ujenzi

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Awamu ya kwanza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Iringa imekamilika kwa Tsh. Bilioni 68

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa utafungua fursa za kiuchumi, kuvutia uwekezaji na kurahisisha usafiri kwa wananchi, wafanyabiashara na watalii. Ndejembi ameyasema hayo mkoani Iringa alipokagua maendeleo ya awamu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali inashangaza sana katika ujenzi wa barabara Dar es Salaam, ni nyembamba na haziendani na kasi ya maendeleo ya Jiji

    Ninashangaa kuona kuwa hadi mwaka 2026, Serikali bado inajenga barabara zenye njia mbili tu kwa magari ya kawaida, licha ya changamoto kubwa ya foleni jijini Dar es Salaam. Kwa mfano, eneo la barabara ya Airport lina nafasi kubwa ambayo ingeweza kutumika kujenga njia nne za magari ya kawaida na...
  3. mjasiriamali mdogo

    JamiiForums Tanzania Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA WAZIDI KUPIGA HATUA

    Ujenzi wa majengo 8 ya ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali Mtumba umekamilika kwa gharama ya Sh bilioni 186, kupitia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Majengo hayo yanahudumia wizara mbalimbali, zikiwemo Madini, Nishati, Ardhi, Mifugo na Uvuvi, Habari, Mawasiliano na TEHAMA, pamoja na Sanaa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania 'Digital Privacy' dhidi ya Uaminifu wa Jadi: Je, kupeana 'Passcode' za simu ni ujenzi wa Uhusiano au Uhujumu wa Faragha? Wajumbe mnasemaje?

    Picha yenye maandishi "Je, Wanandoa Wanapaswa Kukaguana Simu zao?" Ndugu zangu wa Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki (MMU), Katika zama hizi za mapinduzi ya kidijitali, kifaa cha kiganjani (smartphone) kimeacha kuwa chombo cha mawasiliano ya sauti pekee. Kimegeuka kuwa mtambo unaohifadhi...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Katika Awamu ya 6, Sekta ya Ujenzi kwa makampuni ya wazawa imehujumiwa sana. Makampuni mengi yanaelekea kufa

    Sekta ya Ujenzi ndio inaajiri watu wengi sana katika uchumi, kutoka waliosoma hadi kwa vibarua na kinamama Lishe. Sekta hii kwa sasa ina thamani ya Trilioni 6 katika uchumi wa nchi, ikiwa ni 13% ya uzalishaji wote nchini(GDP). Cha kusikitisha katika miaka ya karibuni, sekta hii haina usimamizi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tosamaganga Sekondari, miaka 100 ya uhai, ufanisi na ujenzi wa vizazi tofauti

    Habari wana jamvi wa JF... Leo tumeanza maadhimisho ya jubilei ya miaka 100 (1926 - 2026) ya Shule ya Sekondari ya Tosamaganga. Maadhimisho haya yameanza leo tarehe 08/10/2026 na kilele chake ni keshokutwa tarehe 10/10/2026. Aidha mgeni rasmi katika sherehe hizo ni Mh. Prof. Palamagamba Kabudi...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini viongozi wa serikali hawachangii ujenzi wa mahekalu ya Wahindu ?

    Naona viongozi wa serikali wamejikita katika kuchangia na kusaidia ujenzi wa makanisa na misikiti na kuimarisha miradi ya hizi dini mbili tu huku wakisahau dini nyingine. Ni vyema viongozi wakumbuke Tanzania kuna dini zaidi ya mbili, ndugu zetu Wahindu tumewatenga sana linapokuja suala la...
  9. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kipi kifanyike kiinue uchangiaji katika forums za biashara, intelligence, ujenzi na tech. Zimepoa sana

    Karibuni
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

    Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpya Wizara ya ujenzi nakudokeza tu kuwa Tanroad reshuffle hasa Watendaji mikoani.

