uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii ndiyo itakuwa safu mpya ya Uongozi CHADEMA

    Maneno yasiwe Mengi. 1. Mwenyekiti - Tundu Antipas Lissu 2. Makamu Mwenyekiti Tanganyika - Godbless Lema 3.. Katibu Mkuu - John Heche 4. Naibu Katibu Mkuu Tanganyika - Mdude Nyangali 5. Nafasi za Zanzibar zinabakia kama zilivyo.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kongamano la UVCCM Kuelekea Miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia na Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM

    KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani na Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi lililofanyika...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Katika uongozi ukiwatumikia wananchi kikwelii utapendwa tu

    Mambo ni magumu sana, Katika uongozi mambo ni tofauti sana. Kiongozi unaongoza watu, watu wote wanakuangalia wewe. Hivyo ndugu yangu ukitaka kupendwa na hao watu wekeza akili yako kwao. Hata ungekuwa na utajiri kiasi gani wananchi hawawezi kukupenda kama huwatumikii. Hiyo ndio kanuni...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uongozi ni karama ya kuzaliwa, Paul Makonda anaendelea kulithibitisha hilo

    Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi. Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?. Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?. Katibu Mwenezi...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Polisi watambua waliotoa huduma bora kwa Wananchi Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha katika kuhakikisha linaboresha huduma bora kwa Wananchi limeendelea kuwatambua na kuwapongeza Askari wa Jeshi hilo wanaofanya kazi vizuri zaidi ya kuhudumia wananchi Mkoani humo. Akitoa vyeti vya Pongezi kwa Askari hao katika siku ya ‘Police Day’ leo Januari 26...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC kwahiyo mlidhani kuwa mtaificha hii Taarifa ya Kocha Benchika kuwakataa Adebayor na Manzoki na haitojulikana nasi?

    Benchika kiboko hakyanani yaana baada tu ya Wachezaji hawa kutua Dar es Salaam kimya kimya na kwenda Kwanza kutambulishwa Kwake (anakoishi) na kuambiwa na Uongozi kuwa Unawasajili ili watumike Kikosini Yeye bila ya Kuchelewa akauambia Uongozi (wa Simba SC) na Bonge la Sonyo kuwa wachague nani...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kundi la M23 latangaza uongozi wake katika eneo la Kivu, hofu ya kuundwa taifa huru yaibuka

    DR CONGO: Kundi la Waasi la M23 limeripotiwa kutangaza Uteuzi wa Uongozi wake katika maeneo yaliyopo chini ya udhibiti wake huko Mashariki mwa DRC, hali inayodaiwa kuzua wasiwasi kwamba linapanga kuunda Taifa huru katika eneo hilo. Kupitia taarifa yake iliyochapishwa katika Mtandao wa X (zamani...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  9. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi. Alitoa kauli kuyapinga maandamano ya CHADEMA

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Wamachinga Kariakoo unatulazimisha kulaza bidhaa zetu nje ili wazilinde

    Uongozi wa Wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo ‘Machinga’ (KAWASO) umekuwa ukifanya mambo ya uonevu na unyanyasaji kwa Machinga wa Kariakoo kila kukicha tena mchana kweupe! We are not sure Serikali wanayajua haya au lah and they are un touchable sijui nguvu wanaitoa wapi? Walianzisha program ya...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mara: Uongozi Mgodi wa Cata Mining wasema utawalipa Wafanyakazi wake waliogoma kwa kutolipwa mishahara

    Siku chache baada ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu, CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara kufanya mgomo wakishinikiza kuliwa mshahara wao wa miezi miwili, uongozi wa Mgodi umetoa ufafanuzi. Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango yao katika mfuko wa...
  12. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Uongozi shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda mtukumbuke walimu wa kujitolea-Part time teachers

    Chondechonde mkuu wa shule, kamati ya uongozi na bodi ya shule ya Sekondari Nyiendo tunawapigia magoti kwa huruma yenu mtusaidie kuhusu mambo yafuatayo. 1. Malipo ya mishahara yetu sasa tunaelekea ndani ya miezi minne hatujalipwa mishahara yetu.Sisi kama binadamu tuna wategemezi,tuna familia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuendelee kuwaamini wanawake katika uongozi?

