Wengi mna apply kazi bila mafanikio na mnaenda mpaka Dodoma mkitumia gharama kubwa ila matokeo huwa hamna.
Wengine wale mnaaomba ma NGO bila mafanikio hali ni tete sana.
Ukweli ni kwamba kazi zinanunuliwa sikuhizi😎 asikwambie mtu kama huna connection usipoteze muda wako hutapata kazi hata...
Utashangaa JKT na Jeshi la Magereza wanahangaika na biashara ya kuosha magari na kufyatua tofali tena kwa kutumia mashine duni sana wanazotumia vijana mtaani.
Hii miradi ilipaswa waachiwe vijana. Wao watafute biashara zenye uwekezaji mkubwa.
Wakiosha magari vijana mtaani watafanya nini?
1. Kutumia Fedha uliyoipata kabla ya kuweka Akiba: Msemo wa 'Ponda Mali kufa kwaja' au 'Nimepata pesa hii kwa shida, acha nitumie' hupelekea Vijana wengi kufanya Matumizi yasiyo na ulazima na kukosa Akiba
2. Kutupa Risiti (Stakabadhi za Malipo): Unaweza kudhani risiti za vitu unavyonunua hazina...
Nimecheza michezo ya martial arts shorinji karate kuanzia nipo High school Kibaha sec. Hapa nilikuwa nakutana na vijana wengi walio hatua mbalimbali umahili wa michezo ya karate ila wengi wao ni jobless na wanavuta sana bhangi.
Nikiwa likizo nyumbani bado nilitembelea dojo mbali mbali na...
Kero zaoa mara nyingi ni kuwa wavivu, kuvuta bangi, kukataa mimba, n.k.
umuhimu wao sasa.
mimi hawakubali sana maana ni kiboko ya nyodo
Hawa ndio wale wanajua kuwanyoosha vile vidada vi sley Queen vya mjini wanavipa mimba vinarudi bushi kulea.
Yani hao ndio wanajua kupunguza speed ya viruka...
Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amesema ili kulinda utu wa vijana serikali itawalipa vijana kila mwezi, robo tatu ya kima cha chini cha mshahara wanachopokea wafanya kazi
Nchi hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta barani Afrika itawalipa vijana kila mwezi dinari 13,000 sawa na...
Vijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k.
Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji...
Kila mwaka, inakadiriwa takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani. Miongoni mwa Saratani zinazowaathiri zaidi ni pamoja na Leukimia na Saratani ya Ubongo
Katika Nchi zilizoendelea ambapo Huduma zinapatikana kwa kiasi kikubwa, zaidi ya 80% ya Watoto wenye...
"USIISHI KAMA MWENYEJI"
Anaandika Robert Heriel,
Mwanafalsafa.
Moja ya makosa makuu tunayoyakosea Vijana wa Zama za leo tuendapo Mijini au nchi za mbali, ughaibuni kutafuta maisha mazuri Kwa. Ajili yetu na familia zetu ni pamoja na "kuishi Kama wenyeji" mara tuu tufikapo ugenini, Mijini.
Hilo...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan L. Bukumbi ametoa ripoti ya matukio kadhaa ikiwemo lililohusisha wizi wa zaidi ya Shilingi Bilioni mbili mkoani humo.
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linafanya Uchunguzi/Upelelezi dhidi ya watuhumiwa wa wizi wa fedha za kitanzania kiasi cha TSh...
Na. Sifael Essau Mpollo.
Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
akaunti
ccm
chama
jifunze
kazi
kugharamia
maana
matibabu
nyingine
prof. jay
rais
rais samia
samia
serikali
serikali ya ccm
ummy mwalimu
upinzani
vijana
wajinga
watanzania
Moja ya Kiongozi Mwanamke aliyeweza kufanya mabadiliko makubwa ya utoaji huduma na kupanua uwazi Kwa wateja ni Kamishna Jenerali wa UHAMIAJI. Ametumia elimu yake kufanya mabadiliko makubwa na amefanikiwa kuzifanya huduma za UHAMIAJI ziwe kwenye mtandao kama nchi za ulimwengu wa kwanza.
Kwa...
Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni:
Sina pa kusemea, ukurasa wangu hapa facebook ndio kipaza Sauti changu.
Anyways, Sikuwa na matarajio mkubwa kwake kwa kuwa Sina Imani na kikundi cha watu(chama) kilichomweka kwenye nafasi hiyo, kwa mantiki hiyo pia Sishangazwi na jinsi anavyotupuuza wana...
Matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), miongoni mwa vijana ni makubwa sana kwa sasa.
Sina hakika kama vijana hawa wanajua athari za matumizi makubwa na ya Mara kwa Mara ya vinywaji hivi haswa kwa siku za mbeleni.
Pengine watu wanahitaji elimu juu ya matumizi ya vinywaji hivi...
Hizi taarifa zinazidi kutisha na kuumiza, Gazette la Mwananchi Online limeripoti kupotea kwa vijana watatu tangu tarehe 24/12/2021 Hadi Leo huku Jeshi la POLISI likishindwa kabisa kutoa maelezo ya wazi.
My take:
Huu utani POLISI wanaofanya kwa maisha ya Watu sio mzuri; walipotezwa Watu miaka ya...
Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023.
Vijana hao wanasema kuwa uzoefu wao itasaidia kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.