    Nimefurahi kuwa Masanja Kadogosa umeteuliwa kuongoza wizara muhimu sana kwa nchi maana aliyepita alikuwa anazungukwa tu kwa kutokuwa na utalaam wowote kwenye hiyo sekta angalau wewe unauzoefu pengine hutazungukwa kiana. Sina mashaka na uzoefu wako kwa kuwa ulikuwa uchukuzi wizara inayofanana...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Je, tuendelee na ujenzi au tusubiri El-Nino ipite?

    Hapo kuna changamoto wataalamu njooni mtoe mwongozo. hasa maeneo yanayotarajiwa kuwa na mvua juu ya wastani
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mafundi Ujenzi punguzeni nongwa mnapokuja madukani na mabosi wenu

    Hii imekaaje, wafanyabiashara wenzangu wa maduka ya vifaa vya ujenzi? Utakuta fundi amekuja dukani na bosi wake kununua vifaa. Ukimtajia bosi bei ya bidhaa, fundi anaanza kusema, “Mbona bei ni kubwa? Hatujawahi kununua kwa bei hiyo, punguza kidogo,” wakati bosi wake yupo kimya na hana tatizo na...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Uchawi kwenye ujenzi wa majumba upo, umeshawahi kukutana nao?

    Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana. Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha, husda ni hatari kule.
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh300M ya Mau Summit–Malaba: Kenya Yapata Grant, Lakini Highway ya Sh130B Bado Haijafadhiliwa Kikamilifu

    Kenya imepata grant kutoka Asian Infrastructure Investment Bank (AIIB) kusaidia maandalizi ya barabara ya Mau Summit–Eldoret–Malaba, project inayokadiriwa kugharimu karibu Sh130 bilioni. Rais William Ruto amesema takriban Sh300 milioni zimepatikana kwa advanced feasibility study ya corridor...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe aweka jiwe la msingi ujenzi wa madarasa na ofisi Shule ya Msingi Mkwajuni - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya Mkuu wa Shule ya Msingi Mkwajuni, Kata ya Kitomanga, Manispaa ya Lindi, ikiwa ni utekelezaji wa...
  17. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania DC Tarime akumbusha katazo la kuendeleza maeneo yanayoguswa na mradi wa ujenzi wa bwawa la TSF – North Mara

    Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe. Meja Edward Gowele, amewakumbusha wananchi wa Kijiji cha Nyangoto, Kata za Mangoto na Nyangoto, kuzingatia katazo la Serikali la kutofanya maendeleo mapya katika maeneo yanayoguswa na Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la TSF wa Mgodi wa Dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na...
  18. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kutumia SUMA JKT kandasasi za ujenzi uliishia wapi?

    Tukiwaambia CCM ndo kikwazo cha maendeleo ya inchi hii muwe mnaelewa. Na tatizo kubwa ni rushwa wanazopata kwa kuwapa tenda wachina hata kujenga jengo tu. Kama SUMA jkt walijenga ikulu na majengo mengi ya umma kwa viwango bora kabisa na garama ndogo, kwanini baada ya kifo cha magufuli tenda za...
  19. Iris154712

    JamiiForums Tanzania Unatafuta Mitambo ya Ujenzi kutoka China? Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Utapeli

    Salamu zenu, wenzangu. Ninauliza swali: Ni njia gani bora ya kupata vifaa vya ujenzi kama mitambo ya kuchimba na mitambo ya kupakia kutoka China bila kuingia kwenye udanganyifu? Kuna kituo cha biashara cha kimataifa cha mitambo ya ujenzi nchini China ambacho kinalenga kurahisisha mchakato wa...
  20. Lamomy

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

    Mwanaume anayekusaidia kutoa miguno wakati wa kudinyana. Anakuuliza “Vipi mama nakuumiza mke wangu? Pole beibeyyy 😘 Misumari kilo moja Halafu kuna Yule anakuangalia usoni kisha anakuuliza nini mamaa nipunguze kasi? Unamjibu hapana traaamuuuu 😹😹😹 Misumari kilo mbili Halafu kuna yule anataka...
Back
Top Bottom