ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa na kufichwa na watawala; Wanaharakati ni bora kuliko wanasiasa.

    Unaweza kujiuliza nini kinasababisha tabaka tawala kushambulia na kuchukia sana wanaharakati. Jibu ni rahisi sana, wanaharakati wanatishia "status quo" ya watawala, popote pale Dunia katika Karne ya 20 na 21 hakuna mabadiliko makubwa ya kubadilisha au mageuzi ya utawala yaliyowezekana bila...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hizi tetesi kuwa wajumbe wa Kamati kuu Chadema wamehongwa ili kukisariti chama na kumeuka Heche na Lissu zina ukweli?

    Tetesi zimezagaa mitaani kuwa wapo wajumbe wa kamati kuu ya Cdm wamekula mlungula ili kumsaliti Lissu na Heche. Hii yote wanatala Chadema imeguke na msimamo wa Lissu na Heche uyeyuke Kama.ni kweli hatufiki mbali.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kisasa ya kupumbaza umma kisiasa—sura ya nje dhidi ya ukweli halisi nchini Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa mmoja wa viongozi mahiri zaidi katika kusimamia taswira ya nje kwenye siasa za kisasa. Ziara yake ya hivi karibuni katika Hospitali ya Aga Khan kumfariji mchezaji wa Young Africans SC, Pacôme Zouzoua, ni mfano halisi Aga Khan Hospital. Kwa mtazamaji...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Heche na Madai ya Bei za Mafuta: Ukweli Wafichuka

    Ufafanuzi juu ya suala la uagizaji wa mafuta nchini kipindi cha Aprili - Juni, 2026. Tarehe 27 Juni 2026, kupitia akaunti ya Instagram ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, alichapisha taarifa akidai kuwa Kampuni ya Vitol imeiuzia Tanzania mafuta kwa gharama kubwa zaidi kuliko Uganda...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania David Hundeyin: Ukweli Kuhusu Kinachodaiwa kuwa "Colour Revolution" Tanzania

    Muda mrefu kabla ya uchaguzi wa urais wa Tanzania wa Oktoba 2025 kufanyika, vyombo vya habari vya Magharibi vilikuwa tayari vimejenga simulizi kwamba Rais Samia Suluhu Hassan angeshinda uchaguzi uliodaiwa kuwa wa udanganyifu, chama kikuu cha upinzani kingezuiwa kushiriki, na maandamano...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Mgao wa Maji maeneo ya Shekilango Dar? Kama Ndio, Tuambiwe Ukweli

    Wakazi wa NHC Shekilango, Ubungo, na maeneo mengine mengi tumekuwa tukikumbwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa maji tangu mgao wa mwezi Desemba. Kinachoshangaza ni kwamba zamani eneo la NHC Shekilango lilikuwa linapata maji kwa uhakika karibu kila siku. Leo hii maji yanaweza yasionekane kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na sensa ambayo ni makadirio, kuna ukweli Kanda ya ziwa inaweza kuwa ni robo au zaidi ya population ya Tanzania ?

    Ni mikoa ambayo ya kanda ya ziwa birth rate ni kubwa sana, kuna uwezekano ni robo au 1/3 ya population ya Tanzania ? Kagera, Geita Mwanza, Shinyanga, Simiyu Mara
  10. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Ukweli Humuweka Mtu Huru: Nimechoka Kujiuza, Nimechoka.

    Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo. Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji. Nimechoka na hii kazi, Nimechoka kuwa dada poa, Nimechoka kudhalilika kwenye jamii, Nimechoka kunyooshewa vidole mtaani, Nimechoka kuingiliwa na kila aina ya dhakari. Inafikia mahali...
  11. UTPC

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wanawake kujifungua kwa njia ya upasuaji ni fasheni, presha au sababu za kiafya?

    SAFARI ya uzazi, ambayo kwa familia nyingi hutarajiwa kuwa ya matumaini na furaha ya kumpokea mtoto imeanza kugubikwa na hofu, mashaka na maswali yasiyo na majibu katika baadhi ya hospitali nchini. Kwa baadhi ya wazazi, chumba cha kujifungulia kimegeuka kuwa eneo la shinikizo, maamuzi ya haraka...
  12. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu usioambiwa kwenye biashara za mijini

    Ndoto Za Wengi Ni kuwa Na Biashara Mijini Hasa Kwenye Frame Ila Ukweli Mchungu Biashara Nyingi Hasa za Uchuuzi Haziendi Zimebaki Ni Za Misimu, Biashara Nyingi za MIjini Hazina Faida ya Moja kwa Moja Zimebaki ni Sehemu Za kutunzia Mitaji/Pesa Kwasababu Ya Gharama kubwa Za Uendeshaji Kama Frame...
  13. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Siku hizi watu maarufu wana ushawishi mkubwa kuliko taasisi

    Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia katika kipindi ambacho watu maarufu wana ushawishi mkubwa kuliko taasisi zilizokuwa zinajenga maadili hapo awali, kama familia, kanisa, shule na jamii. Leo hii, mtu mwenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii anaweza kubadili namna maelfu ya...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Ukweli una tabia moja hata ukiuzika na kuufukia kuna siku utafufuka na kukutia aibu

    Ukweli siku zote una speed ya kobe lakini haujawai kushindwa kufika mwisho wa safari. Ndivyo ilivyo kwa utawala wa awamu ya 6 wanatundanya na kutuona labda hatuna akili lakini kuna siku ukweli utakua wazi na Uongo wao wote utapeperushwa na upepo. Ukweli una tabia moja hata ukiufukia na ukauzika...
  15. bless on

    JamiiForums Tanzania Maisha ni Maigizo: Ukweli ni Upi?

    Tuache kudanganyana na kupotezeana muda. Maisha haya tunayoishi ni maigizo makubwa sana ambayo tumeyakuta yameshaandaliwa. Hakuna hata mmoja wetu aliyeulizwa anataka nini kabla hajaja hapa duniani. Sote tumezaliwa tukiwa uchi, hatuna nguo, hatuna dini, wala hatuna jina. Lakini kabla hata...
  16. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni akili ya kujifariji. Ukweli ni kwamba hamkubaliki na wapiga kura

    Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣 Hebu pokeeni ukweli huu. chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu. wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Suala la Udini Vyuoni na Ukweli Mchungu

    Hivi majuzi kumekuwa na minong’ono chini kwa chini kwenye korido za wasomi na mitandao ya kijamii. Watu wanahoji: "Kwanini teuzi za Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu (Vice Chancellors) hapa nchini zimekaa mrengo fulani wa kiimani? Mbona pale SUZA pamejaa kanzu , na kule SAUT kumejaa mapadre na...
  18. MSHUAH

    JamiiForums Tanzania Piga collagen ifute chunusi na ikupe glow ya ukweli kutoka ndani!"

    Piga collagen ifute chunusi na ikupe glow ya ukweli kutoka ndani!
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hebu Tuseme Ukweli, Ni Members Gani wapo Kwenye Ignore List Yako?

    Kila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread...
  20. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati Sasa JF Kuanzisha Mfumo wa Kuwalipa "Content Creators" Wetu. Huu Ndio Ukweli wa Kisheria na Kiuchumi.

    Wakuu salama, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini. Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
Back
Top Bottom