uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

    Kwa muda mrefu, Askari wa JWTZ wamekuwa wakilaumiwa kwa kujichukulia Sheria mikononi mwao. Kwa kuwa wao ni wanajeshi, wanaamini kwamba wanaweza kupiga watu makofi mtaani hovyo bila kuulizwa na mtu. Pengo la uhusiano mnalolitengeneza kati yenu na raia wa kawaida, mtakuja kuliona nyakati zijazo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa uongozi wa Morocco Square

    Kupitia kipindi cha ITV ya saa 3.10 jana nilishuhudia promotion ya Morocco Square. Kwanzza hongereni sana kwa Mradi ulivyo mzuri na karibu una kila kitu anachohitaji mwanadamu kwa maisha yake ya kila siku. Pamoja na uzuri wa mradi huo kuna kitu mnatakiwa mnapobuni miradi kama ulivyo wa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wachezaji Waandamizi usirudie tena 'Kuiuza' Mechi kwa Jwaneng Galaxy FC kama walivyofanya mara ya mwisho

    Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua. Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja wapo aliachwa akahamia Matajiri wa Alizeti na Wazawa Watano Mmoja ndiyo kaanza rasmi Mazoezi na Wenzake...
  4. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa waraka wa mapendekezo ya sheria ili wanawake wengi washike nafasi za uongozi

    Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi. Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Muhimbili, Jeshi la Polisi na RRH za Dar es Salaam wakutana Dar es Salaam

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo Oktoba 4, 2023 umekutana na Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Temeke, Amana, Mwananyamala, Waganga Wakuu wa Manispaa hizo, Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi Jinai (Forensic Bureau), Msaidizi wa Kamishna...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sina Uongozi thabiti, Kocha mahiri na Kikosi cha Kushindana kweli Kimataifa period

    Asante kwa Jini letu Kumchanganya Beki ili aone kuwa anaokoa kumbe anajifunga Mwenyewe vinginevyo leo ilikuwa ni 'Kuchapana Bakora na Kutimuana Day' tu na hakika tungeumizana Mbagala.
  7. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TAMWA ZNZ ataka Vijana, Wanawake kujiamini kugombea nafasi za uongozi

    MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amewashauri wanawake kujiamini na kuondosha woga wakati wa kugombea nafasi za Uongozi ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Dkt. Mzuri ameyasema hayo akifungua mafunzo ya siku mbili ya...
  8. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

    Habari wanajf. Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule. Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari. Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda. Nikiwa form one bado...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa TAZARA mnatia aibu , mnashindwaje kubadili hata balbu tu ?

    Tazara Makao Makuu Dar es salaam ilikuwa sehemu nzuri sana ya kupendeza , na hasa usiku , kwa yale mataa mazuri yaliyozunguka ofisi hizo , inasemekana yaliwekwa na Wachina . Sasa inaonekana yote ni kama yamezima kutokana na balbu kuungua , yapo yaliyozima yapata miaka 10 sasa , yaani kubadili...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kiafrika wanakubaliana na Demokrasia kama njia bora ya Uongozi

    Vijana wa Afrika wanazidi kupaza sauti zao, na ujumbe wao ni wazi: demokrasia ni mfumo bora wa serikali ambao nchi zao zinapaswa kuufuata. Utafiti wa African Youth Survey wa mwaka 2022 unaonesha idadi kubwa ya vijana wa Kiafrika, kutoka katika nchi mbalimbali za bara hilo, wanaunga mkono...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Uongozi TANESCO hayana maana kama bado umeme unaendelea kukatika

    Baada ya Safu ya viongozi TANESCO kubadilishwa siku chache zilizopita tulitegemea kidogo mabadiliko ya kukatwa kwa umeme, lakini cha kushangaza bado umeme umeendelea kuwa mwiba kwa sisi wafanyakazi tunaotegemea umeme kuendesha shuguli zetu. Unaamka Jumatatu unasema nijikongoje leo nipige kazi...
  12. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

    Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno Ripoti za CAG zinawekwa makabatini tu kwa mh sipika bila kufanyiwa kazi na wahusika wapo, hii ni dhambi kubwa sana na unyanyasaji kwa vibaka wa kuiba kuku huku mafisadi yakilelewa na viongozi! Huduma za matibabu hovyo Dollar hakuna Umeme...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tusiwe wajinga, CHADEMA wana makosa gani iwapo hatujawahi kuwakabidhi uongozi wa nchi?

    Nimekuwa natafakari tambo na uongo wa viongozi wajuu wa CCM dhidi ya CHADEMA. Mpaka wachambuzi nguli kama Pascal Mayalla wamediriki kutamka kuwa CDM haijawa tayari kukabidhiwa nchi. Nimejiuliza kipindi cha kugombea uhuru, TANU ilikuwa na watu wachache mno lakini wasomi ndo walikuwa haba...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uongozi UWT Taifa Wanena Mazito "Bahati Ndingo Apewe Kura za Kishindo Jimbo la Mbarali"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda akiambatana na Makamu Mwenyekiti Zainab Shomari wakimuombea kura Mgombea wa CCM Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya Bahati Ndingo katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Ubaruku. Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara ,Mwenyekiti Chatanda amewaomba...
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kuna uongozi na Utawala, Ipo siku utawala utakoma (Mungu alichonionesha)

    Natazama ni mtu ambaye umtazamapo uwezi amini alilonalo moyoni. Ni nadhifu na makini. Ghafla nikaona amejawa na roho ya kuondoa uwanadamu. Amejaa uangamizi hata kwa wale walio karibu yake. Yeye uangalia anachotaka na maslahi yake. Ananguvu za utawala, waweza dhani anakuchekea kumbe rohoni...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Yanga tayari mechi na El Merreck comfirmed itachezwa, Kigali Rwanda, uongozi utowe utaratibu wa safari sasa, Simba pia mnahusika

    Ni aibu kwa Watanzania mechi kama Simba na Power Dyanamos na Yanga na El Merreck zote zinapigwa kwenye nchi Jirani border to border kama viongozi wanashindwa kuwaandaa mashabiki wa timu hizi kuhudhuria kwa wengi mechi hizo kwa kuwawekea utaratibu rafiki badala ya kuwageuza fursa ili kuwapiga...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru Apongezwa na Uongozi wa Shule ya Msingi Mahenge B

    Uongozi wa Shule ya Msingi Mahenge B, Iliyopo Wilaya Ya Ulanga Inapenda Kutoa Shukruni kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru kwa Kuwa Mmoja wa Viongozi ambao Wamechangia kwa Namna Moja Au Nyingine Ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarasa na Ofisi ya Walimu wa Shuleni...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Niger: Uongozi wa Kijeshi wampa Balozi wa Ufaransa saa 48 kuondoka Nchini humo

    Uongozi wa kijeshi wa Niger umemtaka Balozi wa Ufaransa kuondoka nchini humo, hatua inayozidisha mzozo wa kimataifa katika Taifa hilo la Afrika Magharibi baada ya mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya Kidemokrasia. Serikali ya Kijeshi ya Niger pia iliidhinisha...
  20. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kunyamaza kuhusu matatizo ya Watanzania ni kufurahia shida zao

    Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
Back
Top Bottom