ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

    Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana. Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni? Tujadiliane.
  2. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu ‘Squad Goals’: Marafiki wa Kwenye Picha au Maisha Halisi?

    Zama hizi za mitandao ya kijamii, tunaishi kwenye ulimwengu wa aesthetic friendships – zile picha za kikundi cha marafiki wakiwa kwenye vinywaji, sherehe, au safari za kifahari wakitabasamu kana kwamba maisha yao yote ni perfect. Lakini swali linabaki: Je, marafiki wa namna hii ni wa kweli...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

    Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

    Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go. Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran. Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaamini kuwa upinzani ni utakatifu na kuwa CCM ni unajisi. Ukweli ni kuwa chama hakimfanyi mtu kuwa Mtakatifu au najisi

    Habari za Sabato! Kuna watu wanaamini kuwa watu wote wa CCM ni Najisi, wezi, majambazi, mafisadi yaani kitendo cha kuwa CCM wanaamini wewe ni muovu. Jambo ambalo sio kweli Wakati huohuo wanaamini kuwa chama cha upinzani kama CHADEMA ndio kuwa Mtakatifu au mzalendo wa taifa. Jambo ambalo sio...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake wanakuachia nuksi na laana?

    Wakuu hivi kuna ukweli kwamba ukifanya ngono na baadhi ya wanawake au ukifanya ngono na hawa dada poa unaweza kupata laana na nuksi ambao inaweza kupelekea mambo yako yako kwenda mlama? Sasa ninachojiuliza hizo laana na nuksi wanazipataje? Kwanini wasipewe watu wengine ila ni wao? Na utajuaje...
  7. Smooth Criminal

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mahusiano

    Mahusiano yana usiri mkubwa sana kiasi cha kujirudiarudia kwa watu wengi. Ufuatao ni ukweli kuhusu mapenzi na mahusiano • Lazima muwe tofauti, mmoja mtulivu mwingine awe kicheche(ukweli mchungu) • Lazima mmoja awe wa kujishusha au kuonekana mjinga kwa mwenzake(akianza kuonesha kujua mambo ndo...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Maasai hili lina ukweli?

    Je kuna ukweli kwenye hili analoelezea huyu Moran? Msikilize kwa makini https://www.facebook.com/reel/910568581022962
  9. Tanzania One 2025

    JamiiForums Tanzania Miaka ni namba tu, je ukweli wa kauli hii uko wapi?

    Ndoa ni moja ya agizo la Mungu kwetu wanadamu,lakini agizo hili limekuwa na changamoto kutimizwa nasi hasa Katika karne hii ya 21,kwani vijana wengi tumekuwa na kaulimbiu Ambayo inachochea kukataa agizo hili"Kataa ndoa,tengeneza Maisha" Hata hivyo kuna minong'ono kuwa"Umri wa wanandoa huchangia...
  10. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Tujuzane ukweli kuhusu gari kijerumani, hasa hasa AUDI

    Wakuu mko njema? Kwanza tupeane Pole kama Taifa na Janga la Kariakoo! Tumuombe Mungu asimamie afya za majeruhi na kuwarehemu waliofariki🙏 Tukirudi kwenye mada. Nimekuwa interested sana na AUDI A5 SportBack Quattro TFSI. Hivi nikivuta hii nitakuwa sijajichanganya kweli?(au nijirudishe tu kwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona. Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe ukweli kama Maombi haya solve problem bali human action ndio zinatatua matatizo. Mungu na shetani hawaleti wala kutatua tatizo

    habari wadau. natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao. mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia...
  13. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Inashangaza ki ukweli kilekinachoendelea kariakoo

    Leo nimeangalia karibia misiba yote ya kwenye gorofa na mengineyo nivilio tu Kwa wakinamama swali langu ni hili nafasi ya mwanaume mbona inafichwa kwani hao wanawake walijizalisha wenyewe hao watoto. Yani baba ahojiwi ni wanawake tu mbona inatumika nguvu kubwa kufichwa mwanaume Kwa watoto wake...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu lakini dawa

    Jipende, uchafu sio sifa njema, eti unajisemea anipende jinsi nilivyo. Nani akupende na huo uchafu wako. Maua huvutia vipepeo na mizoga huvutia nzi. Kwahiyo, utawavutia wa aina ulivyo Hakikisha unajipenda, unanukia, unavutia na unakuwa mkaka au mdada fulani hivi amazing Hakikisha na unapoishi...
  15. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

    Ughonile.. Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda. Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Kada wa CHADEMA ambae husema ukweli daima.

    👇
  17. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  18. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli katika kauli hizi kisaikolojia

    Mosi,Kukaa kimya kuna nguvu zaidi kuliko pale unapotaka kudhibitisha ukweli au kujitetea. Na hii kweli kabisa wakati mwengine unaweza kupata kashfa ambayo jinsi kadri unavyotaka kujitetea unajikuta unazidi kuharibu,kwahiyo wakati mwingine kunyamaza ni jibu zuri sana,watu wanabaki njia panda...
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kazi za serikali za mitaa ni kazi za kujitolea chadema waambiwe ukweli kiwa kama huna kazi huwezi pata

    Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu. Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
Back
Top Bottom