Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.
Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.
Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.
Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
act
haki
haki ya kupiga kura
kupiga
kupiga kura
kura
maalum
mpango
tume
tume ya uchaguzi
tume ya uchaguzi zanzibar
uchaguziuchaguzi zanzibar
wananchi
wengi
zanzibar
Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.
Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa.
Cc Nyani Ngabu
Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya amabaye ni kiongozi mkongwe zaidi duniani kwa sasa ametekeleza mabadiliko makubwa katika safu ya juu ya jeshi siku chache tu baada ya kutangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane kwenye uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12. Kupitia amri za...
Asalam aleykum waislamu wenzangu.
Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji.
Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani.
Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee...
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini
Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
Hellow!
Nijuavyo, makusanyo ya ndani yanatosha pekee kulipia mishahara kulipia watumishi wa umma, pesa ya miradi mara nyingi ni mikopo na misaada.
Na ukweli huu ndio sababu hata ujenzi wa matundu ya vyoo, wanakijiji wamekuwa wakibanwa wachangie, wengine Hadi wanakamatiwa mifugo Ili ipatikane...
Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
jamiicheck
kufanya maamuzi
serikali za mitaa
serikali za mitaa 2024
taarifa potoshi
taarifa sahihi
uchaguzi
upotoshaji
upotoshaji 2024
vyama vya upinzani
wananchi
Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa.
Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi.
"Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
Balozi Polepole aneweka wazi kuwa sababu za kujiuzulu katika nafasi yake ya ubalozi ni kuwa, serikali anayoitumikia haisimamii maslahi ya umma. Tuko katikati ya July na October haiko mbali.
Chama kitauzaje sera zake kwa wananchi wakati barua wazi ya Balozi Polepole inanyoshea kidole mapungufu...
Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu!
Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya
Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
Kila jambo katika maisha ya mtu kwa kujua au kutokujua hupata nafasi katika maisha ya mtu kutokana na uchaguzi wa mtu huyo.
Maisha yako ni jumla ya matokeo ya uchaguzi wako.
Linda sana nguvu yako ya kufanya uchaguzi, hayupo anayependa uchague unachotaka.
Taratibu tu mada itaeleweka.
Kuna kila dalili watalazimisha uchaguzi ufanyike.. Mbele naona giza
Kwa cover unakiona chama kinaitwa CCM lakini ndani sivyo.. Ni kundi dogo la watu wachache..Ni sawa na kuwa na body ya landrover engine ya Toyota
Ndani ya kinachoitwa ccm wameendelea na mchakato kutafuta watakaogombea nafasi za...
April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa...
Sijui hutu tumjamaa tulikuwa tumetumia nguvu za giza au tulikuwa tumemwaga upupu kwenye kila kituo cha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo alianza kuwasha mwili mzima. Jinsi alivyokuwa anakikaribia ndvyo alivyozidi kuwasha na kumfanya arudi nyumbani.
Ukiondoka kwenye kituo kuwashwa kunaisha...
Salaam !
Sasa Ile operation yenye nguvu ya NRNE imeingia chama Cha kijani, sasa ni Jimbo la Kisesa.
Nikiripoti kutoka Jimbo la Kisesa, ni Mimi mwana mabadiliko rabbon!
NRNE 💪 🔥
Karibuni 🙏
Tumjadili Zitto, kweli huyu ana akili timamu? Kama ana akili timamu basi amekula kitu kutoka CCM
Soma pia: Pre GE2025 - Je, ACT Wazalendo watakubali kushinikiza maboresho ya sheria ya uchaguzi kupitia msimamo wa Chadema?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.