ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Dhana ya jicho la rohoni; ina ukweli kiasi gani?

    Utasikia watu husema kuna watu wana jicho la tatu au macho ya rohoni; hawa huwa ni watu ambao wanaweza kumuangalia mtu na kupata hisia fulani, ikiwemo kama huyo mtu anaweza kuwa na nia mbaya au ni mtu mbaya. Hii kitu kweli ipo? Kuna watu wa dizaini hiyo?
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao

    Wanabodi Makala yangu Gazeti la Mwananchi la Jumatano hii. TAAMULI HURU: Si lazima kila ukweli usemwe hadharani Jumatano, Januari 08, 2025 By Paschal Mayalla Japo makala zangu zinajikita zaidi kwenye mada za kikatiba, kisheria na haki, lakini mara mojamoja pia ninaingia kwenye mada za kisiasa...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe! Mbowe amejengwa na wanaosema kawajenga yeye

    Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo alifuatwa na Mbowe akiwa ametayarishwa kiuongozi, Lema alifuatwa na Mbowe akitokea TLP na mwaka 2005...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwenye hili?

    Wazoefu mtusaidie kama kuna ukweli hapa. Naona wengi wamekubaliana naye.
  5. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wagosi wa Kaya popote mlipo, nawapa maua yenu albamu iitwayo "UKWELI MTUPU"

    📖Mhadhara (75)✍️ Februari 24, 2002 ilizinduliwa albamu iitwayo "UKWELI MTUPU" kutoka kwa wasanii wawili, si wengine bali ni WAGOSI WA KAYA kutokea kule mtaa wa Kisosora, Tanga mjini. Mmoja aliimba kwa lafudhi ya Kidigo, na mwingine aliimba kwa lafudhi ya Kisambaa. Ilikuwa ni albamu iliyosheheni...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa ni nyumbani. Mwaka 1994, nikiwa na umri wa miaka miwili (2), ndipo safari ya hadithi ya maisha yangu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  8. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, mkikosoa basi mjue na kupongeza pia, Mama anatisha

    Huu ni mwezi wa sita au zaidi, petroli, diesel na mafuta ya taa yanashuka bei kila mwezi, hivi hamuoni au dharau? Au mnangoja yapande ndio mlaumu? Mkijua kulaumu mjue na kupongeza. Mama mpaka achoke mwenyewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Graduates waambiwe ukweli , Career nyingi hasa za kutumia mdomo hazitambui degree zenu. Mjiongeze

    Habari wadau. Nimekutana na graduates wa UDSM analalamika ajira hapati na yeye ana degree ya Journalism & Mass communication from school of Journalism ya UDSM. Baada ya kumsikiliza nilimuuliza swali. Kwamba kama ndio yeye anafungua media yake yenye radio na Tv wanakuja watu kuomba kazi.. mmoja...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Eric Kabendera acha kudanganya umma, ukweli wa kifo cha Ben Saanane uko kwenye huu uzi

    Magufuli hawezi kuwa sio smart kiasi ulicho andika ni low IQ people ndio wataamini hiki ulichoandika
  11. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Zipo wapi nguo za ndani (boxers)za ukweli hapa Dar?

    Ndugu wajuvi, Ni wapi ninaweza kupata boxers zenye ubora hapa Dar? Nyingi zimekaa kiajabu, zinapauka mapema. Sasa, nimeona nijaribu hizi za Woolworth(tazama kiambatisho). Je, kuna mzoefu na hizi boxers za hawa jamaa? Nimeona nianze na piece tatu tu kujaribu. Nikinogewa niongeze. Ninaomba...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ukweli ulio uchi ulivyotoweka milele..

    Uongo alimwambia Ukw eli, "Hebu tuoge pamoja, maji ya kisima ni mazuri sana. Ukweli, akiwa bado na mashaka, alijaribu maji na kugundua kuwa ni mzuri. Basi wakavua wote nguo wakawa uchi na kuanza kuoga. Lakini ghafla, muongo akaruka kutoka majini na kukimbia, akiwa amevaa nguo za Kweli...
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ukweli uliojificha, inakuwaje mtu anakataa kuoa na mafanikio Hana? Kama kutooa mapema ni vizuri kwanini miaka inafika 30 Bado kipato Cha kubangaiza?

    Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa. Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa! Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8 Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio...
  14. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Tutiririke vitu vya msingi kuvijua unaposimamia ujenzi kama mmiliki, haya mafundi tuambieni ukweli 1 2 3

    Habarini wakuu, Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:- 1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa mgawanyo mkubwa na mgawanyo mdogo. Mfano Mgawanyo mkubwa ni Boma-Kuezeka-Kuhitimisha. Ila mgawanyo...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

    Wanabodi, Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu. Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
  16. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao unapaswa kujua

    UKWELI MCHUNGU AMBAO UNAPASWA KUJUA Una mwenzako wa kike kazini, ninyi wote mnapokea mshahara au malipo sawa. Lakini mnapokwenda kula chakula cha mchana, unajifanya "MTU MZURI" na unalipa kwa ajili yenu wote. Mnapochukua teksi kurudi nyumbani, unajifanya tena "MTU MZURI" na unamlipia. Lakini...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hizi taarifa za kupachikwa majasusi/usalama kila taasisi zina ukweli gani?

    Hizi taarifa za kuwepo kwa majasusi/vipenyo(spies) kwenye vyama vya siasa, taasisi za kidini, timu za mpira, makampuni na taasisi nyingine nyingi za umma zina ukweli gani? Mfano katika vyama vya siasa wengine wanaotajawa katika hizi stori ni viongozi wa juu kabisa. Hivi kiuhalisia serikali...
  18. mwl. mziray

    JamiiForums Tanzania Upi Ukweli kuhusu Uwekezaji wa FIC?

    Ndugu zangu, kwa siku za karibuni kumekua na watu mbalimbali katika taasisi za Umma na binafsi wakijihusisha na Uwekezaji katika kampuni ijulikanayo kama FIC ambapo wanaweka mitaji na mitaji hiyo inakua kila siku. Je Uwekezaji huu ni halali? Usalama wa fedha za Wananchi upo? Hii ni sehemu ya...
  19. wasumu

    JamiiForums Tanzania Vyovyote anavyokuwa mwanamke akishaolewa lawama na pongezi ni kwa mumewe huu ndio ukweli

    Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo akiwa na tabia njema wewe ndiye wa kupongezwa. Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko...
  20. wasumu

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu mahari ni utumwa tufunguke macho Waafrika

    Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa. Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
Back
Top Bottom