uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Watu waelewe kuwa propaganda za chama tawala ni namna ya kutafuta kisingizio kwamba wameshinda uchaguzi mkuu, hata wasiposhinda watatangazwa washindi

    Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM. Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms, hata kama zikifanyika na upinzani ukashindwa kutwaa kiti cha raisi, zitatoa fursa ya kuwa na wabunge...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kama uchaguzi Oktoba 2025 ukipelekwa 2027 , kipi bora Reforms za uchaguzi au Rais Mama Samia atupe katiba Mpya ?

    Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla. Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitaahirisha uchaguzi ng'o

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali iliyoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya uchaguzi yapongezwa maandalizi uchaguzi mkuu 2025

    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuendelea vyema na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Dkt. Yonazi ametoa pongezi hizo leo...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Wanafunzi vyuo vikuu tutashiriki uchaguzi, Instagram Facebook na X sio Tume Huru ya Uchaguzi

    Wakuu Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7. === Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo upite tutaendelea hadi mabadiliko

    Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo uishe tutaendelea hadi mabadiliko. Kama samia anajikimbiza kwenye uchaguzi wa mchongo ili kujiwaisha sisi wimbo ni ule ule no reforms no ELECTION hatuutambui uchaguzi bila mabadiliko.
  7. Mkweliii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Buchanagandi Kiiza: Sitokuwa sehemu ya wagombea wa kiti cha ubunge Biharamulo katika uchaguzi huu wa 2025

    UTANGULIZI. Awali ya yote napenda kumshukru mwenyezi Mungu, muumba mbingu na nchi kwa kutujaria uhai, nguvu na uwezo wa kutukutanisha leo tukiwa wazima buheri wa afya. SHUKRANI. Kabla ya kuendelea naomba mniruhusu nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi wafuatao ambao kwa namna moja ama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali iwe makini sana na hivi vyombo vikubwa vya habari km ITV na Mwananchi, hasa Mwananchi kipindi hiki cha uchaguzi wadhibitiwe, not friendly

    Watanzania huwa tunafuatilia hotuba za kiongozi wetu mkuu wa nchi, from A-Z tunajua Rais alichozungumzia. Jana Rais alikuwa kwenye ibada ya Iddi Kinondoni-Dsm, mashehe walisisitiza amani, utulivu wa nchi, umoja wa kitaifa, kaangalie gazeti la Mwananchi leo "BAKWATA yataka haki uchaguzi mkuu"...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wasiojihusisha na Siasa tu!. - This is Your Message Soma

    Unamsikia binti anasema “Mimi siasa sio vitu vyangu” Kikubwa nakula nashiba nalala naamka! Au kijana wa maana kabisa anakwambia “Mimi ishu za siasa sizimii kabisa zinanipotezea muda” Kikubwa uhai tu!!. Binti au kijana huyo huyo akienda kupanda mwendokasi akakutana na zile mbilinge mbilinge...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja ndani ya uchaguzi tutarajie kuzimwa internet mpaka watakapojitangaza?

    Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa. Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika. Hakutakuwa na internet mpaka watakapomaliza watakalo.
  11. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Hivi Kura tunazopiga uchaguzi Mkuu zinahesabiwa kweli?

    Wadau nilitaka kujua kama Kura tunazopigaga kwenye uchaguzi Mkuu kama kweli zinahesabiwa na kujumlishwa sawasawa! Thamani ya Kura ipo wapi? Hawa jamaa wa No Reforms, No election Wana hoja
  12. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Kiherehere cha Mbweha na uchaguzi mkuu.

    "Mbweha aliposema, 'Pasipo mabadiliko hakuna uchaguzi,' aliulizwa: 'Na pasipo ukweli, mabadiliko yanatoka wapi?' Akakimbia kwenda kugombea tena." - Alloyce, P.R.
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Chadema wanaona Mbali sana,Tume huru ya uchaguzi itatupatia viongozi wawajibikaji na wenye kuheshimu wapiga kura

    Rasmi sasa kile chadema wanahubiri CCM wameanza kuelwa ila sema tu ndiyo hivyo. Jamani mwenye wimbo wa kanyagakanyaga CCM ni waongo atupoie hapa,
  14. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

    Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni, wanakimbia kwa mpangilio asubuhi na mapema, wakiandamana na askari waliobeba silaha. Kwa mtu asiye...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Chadema inapoomba kushiriki uchaguzi, huku ikiendeleza kampeni yake ya N. R. N. E, Tuielewaje?

    Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa? Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa, Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Msimuonee Kiongozi Wetu Kisa Mnamuabudu Shetani!

    Naam... Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu. Nje ya box. Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election. Naqnaza kuamini mwaka huu No Election, kwa sababu hiki kinachoendelea unadhani raia gani ataenda kupiga kura?. Hata...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yasisitiza Uwazi na Uhuru Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mimi kama Rais wa kijani nitasimamia reforms kwa miaka miwili ndipo tuingie kwenye uchaguzi mkuu 2027

    Hatuwezi Fanya uchaguzi Kwa kelele hizi zilizopo, Uminywaji wa haki ya kuchagua na kuchaguliwa utasababisha machafuko huko mbeleni na wananchi kukosa Imani na serikali!! Ni aibu kuona jeshi la polisi likizunguka kanisa na silaha za moto kana kwamba Kuna tishio la kigaidi!! Nitasimamia reforms...
  19. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari kuwekewa ngumu kufatilia uchaguzi Burundi

    Toka jana, waandishi na watangazaji wengi nchini Burundi, wamekwama jijini Bujumbura. Lengo lao lilikuwa kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi. Chama tawala cha CNDD-FDD, kiligawa nchi na kupata majimbo 5 ya uchaguzi. Waandishi hao na watangazaji, kwa mjibu wa taratibu za chama tawala, CNDD-FDD...
  20. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
Back
Top Bottom