ujenzi

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bashungwa amsimamisha Meneja wa TANROADS - Lindi, akuta mtaalam wa Falsafa na Wananchi wakisimamia ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Amataka Mkandarasi Barabara ya Nanganga - Ruangwa Kuelekeza Nguvu Ujenzi wa Madaraja

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Lindi kuhakikisha wanamsimamia Mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group anayejenga barabara ya Nanganga – Ruangwa (km 53.2) kwa kiwango cha lami, kuelekeza nguvu katika ujenzi wa Daraja la Lukuledi...
  3. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Tuomba na sisi mafundi ujenzi wadogo wadogo utukumbuke kama ulivyowakumbuka waigizaji

    Tungetoa ushauri ni vipi tutambuliwe rasmi na tuingizwe kwenye mfumo wa kulipa kodi. Tungeweza toa ushauri wa vipi tumiliki mashine za VAT Tungejitolea kujenga madarasa (hata vyoo kama madarasa hatuaminiwi) kwa gharama ndogo kabisa. Tungeshiriki ipasavyo kurekebisha dosari ndogondogo za...
  4. greater than

    JamiiForums Tanzania Points 10 za ujenzi: Unyevu/damp katika jengo

    MAKALA YA 3 Karibu katika Makala yenye kuelimisha mambo muhimu kuhusiana na ujenzi wa Majengo. Leo,tutaangazia juu ya DAMPNESS/Unyevu katika jengo. Hili ni jambo linalokumba Majengo nchi nzima. 1.Dampness/ Unyevu jengoni: Hii ni hali ambayo sehemu za jengo huonekana na hali ya kulowana au...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inanufaika na ujenzi wa China yenye nguvu katika mtandao wa internet

    Tarehe 27, Februari, mwaka 2014, rais Xi Jinping wa China alitoa dira ya "kujenga nchi kuwa na nguvu katika sekta ya mtandao wa internet". Katika muongo mmoja uliopita, China imejizatiti katika utekelezaji wa dira hiyo na kupata mafanikio makubwa, iwe katika upatikanaji wa huduma za internet au...
  6. greater than

    JamiiForums Tanzania Points 10 za ujenzi: Joto ndani ya jengo

    MAKALA YA 2 Karibuni tena katika Makala yenye kutoa elimu juu ya mambo muhimu kwenye ujenzi wa Majengo (madogo) I.e. Nyumba, Maduka, Darasa, Zahanati n.k Leo tunatazamia katika Halijoto ndani ya jengo.Hili suala linawasumbua wakazi wa mikoa ya ukanda wa Pwani, Longido, Loliondo, Simanjiro...
  7. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection katika kazi za ujenzi

    Wakuu habari Majukumu! Wakuu Mimi ni fundi Ngungwa (Kibarua), Nimefanya kazi Mradi wa Mwalimu Nyerere Rufiji lakini toka nimalize mkataba wangu kule mwezi wa 9 mwaka jana sijapata kazi yoyote ya kunipatia liziki. Kuna mradi huwa nafuatilia hii sasa ni wiki ya pili bila mafanikio...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini Mikataba miwili ya Tsh. Bilioni 398.7 na AfDB kwaajili ya ujenzi wa SGR

    Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (@afdb_group ) zimesaini mikataba miwili yenye thamani ya takribani dola za Marekani milioni 158.1 (sawa na shilingi za Tanzania, bilioni 398.7) kwa ajili ya ujenzi wa Mradi wa Kimataifa wa Reli ya Kisasa (SGR) utakaoziunganisha nchi ya...
  9. greater than

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mambo 10 muhimu kuhusu ujenzi wa msingi

    MAKALA YA 1 Karibu katika Makala uhusio Ujenzi Majengo madogo mfano; Nyumba,maduka,Zahanati,Darsa n.k Leo tuangazie ujenzi wa msingi(foundation) wa jengo. Yafuatayo ni mambo 10 muhimu kuhusu msingi 1.Ujenzi wa jengo hujumuisha sehemu kuu tatu.Ambazo ni paa,kuta na Msingi hufanya kazi zifuatazo...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Emmanuel Cherehani achangia ujenzi wa zahanati Busulwanguku

    Mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ametoa kiasi cha Shilingi Milioni 5 kuchangia ukamilishaji wa jengo la Zahanati katika kijiji cha Busulwanguku kata ya Idahina Halmashauri ya Ushetu, Mkoani Shinyanga. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji hicho Cherehani...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Misri waanza ujenzi wa ukuta mkubwa kwenye mpaka wa Rafah

    Wakimbizi ambao hawataamia kwenye kambi zinazojengwa na Israel, wameachiwa wajifie huko Rafah ============= Egypt is constructing a wall along its border with the Gaza Strip in Rafah, where 1.3 million civilians remain displaced as Israel clashes with Hamas terrorists, Egyptian officials told...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Ujenzi 2023/24 ilikuwa 812 billioni zilizopokelewa ni asilimia 12 tu?

    Kwanza nimeshukuru Mhe. Chege - Mbunge wa Rorya kwa ufafanuzi na swali alilouliza kuhusu fedha za barabara zilizoidhinishwa kwenye bajeti na zilizopokelewa. Mpaka sasa tumebakiza miezi minne tu kuanza na bajeti mpya ya 2024/25. Ninauliza ninyi Wabunge tuliwatuma kuisimamia Serikali, Je...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Sijasomea ujenzi, uhandisi wala sina uzoefu na ujenzi, nilazimishe mwenyewe kienyeji kusimamia ujenzi au nitafute mtaalam mzoefu wa kusimamia ujenzi ?

    Nyumba niliyonayo ni ya urithi, nilipewa ikiwa imemalizika vitu vingi, nilihamia tu ? Nami nataka nijenge nyumba ambayo pengine naweza pia kuirithisha huko mbele. Sina ujuzi wala uzoefu wowote wa kujenga. Kwenye usimamizi kitu pekee nachoweza labda ni ulinzi wa vifaa na kuhakikisha mafundi...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na...
  15. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Imetimia sasa, Yanga kuanza Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa Jangwani

    Habari njema Tumeipokea kupitia Ujumbe wa Rais wa Club: Injinia Hersi. Uwanja utajengwa kwa Udhamini wa moja kwa moja wa GSM. #Daimambelenyumamwiko#
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aipa Mwezi Mmoja Kamati ya Uwezeshaji wa Wazawa Sekta ya Ujenzi

    BASHUNGWA AIPA MWEZI MMOJA KAMATI YA UWEZESHAJI WA WAZAWA SEKTA YA UJENZI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa kuongeza ushiriki wa Wazawa katika Miradi ya Ujenzi kukamilisha maboresho ya taarifa hiyo ili iweze kubeba maudhui yote ya Sekta ya...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Njombe: Daktari mbaroni wizi wa vifaa vya ujenzi wa hospitali

    Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe. Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

    Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo. Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANROADS Kutumia Teknolojia Mbadala Ujenzi wa Barabara Nchini

    TANROADS KUTUMIA TEKNOLOJIA MBADALA UJENZI WA BARABARA NCHINI Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imefanya majaribio ya awali ya matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi wa Barabara kwa baadhi ya maeneo na inaendelea kutathmini ufanisi wake kwenye mazingira kwa kutumia...
  20. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania AFRICON 2027 inakuja na neema ya ujenzi wa barabara 4 ,kuanzia mbagala - chamazi- chanika

    Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes).. Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
Back
Top Bottom