ujenzi

  1. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bandari ya Abiria Mpigaduri(Zanzibar), Upande wa Tanzania bara nasi tuwekeze kwa Bandari nyingine ya kisasa ya Abiria

    Serikali ya Mapunduzi ya Zanzibar kupitia shirika Lao la Zanzibar Ferry Development wamesaini mkataba wa ujenzi wa bandari ya boti za abiria, ndege maji (Sea Plane) na sehemu ya kupaki na kufungia boti eneo la Mpigaduri lengo kuu ni kupunguza msongamano wa abiria Malindi Port (Darajani). Huu...
  2. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za kukuza gharama za ujenzi wa nyumba kama alivyofanya Mwijaku?

    Kwa kuangalia hii nyumba ya bwana Mwijaku ni wazu kuwa si ya 1.3bln. Kuna faida gani kukuza gharama/thamani ya nyumba? Kuna hasara gani?
  3. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kujiandaa kuanza ujenzi

    Habari wakuu. Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga. Nitakuja...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC ASAS Achangia Shilingi Milioni 15 Ujenzi wa Bweni la Chuo Kikuu cha Iringa

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduz (MNEC) na Mfanyabiashara wa Makampuni ya ASAS, Salim Abri Asas amechangia zaidi ya Tsh. milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la Wanafunzi wa Chuko Kikuu cha Iringa lenye uwezo wa kuchukua Wanafunzi zaidi ya 40 kama sehemu ya kuunga mkono...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aongoza harambee ujenzi wa kituo cha Masista, Milioni 237 yakusanywa

    BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA KITUO CHA MASISTA, MILIONI 237 YAKUSANYWA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha huduma cha Masista wa Shirika la Dada Wadogo kinachotarajiwa kujengwa eneo la Bagamoyo ambapo jumla ya kiasi cha Shilingi...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Agizo;shule zilizofikia asilimia 70 ya ujenzi zisajiliwe. Na wanafunzi waanze kusoma..tunafungua tar 8 mjuuee....

    Nilikuwa namsikiliza waziri husika kwenye its akiwa na viongozi mbali mbali wa elimu na wilaya kilichonishtua kidogo n mh waziri kutangaza leo mwende mkahakikishe shule zote zilizofioia asilimia 70 zianze maramoja jtatu mmh sijajua usajili wa shule unatumia mdagani nimewaza tu kwamaana hio...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange

    Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange Naibu Waziri (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri kusimamia miradi ya ujenzi wa vituo vya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Uwanja uliokarabatiwa wa Amani Zanzibar wakumbusha juhudi za ujenzi za Wachina

    Mwishoni mwa mwaka 2023 ambayo ilikuwa Disema 27, rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi alifanya sherehe kubwa katika uwanja wa Amani, ikiwa ni moja ya mafanikio yake mengi makubwa tangu aingie madarakani mwaka 2020. Sherehe hiyo ambayo ilikuwa ni mahsusi...
  9. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kampuni za ujenzi zilivyokimbia kazi Gavao Same

    Tarura wanatangaza tender location ni kupanua barabara ya changarawe kuanzia saweni juu mpaka gavao Kabla ya kuomba kazi kampuni ya ujenzi inataenda kutembelea eneo husika ili kujirithisha sababu kuna habari za chini chini walizipata kwamba gavao hapafikiki kirahis Safari inaanza wanaenda...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Akagua Ujenzi wa Mradi wa Nyumba Msomera

    WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni kwa ajili ya...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba

    Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba. Inavyumba vitatu na Choo cha public UKubwa ni 15*16 NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na fundi nimesha mlipa.
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

    Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Ujenzi wa Vituo vya Mafuta kwenye makazi ya watu Serikali inasubiri ya Morogoro yatokee ndio ichukue hatua?

    Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi? Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa jamii na Serikali sijui inaridhia ujenzi huu kwa namna gani? Sijui kwanini haifikirii? Nakumbuka...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange aagiza uchunguzi ufanyike ujenzi wa Kituo cha Afya Malengamakali

    DKT. DUGANGE AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE UJENZI WA KITUO CHA AFYA MALENGAMAKALI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayeshughulikia Afya mhe. Dkt. Festo Dugange ameielekeza ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa kuunda timu ya uchunguzi kukagua matumizi ya fedha nza...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi. Hivi ndo barabara zinavyojengwa kwenye miji mikubwa ya Biashara

    Kwenu Wizara ya Ujenzi Hizi ni barabara za Jiji la Biashara Luanda. Mji Mkuu wa Angola Jifunzeni kuwa kwenye miji mikubwa ya biashara wenzenu wanajenga barabara njia 3 hadi 4 kila upande sio vituko vyenu vya njia 2 kila upande mnavyotujengea barabara za mbagala na Gongo la Mboto hapo Dar kama...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Akagua Eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji Elfu thelathini utakaotumika katika michuano ya AFCON 2027. Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekagua eneo hilo Desemba 15...
  17. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania TARURA hii imekula kwenu, kuendekeza ujenzi usiozingatia viwango

    TARURA ni moja ya taasisi za ujenzi zilizoanzishwa miaka si mingi iliyopita. TARURA imekuwa jibu la wajenzi kwa siku nyingi kuwa na taasisi ya ujenzi chini ya halmashauri nchini. Chini ya Halmashauri kazi nyingi zilifanyika kiholela holela kwa mashinikizo ya madiwani na wanasiasa kwa ujumla...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi atimiza ahadi yake ya ujenzi wa Zahanati Serengeti

    MHE. JULIANA MASABURI AMALIZA AHADI YAKE YA KUTOA CEMENT KATIKA KITONGOJI CHA NYAMERAMA 🗓️ 14 DECEMBER 2023 📍Serengeti, Mara 📸 picha na Matukio Mbalimbali Ndugu Edmund Atanas Changwe Akikabidhi Cement kwa Viongozi wa Kitongoji cha Nyamerama kwa niaba ya Mh Mbunge Juliana Didas Masaburi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara Bugene - Burigi Chato urefu kilometa 60

    Mlima Nyaishozi changamoto yake kubwa kuwa historia Ujenzi Barabara ya kiwango cha lami ya kutoka Bugene hadi Bugiri Chato mkoa wa Kagera urefu wa kilometa 60 kuifikia CHATO NATIONAL PARK unaendelea https://m.youtube.com/watch?v=GkkKS4c16Rg SERIKALI imetoa Sh bilioni 92.84 kwa ajili ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar

    Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
Back
Top Bottom