ya walimu waliowateka na kuwashikilia, amewataja wahasibu waliowateka na kuwashikilia...
  19. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nasaha kwa vijana kuelekea Oktoba 29

    Msikilize aliyekua kada wa CHADEMA akiwaonya vijana Tazama video hii jibuni hoja msimshambulie kijana ambaye anajielewa. https://www.facebook.com/share/v/16YHaW4dSB/?mibextid=wwXIfr
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

    Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura.
Back
Top Bottom