uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Nani unamtabiri kuwa Rais mpya wa TFF katika uchaguzi wa mwezi wa nane ?

    Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea. kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena. Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
  2. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka U Rais shirikisho la Riadha Tanzania, Uchaguzi ni Agosti 16 2025.

    Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini Mwanza. Aidha ametaja nafasi zinazogombewa ni rais wa shirikisho Nafasi (1) , makamu wa rais wa...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dorothy Semu: Tukisusia uchaguzi tutakuwa tunaimarisha hujuma dhidi ya demokrasia. ACT Wazalendo tutaikabili CCM itakavyokuja

    Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati. Amesema ''Tumeona na tumejifunza tunaposusia uchaguzi, tunaendelea kuimarisha hujuma dhidi ya demokrasia, CCIM...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kulikoni baadhi ya nchi zimechukia kusikia uchumi wa Tanzania unaimarika vizuri sana na inajitegemea kugharamia uchaguzi wake mkuu kwa asilimia 100%?

    Kwani kipi cha ajabu hapo? Au walidhani dhamira njema na jitihada madhubuti za makusudi za kiuchumi za Dr.Samia Suluhu Hassan ilikua mzaha? Huu ni mwanzo tu. mwaka ujao wa fedha, bajeti ya serikali sikivu ya CCM chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan na Makamu wake Dr.Emmanuel Nchimbi...
  5. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona uchaguzi wa mwaka huu, hauna Shamrashamra, ndelemo na vifijo?

    Katika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli. Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  7. Mayor of kingstown

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya uchaguzi 2020 bilioni 300 Vs Bajeti ya uchaguzi 2025 trillion 1

    Kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha shilingi za kitanzania Bilioni 331 wakati wa uchaguzi 2020, Vs Kwa mujibu wa Bajeti ya Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha shilingi za kitanzania Trillion 1 wakati wa uchaguzi 2025 Kuna siku tutaamka...
  8. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Matukio ng'amuzi kwa mwaka huu wa uchaguzi 2025.

    Tafakari,, Mwaka huu wa uchaguzi 2025 una migogoro mingi hatarishi kuliko miaka yote- 1). Kuna mgomo baridi ya kimichezo kutokucheza na wanaenda mbele wanatishia kuandamana, kati ya YANGA UPANDE MMOJA na bodi ya ligi, TFF kwa pamoja Kwa upande mwingine, ukiangalia utasema ni suala la michezo tuu...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Debora Tluway: Hatusitishi Uchaguzi, Oktoba Lazima Tutiki

    DEBORA TLUWAY: HATUSITISHI UCHAGUZI OKTOBA LAZIMA TUTIKI Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura...
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Marekani ina katiba nzuri na mfumo mzuri wa uchaguzi, lakini vurugu na risasi havikomi — Kwanini?

    Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na uhuru mkubwa. Licha ya hayo yote, bado katika Taifa hilo kubwa duniani, tunashuhudia matukio ya...
  11. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025: Chagua kuwa Kasongo

    "Si kila mnyama wa porini huweza kuvuka msitu wa siasa; ni yule anayejua kufuata njia kwa akili, subira, na ujasiri atakayevuka salama. Ukitaka kuvuka salama, acha ujanja wa Sungura badala yake chagua hekima ya Ngiri."— Alloyce, P.R.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa: Uchaguzi wa Tanzania utafadhiliwa kwa fedha zetu wenyewe

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025 utafadhiliwa kwa fedha za ndani, amesema hayo leo Juni 11, 2025.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania kujigharamia uchaguzi yenyewe

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
  14. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025

  15. W

    JamiiForums Tanzania Yote haya ni kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi wa TFF na Yanga wameanza kujipanga mapema kuhakikisha wanachukua uongozi.

    Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9. Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na kujipa uongozi. kwa mujibu wa Katiba ya TFF anaweza kuchaguliwa kwa terms mbili, Karia ameshamaliza...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama kilicho likizo, kama angesaini kanuni za uchaguzi, Msajili akaja kumtengua, sahihi yake ingetenguliwa?

    Na Askofu wa dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake wa Facebook anaandika, DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira. Siku moja nusura nizichape na rafiki yangu Mwislamu. Akaniuliza; nyie Wakristo mnasema Yesu alikufa...
  17. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga yaungana na Tabora United kupendekeza Wallace Karia kugombea bila mpinzani katika uchaguzi ujao wa TFF

    -------------------------------------------- --------------------------------------------
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Jaji aliyesoma hukumu ya CHADEMA ni Mzanzibar? Aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar

    Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata? Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania. Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali...
  19. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025 #GE2025

  20. Farolito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki

    Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio...
Back
Top Bottom