vijana

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ufanisi katika uendeshaji wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

    Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo; 1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
  2. OLS

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Nini suluhisho kwa vijana wetu walio mitaani wasiokuwa na Ajira?

    Wazazi na vijana wamepoteza kabisa matumaini ya maisha, wanaishi kwa misongo ya mawazo kila siku. Kila siku afadhali ya jana na serikali imetamka kuwa haiwezi ajiri vijana wote wanaotoka vyuoni bali wajiajiri. Lakin haiwawezeshi njia za vijana hao kujiajiri, Bali ni matamko tu. Kwa wenzetu...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vijana waongoza kwenye maambukizi mapya ya VVU, Wasichana ndio vinara

    Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Wakuu Kazi hizo. Sharing is caring.
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Pombe ya Simba yatajwa kusababisha vijana kuvimba mashavu

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amekifungia kiwanda kinachozalisha pombe aina ya simba kampuni ya Turn Bus Investment, kutokana na kuzalisha pombe zenye kiwango kikubwa cha asidi na kwamba hakifai kwa matumizi ya binanadamu. Mbali na kufungia kiwanda hicho ameliagiza Shirika la...
  7. nyboma

    JamiiForums Tanzania Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

    Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga. Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vijana waliokuwa wanatorosha mabinti miaka ya zamani wana afadhali kuliko wa sasa

    Nakumbuka zamani nikiwa mdogo miaka ya 90 mwishoni na 2000s miaka ya mwanzoni nlikuwa naskia sana binti wa fulani katoroshwa na kijana flani, House girl wa nyumba flani katoroshwa, dada yake flani katoroshwa, n.k. hapo ni kwamba wanaenda kuanza maisha kama mme na mke, hadi mje kuwaona tena basi...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana wahanga wakubwa wa ajali za barabarani

    Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari. Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

    MAMBO YANAYOFANYA VIJANA WA KARNE YA 21 WASIENDE KANISANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Anayeandika hapa ni kijana msomi mbobevu wa Biblia, na vitabu mbalimbali. Mbali na hivyo ni msomi wa ngazi ya shahada. Hivyo anaandika akiwa na Uelewa wa kiwango cha juu wa kile akisemacho. Vijana hawaendi...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana

    Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana. Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Vijana jipangeni kuchukua majimbo ya Ubunge maana 2025 wabunge 85% ya waliopo sasa hawatarejea

    Wabunge wa majimbo ya uchaguzi 2020 - 2025 wengi wao hawatarejea bungeni kwa sababu wamechagua kupata pesa kuliko kuwatetea wananchi. Hivi leo hii kwa nyakati hizi za bila umeme na maji enzi za wabunge wa kweli kina Mnyika,Lema,yule dalali Zitto,Slaa na wengineo wenye kariba ya hao mijadala...
  13. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Huduma za makahaba zinasababisha vijana washindwe kuoa

    Kamanda wa Polisi wilaya ya Kisarawe Eva Steshen, amesema vijana wanashindwa kuoa mapema kwa sababu huduma ambayo walipaswa kupatiwa na wake zao baada ya kuoa wamekuwa wakiipata kwa bei nafuu kutoka kwa wadada poa wanaofanya biasahra ya ngono wilayani humo. Kauli hiyo imetolewa wakati wa ziara...
  14. KING ASSENGA

    JamiiForums Tanzania Kuna vijana kama mimi ambao hatuna mitaji ila tuna akili ya biashara na tuna mawazo ya biashara

    "Use force to reach the end " hii ndio slogan iliyonitoa kuwa tegemezi mpaka kujitegemea, ukichanganya na "sacrifice the betterment of few days for the long time joyfulness". Ukichanganya hizo slogan mbili 10M bila kukopeshwa , kupewa, kubebwa, na maendeleo mengine yakaja,. Ninapoomba huu...
  15. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

    Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini. Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo. Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na...
  16. mgt software

    JamiiForums Tanzania Shangaa Serikali inavyoangaika sana na wachuuzi kuwatafutia mikopo wabaki mjini huku mamia ya vijana wakisota na ukame na hawana fidia

    Wana Jf, Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Vijana lazima tujifunze, aliye nacho huongezewa!

    Crdb bank wanampongeza makamu mwenyekiti wa bodi yao kuteuliwa kua mwenyekiti wa bodi ya ATCL. Maana yake huyu ni mjumbe wa bodi 2 na nyingine nyingi, hapo posho za vikao sio za kitoto. Wakati huo huo ni mwalimu wa chuo kikuu. Juzi mliona wajumbe wa Jakaya Kikwete Foundation, wengine DCB Bank...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa mwaka 1937, hawa vijana wawili wa mbele ni watoto wa wapigiwa kura, kule nyuma wamesimama watoto wa wapiga kura

    Wenye hats wanaliitwa toff kids.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Ni nini hiki wanachokifanya Vijana wa CHADEMA?

    Nimeangalia hii clip, nashindwa kuelewa sikuhizi chama kimekosa watu wenye akili au nini tatizo? mambo ya kitoto na ya kijinga kabisa mnajitahidi kujenga uhasama na jeshi la Polisi mkipigwa mje kutia huruma kwa wananchi, tuache kufanya upumbavu siasa haziendi hivyo kwa hali hii mimi...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanawake na Vijana wenye Ulemavu hatarini zaidi kufanyiwa Ukatili

    Data ya Kimataifa zinaonesha Wanawake na Vijana wenye Ulemavu wako katika hatari kubwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Vitisho, Kutendewa vibaya, au kutelekezwa Nchini Tanzania, Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino), wako katika hatari kubwa ya kufanyiwa Ukatili kutokana na Mila na Desturi zenye...
Back
Top Bottom