uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Bw, Mnyika kama kiongozi uliyesaidia transitional, how do you survive?, maswali ni mengi sana!

    Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia, #Pole sana bw. FAM.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Muda wa uongozi wa TFF na bodi ya ligi unaisha lini?

    Kwa kweli uongozi wa TFF na Bodi ya Ligi una changomoto kubwa sana hasa kutokana vilabu vya Yanga na Simba. Uongozi wao siyo imara. Ninauliza muda wa uongozi wao unaisha lini ili watupishe tuchague uongozi mpya. Nitashangaa sana kama uongozi huo wa TFF na Bodi ya Ligi watarudi tena...
  3. JamiiForums Tanzania Walioondoka Chadema ndiyo waliomkosesha Mbowe uongozi kwa awamu nyingine

    Kama Mbowe angekuwa mbele ya muda basi alitakiwa kujivua lawama mapema na kuondoa wahuni wote chamani. Hilo lilikuwa wazi na lilionekana kwa kila mmoja. Shida ni angeweza vipi kuondoa washiikaji zake muhimu? Wewe unaambiwa Kigaila mke wake alienda bungeni kwa njia haramu. Kigaila ni naibu...
  4. JamiiForums Tanzania Kumegeka kwa CHADEMA ni matokeo ya uongozi mpya kukosa maono, kukosa angenda za kuiunganisha na kukurupuka

    Sote ni mashuhuda kwamba tangu uongozi mpya kuchaguliwa, Chadema imekua ikiendeshwa kwa matamko na press conferences ambazo kimsingi nyingi zililenga kuomba kuchangiwa pesa za matumizi ya viongozi wa chama wasio na ajira, waliojificha nyuma ya kuomba kuchangiwa pesa kwaajili ya matumizi ya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Freeman Mbowe Kujiunga Chama Kipya Na G55..! Lakini lazima kipewe hatamu ya Uongozi...!

    Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu: Itakuwa ndiyo nguzo...
  6. JamiiForums Tanzania Jakaya ametuachia somo zito! Uongozi ni stamina na demokrasia ni kuvumiliana. Ukishakuwa rais hauongozi CCM, unatakiwa kuongoza nchi

    Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo kutokana na nani alimuunga mkono au nani hakumuunga mkono. Hata hivyo, JPM alipoingia alijikita katika...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume Jifunzeni Ku-Handle Familia Zenu: Usikubali Uongozi wa Nyumba Ugeuke Ukoloni!

    Listen up kings, let’s get this real and raw—life ya ndoa siyo sinema, na hakuna mtu atakuja kukufundisha kuishi na mwanamke wako. Hii ni game ya akili, moyo na nidhamu ya hali ya juu. Ukiona unam-control mke wako kwa makelele, vitisho na mangumi, bro unaishi kama colonizer wa karne ya 18. Hii...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maono: Tundu Lissu yuko jela ili awe salama na kisha aje achukue uongozi wa nchi hii kutoka jela

    Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE). Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka. Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko. Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Yupo Nchini Marekani Kutoa Mafunzo ya Uongozi Kwa Mawaziri wote wa Fedha na Mipango kutoka Nchi zote zinazoendelea Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Soma hapo chini habari hii ili uelewe ni namna gani CCM imekuwa ikitoa na kupika viongozi bora na makini ambao wanakuja kuwa Daraja la matumaini Duniani Kwote. Ukiona CCM imekuletea kiongozi ngazi ya Urais ili umchague katika sanduku la kura. Basi ni lazima ujue...
  10. JamiiForums Tanzania Unashauri ndoto za vijana wa chadema zilizozimwa kwa makusudi na ghafla kwa ubinafsi wa uongozi wao mpya wakazitimizie kwenye chama gani cha siasa?

    Maana uongozi mpya wa chadema umewakatisha ndoto, matamanio na matarajio yao ya kiasia waliojiandaa na kuvumilia kuyatimiza kwa muda mrefu sana ndani ya chadema. Leo hii ghafla, na kwa makusudi, chama chao Chadema kimewakosesha haki na fursa hiyo muhimu ya kutimiza ndoto zao za uongozi, lakini...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam umeshindwa kuliongoza jiji

    Katika jambo linalonishangaza ni kuwa mwaka huu 2025 mwezi wa nane Tanzania kama ilivyo Kenya na Uganda tunahost michuano ya CHAN na 2027 tunahost Afcon lakini jiji la Dar es Salaam kila kukicha linaendelea kuwa chafu, vibanda na biashara hole holela zinaongezeka kila kona. Bodaboda hawana...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa Uongozi wa Kanisa: Papa Ajaye Awe wa Msimamo Upi? Kiliberali au Kihafidhina ?

    Misimamo mikali ya aina yoyote haifai. Tunakosea sana tunapowagawa makardinali katika makundi mawili haya ya kiholela. Kufanya hivyo ni sawa na kulichukulia Kanisa kama taasisi ya kawaida kama vile IMF au Benki ya Dunia, badala ya kulitazama kama Mwili wa Fumbo wa Kristo. Baba Mtakatifu ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Serikali haitaki viongozi wa dini wamshauri Rais juu ya mambo ya uongozi, kwanini mnawaalika wakati wa kumwapisha Rais?

    Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila wakati tunawaona kina Makonda wakiomba waombewe na viongozi wa dini mara nyingine kwa magoti na machozi...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna nyufa zinazoipasua na kuigawanya CHADEMA iliyopoteza uelekeo, nini kifanyike kuziba mwanya na pengo la uongozi unaosababisha nyufa hizo?

    Maana kumepwaya kila idara ya chama. Ni kama vile kunakupoteana vile. Hakuna anaeaminika na wa kutoa uelekeo thabiti wa chama, kwasababu ya njaa kali, unyonge wa kipato na woga. Hakuna matumani kwa wanachadema kabisa. Kitu kizuri ni kwamba kila mwanachadema anaendelea kujishughulisha na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Matatizo makubwa kwa Tanzania: Uongozi, Rushwa, unafiki aka Uchawa

    Matatizo mapya makubwa Tanzania ni 1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za kutosha na wanasiasi kununua hata wapinzani nayo ni rushwa. 2. Uongozi mbovu Mama Samia kashidwa...
  16. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Shule za Baobab mnatukosea sana Wazazi, tumewavumilia sasa mmevuka mipaka komesheni huu uhuni.

    Jana jumamosi tarehe 5 ilikuwa ni graduation kwa wanafunzi wa form Six Baobab high school Bagamoyo. Kuna tatizo Sugu kuhusu huduma ya vyakula siku ya visiting day au mahafali huruhusiwi kwenda na chakula chako au bites zozote kutoka nje, ili swala tumelijadili muda mrefu kwenye vikao rasmi...
  17. JamiiForums Tanzania Maswala gani matatu utaanza nayo ili kuufufua uchumi wa nchi hii endapo utapata nafasi ya juu katika uongozi?

  18. JamiiForums Tanzania Viatu vya uongozi wa Mbowe CHADEMA vimempwaya Lissu pakubwa, CHADEMA inayumba na kupoteza uelekeo

    Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Uongozi wa lissu anahujumiwa ndani ya CHADEMA

    Kuna UPUMBAVU mwingi na hujuma nyingi sana zinaendelea juu ya uongozi na utawala wa Mh Tundu Lissu, ninafikiri UPUMBAVU huu unapswa kusemwa na kukemewa hadharani , ikiwa ni lazima itabidi tuongee mambo ambayo hayakupaswa kusemwa ili kila mtu ajue mwanzo wa dhamira zilivyo kuwa na hata sasa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

    Amani iwe nanyi Wanabodi, Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao. Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…