ujenzi

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi ya Shule afikishwa Mahakamani kwa kutaka kumhonga Afisa wa TAKUKURU

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Morogoro, imemkamata na kumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa shule, Suleiman Mwishehe kwa tuhuma za kujaribu kumhonga Afisa wa TAKUKURU kwa kutoa shilingi Milioni 3 ili asifikishwe mahakamani wakati wa uchunguzi kwa...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Zijue tofauti za rangi na majukumu yake kwa kofia ngumu zivaliwazo kwenye ujenzi

  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi ,tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sweden kusaidia gharama za ujenzi wa SGR Lot 3 (Makutupora - Tabora - Isaka)

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye ameahidi kuwa nchi yake itashiriki kugharamia ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kipande cha tatu kinachoanzia Makutupora mkoani Singida hadi...
  6. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa ajili ya kuendesha mradi wa ujenzi

    Habari za mchana wanajamvi, mimi ni kujana mwenye miaka 33, katika kujitafuta baada ya mapambano ya muda mrefu ya hapa na pale nimefanikiwa kupata kandarasi ya kutekeleza mradi wa taasisi mojawapo ya serikali. Mradi huo una thamani inayofikia 120M, changamoto inayonikabili kwa sasa ni mtaji wa...
  7. Mtewele isaya

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

    Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika. Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais ametoa maelekezo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza. Je, watendaji watatekeleza?

    Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Mifuko 30 ya Saruji (690,000) Ujenzi Ofisi ya UWT Kata ya Ibaba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na kuwapa mrejesho wananchi kuhusu utendaji kazi wa Serikali. Katika ziara yake, Mhe. Juliana Shonza...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kwa Ubadhirifu

    Kesi Namba Ecc 37709/2023 imeamuliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Wilaya ya Kinondoni ambapo mshtakiwa Bw. EZEKIEL SAGITII - Mhasibu katika Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kulipa faini ya shilingi milioni tatu (3,000,000/=) au kutumikia...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Mkandarasi ongeza kasi ukamilishe ujenzi wa jengo la Wizara

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkandarasi Vikosi vya Ujenzi kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Wizara linalojengwa katika Ofisi za Serikali Mtumba Jijini Dodoma ili kuendana na ratiba ya ukamilishaji. Bashungwa ametoa agizo hilo Januari 29, 2024 wakati akikagua...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Nishati Tanzania na Zambia wajadili ujenzi wa bomba jipya la mafuta

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Peter Kapala, leo Januari 29, 2024 wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali ya Tanzania na Zambia kuanza ujenzi wa bomba la inchi 24 la kusafirisha mafuta safi kutoka Tanzania...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Mkoa wa Tanga Achangia Milioni 10 Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mwembeni

    KOMREDI RAJABU ABDURRAHMAN ACHANGIA MILIONI 10 UJENZI WA ZAHANATI KIJIJI CHA MWEMBENI "Katika kuitekeleza ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 nimechangia Tsh 10,000,000/ (milioni kumi) kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Mwembeni, Kata ya Madanga wilayani Pangani" - Komredi Rajabu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Aweso aelekeza mkandarasi eneo la chanzo cha maji Ruangwa kuripoti kazini, aridhishwa na ujenzi wa tenki

    AWESO AELEKEZA MKANDARASI ENEO LA CHANZO CHA MAJI RUANGWA KURIPOTI KAZINI, ARIDHISHWA NA UJENZI WA TENKI Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametembelea na Kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa vijiji 34 vya wilaya ya Ruangwa na Vijiji 21 vya Wilaya ya Nachingwea kutoka Chanzo cha mto Nyangao. Aidha...
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

    Ndugu zangu waislamu, nimekuwa nikitembea maeneo mengi sana, misikiti inajengwa hata sehemu kusipokuwa na waumini wa kuswali ndani ya misikiti hiyo. Muda wote inakaa imefungwa tu, misikiti imekuwa ni nyumba za popo. Misikiti hii mingi inajengwa kwa fedha zinazotolewa na wafadhili. Vipo vitu...
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yaizuia Serikali kukusanya Kodi ya Ujenzi wa Nyumba

    #KENYA: Mahakama ya Rufaa imeongeza amri ya kuzuia Serikali isikusanye Kodi Maalum ya Ujenzi wa Nyumba ambayo ni kati ya zinazotekelezwa kupitia Sheria ya Fedha ambayo imelalamikiwa na kuongeza Gharama za Maisha kwa Wananchi. Zuio hilo linafuatia zuio lililotolewa na Mahakama Kuu Novemba 2023...
  17. Taured

    JamiiForums Tanzania Vibali vya ujenzi kwenye maeneo ya squatter

    Habari Wanasheria mlioko humu, Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji. Wanacnchi tulijichanga wenyewe na KULETA huduma MBALIMBALI kama vile barabara , maji na umeme na kipindi chote hicho...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanasiasa anaona wivu ujenzi wa ofisi kama Makao Makuu ya CHADEMA kwa naye mbali anaweza kukupa hata sumu

    Kuna watu wamezaliwa na roho mbaya, wana roho na wataendelea na roho mbaya. Kuna watu niwakatili na wataendelea kuwa wakatili. Ukiona kiongozi anasimama adharani analalamika chama cha siasa kujenga ofisi basi tambua huyo mtu akipata upenyo anaweza kuchoma moto hata nyumba ya jirani yake ambaye...
  19. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Fundi Ujenzi Nnapatikana Moshi, Kilimanjaro

    Fundi Ujenzi (Mason Contractor), Naitwa Hussein Machui,Napatikana Moshi,Kilimanjaro najihusisha na maswala ya ujenzi kama Fundi. Nmekizi vigezo vyotee.. Naomba kazi 0673817130
  20. father-xmas

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hii inapunguza gharama za ujenzi?

    Habari waheshimiwa. Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike. So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa ya kununulia ila mafundi wananikatisha tamaa kuwa nitapata hasara tu ni bora kununua. Naomba kujua...
Back
Top Bottom