vijana

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vijana wamshinikiza bilionea Aliko Dangote kuwania urais Nigeria

    Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023. Vijana hao wanasema kuwa uzoefu wao itasaidia kuleta...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwafundisha vijana mahusiano yasiyo na hizi ngono zembe

    Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
  3. voicer

    JamiiForums Tanzania Kutoweka vijana watano Dar es Salaam na Uzembe wa Media za Tanzania. Hakuna Muendelezo wala Hitimisho

    Wanabodi, Nawasalimia popote mlipo. Mod's: pia nawasalimia nikiwatakia kazi njema. Twende kwenye Mada. Ni takriban wiki moja imepita tangu habari ya kutoweka katika mazingira tata.Kwa vijana watano huko Dar es Salaam. Tukio hilo liliripotiwa kutokea December 26/2021. Habari hiyo ilishika...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais asikitishwa na kifo cha mke wa RC Shigella, kuhusu vijana waliopotea hasikitishwi?

    Rais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa, familia, ndugu, jamaa na marafiki. Nawaombea moyo thabiti katika kipindi hiki kigumu. Mungu aiweke roho...
  5. Sanctus Mtsimbe

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Wazalendo; Moja ya sehemu ya maisha yangu ambayo kamwe sitasahu ni kupitia JKT. Nilijiunga na JKT Ruvu na baadaye nikaenda Service Buhemba Lwamkoma. Sitosahau kamwe mafunzo ya ukakamavu, kwata, mchaka mchaka, disko na vitimbi mbalimbali kati ya Makuruta na Maafande. Nilikuwa Combania E...
  6. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Vijana ambao bado hamjaoa oeni mabinti wa kazi

    Kwanza niwatakie mwaka mpya wenye baraka tele. Ninajua kuna vijana wengi ambao wamejiwekea malengo ya kupata jiko mwaka huu, ninawashauri mimi niliye pata jiko kwa mdada wa kazi kama miaka mitano hivi kuwa hawa wadada wanafaa kuolewa yaani ni mawife material kabisa. Wana heshima, busara na...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani uliipata kwenye Interview yako ya Kwanza? Mimi yangu hii

    AIBU NILIYOIPATA KWENYE INTERVIEW YANGU YA KWANZA. Anaandika Robert Heriel. Simulizi hii ni ya kweli, nimekumbuka tukio hili nikabaki nacheka Sana, naomba nishiriki pamoja nanyi huenda kuna atakayepata somo. Baada ya kumaliza elimu ya Chuo kikuu nikaamua kuwa fundi cherehani, nikiwa nashona...
  8. Mlachake

    JamiiForums Tanzania DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro amesema wamezipokea na wanazifanyia kazi kuweza kufahamu usahihi wake. ==== Dar es Salaam. Fears have...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wa Siku hizi 'wamerogwa' au 'wamelaaniwa' na nani hasa kimalezi, kiuwajibikaji na kimaadili?

    Yaani kabisa (Mtoto) Mvulana au Msichana wa Darasa la Tano hadi la Saba anafuliwa Nguo zake, anaamshwa kwenda Shule, akila anaacha Vyombo mezani House Girl avitoe na anaamshwa Asubuhi kujiandaa kwenda Shule? Na kinachonishangaza na Kunisikitisha zaidi unakuta Wazazi Wao kipindi cha Utoto...
  10. Mrkaswahili

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

    Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy). Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba...
  11. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Mkuu Kiranga, nimekutana na hii mitandaoni huko

    Mkuu ,Kiranga nmekutana na hii mitandaoni huko Nikaona nikupenyezee hapaa Hawa vijana wana matani sana na nyie😅
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania John Marwa: DarMpya Media hatutaomba radhi habari ya Patrobas Katambi

    Kama msimamizi wa DAR MPYA MEDIA LIMITED (Darmpya Blog&Tv Online) nasisitiza habari iliyoandikwa kumhusu N/W Katambi kuhusu kauli yake kwa vijana wa Tanzania ni maneno yake na hatuwezi kuomba radhi kwa sababu hatujakosea Ushauri: asipoteze muda kutishia Media. John Marwa CEO ========...
  13. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

    Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Vijana waache kulalamika na kuchagua sana kazi

    Ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa. Naibu waziri Patrobas Katambi anatoa maneno ya nyodo kiasi hiki kwa vijana!!!?
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanakosa ajira kwa sababu ni 'incompetent'

    Wanatakiwa waelewe, kampuni binafsi inahitaji mtu smati na aliyeiva kweli kweli, ili kuendelea kubaki kwenye nafasi yako; kwa sababu lengo la makampuni ni kutengeneza faida na si hasara. Sasa utakuta vijana:- Wengi hawajimudu kwa kile walichokisomea au wanachokielezea wanaweza kukifanya...
  17. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

    Naombeni mtujibu Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tuelekezane jinsi ya kupata mikopo ya serikali hususan kwa vijana

    Habari wakuu. Mtaani hali si hali mtaji umekua changamoto kubwa sana kwa vijana wengi. Wengi huishia tu madayworker na inshu za kuunga unga tu. Sasa huwa nasikia kuhusu mikopo inayotolewa na serikali kwa ajili ya vijana, walemavu na wanawake. Kwa waliowahi kuomba hii mikopo ama kuipata hii...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Usafiri unakwamisha vijana wengi kujinasua kiuchumi.

    Nikiuliza bei ya kiroba cha mihogo sokoni niliambiwa ni 70,000-80,000. Inamaana ukiwa na heka tano za mihogo Kisarawe, na una van ndogo inayoweza kubeba viroba vinne kwa siku. Una uwezo wa kuingiza laki tatu kila siku ukipelela mihogo soko la ndizi asubuhi. Jioni unawapa vijana viroba...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
Back
Top Bottom