uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Tutaandamana nchi nzima kudai haki ya wagombea wetu walio enguliwa kwenye uchaguzi

    Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu unaonesha upinzani utakuwa mkali sana kati ya Vyama vya Upinzani

    Kulingana na hotuba chache nilizopotia kuelekea Uchaguzi huu ujao wa mwezi Oktoba,2020 nimebaini kuwa upinzani utakuwa katika kumbo la kupingana wenyewe kwa wenyewe na siyo kuonesha uhai wao wa kukiwajibisha chama kinachotawala. Wagombea wa upinzani wameshaanza kuchafuana wenyewe kwa wenyewe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yawataja wabunge 18 waliopita bila kupingwa. Wamo Nape, Kigwangala, January, Kabudi, Mnyeti...

    1. Ushetu - Elias Kwandikwa 2. Kongwa - Job Ndugai 3. Gairo - Ahmed Shabiby 4. Kilosa - Palamagamba Kabudi 5. Mvomero - Jonas Van Zeeland 6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent 7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani 8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe 9. Kavuu - Geofrey Pinda 10. Songwe...
  4. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wanasubiri kwanza Ilani ya Uchaguzi ya CCM itolewe!

    Siasa zina mbinu nyingi katika ushindi. Moja ya mbinu ni kujua adui wako ana silaha za aina gani kabla haujaingia kwenye mapambano! Kwa mfano, Miaka ya nyuma, wapinzani walikuwa wanasubiri kwanza CCM iteuwe wagombea wake ili waliokatwa wajiunge kwenye vyama vyao. Kwa kutumia mbinu hii, vyama...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif atoa msimamo juu ya wagombea ACT-Wazalendo kuenguliwa

    Maalim Seif Hamad amesema kuwa Rais Magufuli akizungumza na balozi mwaka huu alimhakikishia balozi kuwa kutakuwa na uchaguzi huru na haki na wazi lakini amesema kwa sasa wananchi wanachokishuhudia ni tofauti kabisa na maneno hayo na si tu kwa Tanzania bara lakini pia hata Zanzibar unga umezidi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi wa 2020 CCM na Dola imejionesha sura yake, ule wakati wa kudai Tume Huru bila kususia Uchaguzi ni sasa

    Mada inahusika. Licha ya ahadi za kufanyika uchaguzi huru na wa haki kutoka kwa Rais JPM na serikali yake ukweli uko wazi. Hakuna dalili na ni kama mchezo umeisha kwenye hii hatua ya uteuzi na mapingamizi. Jiulizeni yale mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hayakulenga kitu kweli? Kwamba ratiba ya...
  8. fenestra rotunda

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitakachotugharimu Upinzani kwenye huu Uchaguzi

    Ni wazi sasa kuwa nguvu kubwa imewekwa kwenye Urais huku Ubunge na Udiwani ukiwekwa pembeni. Hili linadhihirishwa kwa jinsi matatizo ya kuenguliwa wagombea yalivyoshughulikiwa mpaka dakika ya mwisho, na vile muda wa kukata rufaa umeshaisha tayari. Bila kuwapa support hao wagombea waliopata...
  9. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani ya nchi hii ipo mikononi mwa wakurugezi pamoja na Tume ya uchaguzi

    Kilichotokea mkoani Songwe na kupelekea umauti wa Mtanzania ni ishara kwamba amani tunaivuruga wenyewe hasa viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia haki wanashindwa kutumia hekima wala busara mahali panapohitaji hekima au busara kwa maslahi yao au itikadi ya chama Fulani. Ni mambo ya hovyo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya watanzania kumchagua Magufuli kwenye Uchaguzi Mkuu hakika huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa Upinzani

    Imani tuliyonayo watanzania kwa jemedari wetu wa mapambano dhidi ya ufisadi, rushwa, uhujumu uchumi na uzembe ni wa kiwango kisichotiliwa shaka yoyote hususani kwa tukio lilipo mbele yetu la uchaguzi. Binafsi , mimi ni mmoja wa waumini safi wa kazi na misimamo ya Rais Magufuli kwa rasilimali...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, Wakurugenzi wa Halmashauri siyo watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi?

