ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tatizo la Lissu ni tishio kwa wenye mirija. Hawataki ikatwe. Na ukweli ni kwamba akishinda itakatwa. Undugu na kujuana mwisho!

    Dadadeki! Wajumbe pambaneni kwa kweli. Kama mnajijua mpo kwa mazoea zoea na kupenda kuendeleana. Au kupeana peana vinafasi hata kama hamna uwezo Basi hakikishenj huyu Lisu hapiti. Mimi sijui mtoto wa Mwenyekiti. Sijui mtoto wa muasisi. Sijui hawara wa kiongozi Fulani nipewe viti maalumu...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hizi tetesi za Lissu kujiondoa kugombea uenyekiti chadema zina ukweli?

    Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni? Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
  3. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Abdul jitokeze hadharani usema ukweli wote wa fedha za mama Abdul. Kunyamaza kwako kunaleta sintofahamu

    Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul. Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje. Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
  4. Mha NUZI wangu

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu; ijapokuwa ukweli huuma lakini uongo huuma zaidi

    Sipingani na ule msemo maarufu wa ukweli unauma, lakini leo Kuna baadhi ya mambo yamenifanya kuamini kuwa kumbe hata uongo,kusingiziwa jambo ambalo hukulifanya huwa inauma zaidi.
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hizi habari kwamba Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti wa chadema atafukuza viongozi wote wa chama makao makuu na mikoani zina ukweli?

    Kuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe. Hizi habari ni za kweli? Je haogopi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na akafukuzwa Chadema, kama Augustine Mrema...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Lissu kulipiwa fomu na Sativa ni mbinu za kisiasa tu hazina ukweli wowote

    Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
  7. Daudi Kempu

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati dawa pekee ya maumivu ni kukubali ukweli kuwa unaumia

    Utofauti ni kuwa, wewe unaumia sasa hivi, mwenzako aliumia jana, mwingine aliumia juzi, na mwingine aliumia miaka mingi iliyopita. Umewahi kujiuliza, kama hayo maumivu utaishi nayo miaka kumi zaidi, yatakuumba kuwa kiumbe cha aina gani? Kila mtu ana zamani yake ambayo, kama ingewezekana...
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Inafurahisha hii tweet sijajua ni ukweli ama laah

    Je, unakubaliana nayo hii tweet ?
  9. nipo online

    JamiiForums Tanzania Kukodisha akaunti ya linked kisha unalipwa kuna ukweli wowote?

    Aliyewahi kupata hii message, tafadhali aniambie kama kuna ukweli ya kuwa ukikodisha kwa kutoa username na password ya account yako ya linked ambayo ina muda kuanzia nusu mwaka yani miezi 6, lakini pia lazima iwe na connection ya watu kuanzia 100 na kuendelea kisha kila baada ya wiki unalipwa...
  10. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli kuhusu Dini

    Dini zote ni utapeli tu, ukristu uliletwa na wakristu kutoka Ulaya na wale wakujiita wamisionari, the same to Muslim under Arabs. Ukristu ni utamaduni wa kigeni kutoka Ulaya, na Islam ni tamaduni mpya kutoka Kwa waarabu, lengo la kuja Hawa wahuni afrika, ni kuchukua Malighafi, watumwa na mambo...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukweli, haki, akili na upendo(utibeli) ndio msingi wa utawala bora na siasa safi za kuleta maendeleo ya kweli (true development)

    UKWELI, HAKI, AKILI NA UPENDO(UTIBELI) NDIO MSINGI WA UTAWALA BORA NA SIASA SAFI ZA KULETA MAENDELEO YA KWELI (True Development) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maendeleo ya Kweli (True Development) ni mabadiliko chanya yanayotokea kuanzia ndani ya mtu(hisia, Akili), na nje ya mwili katika...
  12. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kwa point tuliyofika kama nchi chadema hakimuhitaji tena mbowe kama mwenyekiti huo ndo ukweli

    Kwa point tuliyofika kama nchi kunahitajika mwenyekiti wa chadema kama chama kikuu cha upinzani ambaye yuko tayari kwa mambo yafuatayo ambayo sidhani kama mbowe anayaweza Kukaa jela hata miaka 10 Kufa Kuteswa Kwa sababu ccm sio tena chama cha siasa ni genge la wahuni mfano uchaguzi wa serikali...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usiosemwa Kuhusu Uraibu (addiction): ni zaidi ya Dawa za Kulevya na Pombe

    Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje. Mambo Muhimu ya...
  14. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Lissu yupo kwenye mission ya kuiua CHADEMA

    Tundu Lissu ameamua kuia CHADEMA kwa mikono yake mwenyewe. Anapita kila kona kukishambulia chama chake hadharani. Ameunda mtandao kukishambulia chama chake. Anasema chama chake kinanuka rushwa. Anasema chama chake hakina mipango ya kueleweka ili kuiondoa CCM madarakani. Anasema chama chake...
  15. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao wanaume hawapendi kuujua

    Ukweli Mchungu Ambao Wanaume Wengi Hawapendi Kusikia Kisaikolojia, mwanaume anapoteza mvuto anapokuwa: 🌀 Hana malengo: Mwanaume asiye na ndoto au juhudi huashiria kutoendelea maishani. 🌀 Ana utegemezi kupita kiasi: Kutafuta uthibitisho au kuhitaji umakini kila mara huua heshima. 🌀 Hana...
  16. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

    Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mnaolinganisha mafanikio ya Rais Samia na Rais Nyerere, huenda mna tatizo la afya ya akili kwa kutozingatia ukweli huu hapa

    Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama Raisi hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia hivi sasa. Leo hii ukilinganisha hela...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kusema za ukweli naichukia Arusha na Kilimanjaro pamoja na Mbeya

    Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila najikuta naichukia hiyo mikoa mpaka najishangaa shida nini? Yaani nikisikia mtu mbele yangu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Tusipochukua hatua, uchaguzi mkuu utakuwa kama huu wa Serikali za Mitaa

    Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana na ule wa mwaka 2019, lakini matokeo yake ni vilevile. Uchaguzi wa mwaka kesho (2025), kama...
Back
Top Bottom