    Baada ya mkutano wa Beijing, kuliibuka misemo mingi sana ya kuuaminisha ulimwengu kwamba mwanamke akiwa kiongozi mambo yatakuwa mazuri. Ndipo tukaja na sera ya kumuwezesha mwanamke kielimu na ile ya 50 kwa 50 ktk uongozi. Japo bado hatujafikia 50% kwa 50% lkn tumepiga hatua sana. Tuna...
  14. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie Wenyeviti wa Vitongoji na Kata

    Katika ngazi za Majiji Uongozi wa chini ni Mitaa ambapo tunaanza na Mwenyekiti wa Mtaa tofauti na vijijini huko Tuna (Wenyeviti wa vitongoji then kata) tukumbuke hao ndio viongozi hawajulikani ndani ya Katiba yetu Sasa katika Moja na mbili nje ya #Boksi Kuna Mabalozi maeneo ya mijini naongelea...
  15. dongbei

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Namna ya Kuleta Maendeleo Katika Eneo Lako la Uongozi; Nimetumia Diwani na Kata Kama mfano.

    Habari humu ndani, heri ya Mwaka mpya! Tuanze mwaka kwa kuwakumbusha wenzetu viongozi hasa hao wa kuchaguliwa na wananchi waambue dhamana waliyopewa ni kubwa na waitumie vizuri kuwaletea wananchi maendeleo. Utangulizi: Kama Mheshimiwa Diwani, kuna fursa kubwa ya kutumia nafasi hii kwa...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba anajua kulea na kufundisha uongozi, namuona Balozi Humphrey Polepole ameiva kiuongozi tofauti na zamani

    Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma. Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya madawa ya kulevya chini ya uongozi wa Samia

    Kuna wimbi la ongezeko la biashara na matumizi ya madawa ya kulevya toka Samia angie madarakani. Wanasiasa na wafanyabiashara wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya waziwazi. Vijana wanauza na kutumia madawa ya kulevya waziwazi. Miaka miwili ya Samia haina tofauti na miaka 10 ya utawala...
  18. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Je, uongozi wa Roman Catholic ni 'ndumilakuwili' au huyu Papa tumepandikiziwa? Tutegemee nini?

    Uongozi wa Roman Catholic kwa miaka 15 iliopita umekua na changamoto sana hasa hasa kuhusu mambo ya ubakaji, rushwa na ushoga. Miaka ilopita tulishuhudia Papa Benedict anajiondoa kwenye kile kiti, kitendo ambacho kilizua maswali mengi sana. Japo baadhi ya watu wanadai Papa Bemedict alikua...
  19. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga Malizaneni na Mzee wa Utopolo

    Jamaa anahisi anatengwa, kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni mzuri kwenue hamasa kuliko watu kama Mwalimu Yanga, Mzee wa Mashairi, God Yanga nk. Ila anatengwa sana kwenye offers mbalimbali ambazo club inatoa kwa mashabiki vinara, ntafurasi endapo siku moja ataingia kwenye orodha pendwa ya viongozi...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga: Mashabiki komeni kuukurubia zaidi uongozi na wachezaji wenu.

    Shabiki wa timu ni mhimili laini wa timu ambao kazi Yake kwenye timu ni kusimamia furaha yao isipotezwe na wachezaji, viongozi, wafadhili na wadhamini wa timu yao. Yaani malipo ya shabiki wa timu ni furaha TU ya ushindi wa timu. Mashabiki ndio mjeredi (whip) imara wa timu kuwafanya wachezaji...
Back
Top Bottom