    Mkurugenzi wa halmashauri ( DED) ndiye msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake la kiutawala na ndiye anayetangaza matokeo baada ya Uchaguzi kukamilika. Hata sasa DED ndiye anayepokea fomu za wagombea Ubunge na kutangaza walioteuliwa na wale waliokosa wapinzani. Swali: DED ni mtumishi wa Tume ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo vya habari vya Clouds TV na Radio kwa siku saba kuanzia kesho Agosti 28 na adhabu ya kuomba radhi siku nzima ya leo kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za Uchaguzi. TCRA imesema kosa walilolifanya ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katika Uchaguzi wa Oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio Vyama vya Upinzani

    Katika uchaguzi wa oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio vyama vya upinzania , yani hii ipo wazi kabisa , hawa wapinzani mfano wakina Lissu sio Membe , sijui Zitto hawa wote sio wapinzani wa CCM , ni vyema ikafhamika tu kuwa mpinzani mkubwa wa CCM ni mtanzania kwa maana ya mwananchi ...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Walianza na Seriakli za Mitaa, sasa Uchaguzi ni mzaha tu

    CCM walipoanza mchezo wa kitoto katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa, hatukujua kwamba tabia hiyo itakomaa. Sasa wameingia uchaguzi mkuu, mambo bado ni hayo hayo! Mtu anavamia fomu ya mgombea, eti Tume ya uchaguzi wanaamini vigezo havikufuatwa. Mwingine anaweka picha mwenzie anapinga eti...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hawa wakurugenzi wa Tume ya Uchaguzi waliofanya dhuluma dhidi ya wapinzani hawawezi kushitakiwa Mahakamani?

    Wanasheria tupeni madini. Kinachoonekana ni kwamba wakurugenzi wameamua. Wanavuruga kwa makusudi kabisa zoezi zima la uchaguzi na hivyo kutishia kuvuruga amani ya inchi. Najuliza, ina maana Hao jamaa wana kinga ya kutoshitakiwa? Kwasababu kama mwendo ni huu nibasi afadhali kusiwepo na hizi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume iliwapotosha wagombea Urais nao wakapotoka?

    1. Mapingamizi yaliyowekwa na Lissu ni matokeo ya tafsiri mbaya ya sheria iliyofanywa na Tume, tume inaongozwa na Jaji na wasomi wa Sheria. Je, wanafanya Nini huko ofisini? Unapotoa misleading instructions kwa wagombea Urais si jambo dogo hata kidogo, si makosa ya kibinadamu haya bali ni makosa...
  18. Noel france

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama leo haya yametokea kwa NEC, vipi kuhusu kesho Matokeo ya Uchaguzi?

    Kiukweli Tume ya Uchaguzi imekosa uhalali wa kuendesha uchaguzi huu. Habari zenu wanajukwaa wenzangu. Nasema hivi "NEC imepelea kwenye kujibu hoja za Tundu Lissu kizembe". Imekosa uhalali wa kuendelea kusimamia uchaguzi, kwasababu Inajipinga yenyewe na Sheria zake zilizopo ambazo zinaongoza...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maelezo haya ya Devotha Minja yanasikitisha, Tume ya Uchaguzi tunaomba muingilie na mtende haki

    Yanayoendelea Morogoro, Mwaka huu hakuna kupita bila kupingwa. Pole sana Devota.#NiYeye2020
  20. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza fomu?

    Tanzania ni Taifa la ajabu sana sijawahi kuona. Dunia inatushangaa na vizazi vijavyo vitakuja kutushangaa. Hivi lengo ni kuwapata viongozi au lengo ni usahihi wa kujaza FOMU? Kwanini imekua ni kama mtihani fulani hivi kwamba mtu akikosea kujaza FOMU anaondolewa kwenye nafasi ya kugombea? Kwa...
Back
Top Bottom