ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Eti kuna mtuhumiwa anajaribu kuukana ukweli huu ambao ni wake mwenyewe

    hivi anatuanaje kwanza? Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70? Halafu eti ng'we ng'wee ng'wee uachwe tu? who are you among others? You beter watch your back, sheria na katiba ya nchi...
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa CCM

    Paul Chacha ni mzalendo wa kweli wa chama cha mapinduzi kwa kuwa msingi mkuu wa CCM ni kusema kweli daima. Na hakika Chacha kasema ukweli kuhusu hivyo vyombo vya ulinzi ambavyo watu wengi hapa Tanzania hata humu JF wanafikiri vipo upande wao hata kuelekea maandamano ya mwaka jana Oct.29...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Machinga wanaonewa sana na Serikali hii

    Naweza kuandika maneno elfu 10 lakini. ukweli ni kwamba machinga wanaonewa sana. Nature ya biashara zetu hapa bongo asilmia 80 ni uchuuzi. hawa watu wanateseka na hawana mtetezi. Wasubiri Uchaguzi watarudi tena barabarani na huwa wanatumiwa kama TP
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli Nembo mbalimbali za michezo ni Free mason?

    Je, kuna ukweli wowote kwamba nembo za vifaa vya michezo (kama vile Nike, Adidas, Puma, au nyinginezo) ni ishara za Freemason. Je ni (conspiracy theories) na uvumi wa mitandaoni ambao hauna ushahidi wowote wa kihistoria au wa kisheria au kuna ukweli? Ukweli kuhusu nembo hizo umejikita katika...
  7. econonist

    JamiiForums Tanzania Hongera Lissu kwa kuwapasulia mahakama ukweli: kesi ilitakiwa kufutwa siku ya kwanza imeletwa mahakama kuu.

    Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu treni ni huu; Wengi Hawaujui

    Naomba nikujulishe kwamba: 1. Treni siyo Gari ni mashine au mtambo unaotembea 2.Treni Hainaga Dereva bali ina msimamizi tu kama zilivyo mashine za kusaga inasimamiwa na Operetor Au machinest 3. Treni haibebi mzigo bali inavuta au kusukuma mzigo 4. Treni inaweza kuendelea na safari na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

    Mirror 🪞 Hello Great thinkers 👋 Kwanza naomba niweke sawa hapa Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ? Sielewi hapendezwi au lah(?) Akauliza 👇 Huna kazi?: me nina kazi ✔️ Unalipwa?: Silipwi ❌️ NB:Writing is one of my hobbies ✍️🧠 Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa...
  10. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Chadema,Nchi vinara wa Demokrasia na Katiba Mpya USA & Ulaya Huwa Hawafichi Ukweli wa Taarifa za Serikali

    My Take Chadomo muwe mnadanganya wajinga mnaowaokota huko mtaani na wasiojitambua 😂😂😂
  12. O

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Gachagua Alidai Amewekewa Sumu?

    Graphic inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inadai kuwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alisema akiwa Marekani kwamba alikuwa hajisikii vizuri na kwamba huenda alikuwa amewekewa sumu kabla ya kuondoka Kenya. Graphic hiyo inahusisha madai hayo na serikali ya Rais William Ruto na kudai...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Japo Wamenyamaza Kama Mazuzu, na Hawaulizi Kitu, Ila wana Macho na Masikio,Wanatamani Wawe Wanaelezwa Ukweli, No Matter What!

    Wanabodi Naendelea na zile mada zangu za "The Voices From Within" ambazo ni mada za kufikirika tuu. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii...
  14. SMART PASSENGER

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao wengi hatuutambui

    Maisha yanatufundisha kwamba mara nyingi hatujui thamani ya kitu mpaka tunapokaribia kukipoteza. Tunapokuwa nacho, tunakichukulia kawaida. Tunakitumia bila kufikiria kesho. Lakini pale kinapoanza kupungua, ghafla tunaanza kukiona cha muhimu sana. Mfano mzuri ni simu ikiwa na 90% battery...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu picha zinazoenea za jezi za Tanzania kwenye Afcon?

    Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili. Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea kuharibu saikolojia ya wachezaji uwanjani. Mbona uzi wa Yanga ni mzuri na una kiwango iweje uzi wa Taifa...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni silaha kali, hata Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaukimbia

    Biblia na hata Qoran vinasema mamlaka yote chini ya ardhi yanatoka kwa Mungu. Binadamu tuyatumie vema. Msingi wa yote ni ukweli. Ukweli ni upanga ukatao pande zote mbili. Ukweli haufichi maovu. Mtu anaweza fanya maovu akifikiri ukweli haumwoni. Sasa mtu huyo akiambiwa aje hadharahi...
  17. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Uongo wa majority hugeuka kuwa ukweli pia.

    Katika jamii watu huishi kwa mazoea.. Yaani watu wa kisha aminishwa kitu cha uongo watakishikilia maana ni comfortable kwao. Nimeligundua hili na halinipi shida tena. Naona kwenye uzi wangu wa kuoa foreigner watu wana tapatapa tu ila wanacho kimbia ni kuu face ukweli And I don't care at all. 😎😎
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu : Esta wa kwenye wimbo wa Waraka wa Aamani wa Bahati Bukuku alikuwa chakula cha mfalme period

    Nilipo usikiliza kwa Mara ya kwanza wimbo wa Bahati Bukuku uitwao Waraka wa Amani nilikuwa sijui sana kuhusu Biblia but nilipo tafakari kwa kina kuhusu story ya Esta, Mordecai, Hamani na mfalme niligundua kwamba Esta alikuwa chakula cha mfalme.... Kwa mfalme Yule, Esta was what Delilah was to...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Msanii DJ Choka anavyo thibitisha kwa vitendo mantiki ya Making Kayumba Schools Great Again ( Makaga campaign) ya Likud

    DJ Choka, ambaye ni mmoja wa ma-DJ wa zamani na nguli katika historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, anaandika; "NAOMBENI MNIPE USHAURI KWENYE HILI LEO 1. Kwenye MFUKO wangu nina AKIBA ya Shillings LAKI TATU (300,000/=) ambayo niliiweka kwaajili ya kuitumia kesho Sept 14 kwenye...
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya spartacus: Vita, Usaliti & Ukweli wa Historia

    Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus. Simulizi hii inaelezea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka...
Back
Top Bottom