ujenzi

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukuta mafundi ujenzi hawana vifaa vya usalama Kariakoo ni kawaida, wengine wanapanda ghorofani kujenga wakiwa na yeboyebo

    Kero yangu ni ujenzi holela unaoendelea maeneo ya Kariakoo, mamlaka zifanye ziara za kushtukiza, maeneo mengi mafundi wako ghorofa ya 8 au yoyote ile ya juu lakini kuwakuta wakiwa hawana vifaa vya kinga hilo ni jambo la kawaida. Unakuta wananing'inia huku miguu wamevaa yeboyebo, hakuna mwenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Michese ujenzi utaisha lini? Diversion ni ndefu inayoongeza gharama ya nauli

    Barabara kipande cha vumbi Michese Dodoma ni kero kubwa na baada ya njia rasmi ya magari kufungwa na inayokusudiwa na wasafiri kutopewa umuhimu sisi wakazi wa Michese tunateseka saana usafiri umekuwa mgumu saaana ni kama hatuna diwani wala serikali. Njia rasmi ilifungwa kupisha SGR inayokwenda...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Nani anaruhusu ujenzi katika maeneo ya Hifadhi ya Morogoro Road (Kimara–Mbezi Luis)? Je, tumesahau yaliyotokea 2017?

    Takribani miaka 10 iliyopita, Watanzania walishuhudia moja ya operesheni kubwa za ubomoaji wa makazi na biashara zilizokuwa kandokando ya Barabara ya Morogoro, maarufu kama Morogoro Road. Kuanzia Korogwe, Kimara, Mbezi Luis hadi Kibamba, nyumba, maduka na vitega uchumi vilibomolewa kwa maelezo...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Ujenzi wa SGR Makutupora ni 14% wakati angelikuwepo hayati Magufuli Ujenzi wa SGR ungekuwa umefika Mwanza kwa 100%

    Kuna janjajajanja tu tu wafanyabiasha wanaomiliki mbasi na malori hawataki ujenzi wa Sgr ukamilike kufikia 100% kwa sababu ya manufaa ya biashara zao. Hayati JPM aliwadhibiti .Leo hii Sgr ingekuwa imeshakamilika.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega atangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja Malinyi na Ulanga

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja katika wilaya za Malinyi na Ulanga, mkoani Morogoro, kwa lengo la kuboresha huduma za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi. Miradi hiyo inahusisha ujenzi wa barabara ya...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania Kiluvya: vitisho na matumizi ya nguvu katika ukusanyaji pesa za ujenzi wa barabara Mh Rais Diwani wa kiluvya anakuchonganisha na wananchi wako

    YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshwaji wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Majengo, Kizota na Stendi Ndogo ya Mnada Mpya

    Wana bodi, kumekucha, tunamshukuru Mungu kwa kutujaalia uzima. Naomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshwaji wa ujenzi na maboresho ya masoko ya Majengo, Kizota na Stendi Ndogo ya Mnada Mpya. Tunaomba kufahamu miradi hii itakamilika lini. Tunaiomba Serikali, pamoja na viongozi na wasimamizi wa...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Kipekee sana Rais Samia anaweka alama nyingine ya maendeleo nchini kwa ujenzi wa shule 103 za Amali

    Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii. Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
  10. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata hivi vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam?

    Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa. Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RC Arusha: Ujenzi wa barabara LUDUARE- Serengeti umeanza na hatua za kuunganisha Ngorongoro na Monduli

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amesema serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeanza ujenzi wa kipande cha barabara ya Luduare- Serengeti (Km88), akisema barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha tabaka gumu ili kuondoa adha kwa watalii wanaotembelea hifadhi ya...
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mstahiki Meya Kinondoni, Rangi za Nyumba Hazitaficha Majitaka, Vumbi na Ujenzi Holela wa Kinondoni

    1/ Nimeusikia ujumbe wa Meya wa Manispaa ya Kinondoni unaowataka wananchi kupaka rangi nyumba zao ili kuboresha mandhari ya mji. Lengo la kuwa na mazingira yanayovutia ni zuri na linaweza kuungwa mkono na wengi. 2/ Hata hivyo, kabla ya kuanza kuwataka wananchi kufanya maboresho ya mwonekano...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinawaumiza vichwa Wakenya kama mpango wa ujenzi wa uwanja wa Serengeti, Ponea yao ni wabunge wetu kina Nasari na Musukuma wanaoupinga

    kwa miaka mingi tume co exist kawaida kushea mbuga hii special duniani, Upande wao inaitwa Masai Mara upande wetu inaitwa Serengeti. watalii wao walishukia Nairobi, wetu wanashukia KIA, Baada ya hapo husafiri kwa magari au kukodi ndege ndogo hadi mbugani. Lakini wameona haitoshi. Wanajenga...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  15. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Wakuu usiishie kuweka wasimamizi tu jaribu kuwa unaibuka site japo mara moja moja!

    Kumekuwepo na tabia ya wamiliki wa majengo kuwaamini moja kwa moja mafundi au wasimamizi.Ila kinachofanyika site za ujenzi ni aibu!
  16. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kusimamia ujenzi

    Nina uzoefu na kufanya kazi kwenye ujenzi kama Kuna mtu anataka mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba yake Niko hapa
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Sakata la Milioni 800 za Wananchi: Kilio Chaibuka Ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi Kusuasua, IGP Aombwa Kuingilia Kati

    Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Wananchi wa Itumbi pamoja na...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yaja na mpango wa miaka 10 ujenzi wa bandari kavu mitaani

    Kutokana na ongezeko la mizigo katika bandari ya Dar es Salaam, Serikali imekuja na mpango wa miaka 10 kuanzia Julai 2026 kwa ajili ya kupanua maeneo ya kuhifadhi mizigo kwa ujenzi wa bandari kavu (ICD) mitaani. Hayyo yameelezwa Juni 16, 2026 na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura...
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa tawi la chuo kikuu MUHAS Mkoani Kigoma wafikia 78.9%

    Kutoka kwenye chanzo cha kuaminika serikali imejenga tawi la chuo kikuu MUHAS mkoani kigoma na umefikia aslimia 78.9 ambapo mwezi wa nane utakamilika rasmi na kuanza kupokea wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
  20. UjenziTz

    JamiiForums Tanzania Huduma za Ujenzi: Ramani,B.O.Q, Vibari na Ujenzi

    KARIBU KWA HUDUMA BORA ZA UJENZI Huduma zetu ni kama zifuatazo 1.Ramani za nyumba aina zote 2.Kuanda makàdirio ya ujenzi Yani B.O.Q 3.Ufatiliaji wa vibari vya ujenzi na Mabango 4.Ujenzi na usimamizi. 5.Uhuishaji majengo(Renovation) 5.Ushauri wa kitaalamu wa Ujenzi. Karibu tukuhudumie,,huduma...
Back
Top Bottom