uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

    Wanabodi Declaration of Interest Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri huu kwa dhati ya moyo wangu, licha ya ukada wangu kwa chama changu, CCM. Asiyekubali Kushindwa Sio...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  3. Kennedy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi leo tarehe 25.08.2020 kufanya uteuzi wa Wagombea mbalimbali

    Tume Ya Uchaguzi (NEC) Leo Itafanya Uteuzi Wa Wagombea Nafasi Mbalimbali Kwenye Uchaguzi Ujao:- Nafasi Ya Rais, Makamu Wa Rais, Wabunge, Madiwani Vyama Vyenye Usajili Ni Kumi Na Saba (17) Wananchi Wengi Masikio Na Macho Yao yatakuwa Dodoma Kujua Hatua Kwa Hatua ya tukio lote. Vyombo Vingi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Lwaitama atabiri mshindi Uchaguzi Mkuu 2020

    24 Agosti 2020 Katika mahojiano maalum Mwanzuoni wa masuala ya binadamu, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha UDSM mwalimu Dr. Azavery Lwaitama amesema anaufuatilia michakato uchaguzi wa Oktoba 2020 kwa ukaribu Tukio la uchaguzi wa 2020 ni kuthibitisha wananchi ndiyo watawala halisi wa nchi...
  5. Libya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Moshi: Mkurugenzi akataa kupokea fomu za wagombea kwa sababu walizituhumu sio halisi, awataka wakazithibitishe polisi kwanza

    Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi. ====== Mkurugenzi amegoma kupokea fomu baada ya tuhuma za awali kwamba sio halisi na kutaka kabla wahusika hawajazirudisha wakathibitishe polisi kama ni halisi ama La. Baada ya katibu wa CHADEMA kuhoji iwapo vyama vyote...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA Kilimanjaro walalamika kupewa fomu bandia na Tume ya Uchaguzi kwa Wagombea Ubunge

    Wagombea ubunge wa CHADEMA, Lucy Owenya na Grace Kihwelu wamedai kupewa fomu fake na Tume ya Uchaguzi. Tatizo hilo limegundulika leo walipoenda NEC kuzihakiki. Chanzo: ITV habari My take: Nilisema Membe ameenda kuhakiki fomu ni jambo jema Maendeleo hayana vyama
  7. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza: Uchaguzi Mkuu au Utekaji Mkuu au Ujazaji fomu Mkuu?

    UCHAGUZI MKUU au UTEKAJI MKUU au UJAZAJI FOMU MKUU Kutokana na vyombo vingi vya habari kuwa likizo katika msimu huu, jamii inakosa habari muhimu. Magazeti mengi, TV na Redio vimepelekwa likizo kwa muda mpaka mwezi Novemba. Vyombo vichache vilivyobaki vina matatizo makubwa shingoni...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe aitahadharisha Tume ya Uchaguzi kuhusu tuhuma za kupanga njama ya kumuengua Lissu kwenye mbio za Urais

    Hili hapa andiko lake Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe aenda Tume ya Uchaguzi kuhakiki fomu zake kabla ya kuziwasilisha rasmi kesho

    Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe leo amekwenda kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi Jijini Dodoma kuhakiki fomu zake kama ziko sawasawa kabla ya kuziwasilisha rasmi hapo kesho 25/08/2020. Membe aliongozana na viongozi mbalimbali wa chama hicho akiwemo mkuu wa ngome ya vijana Abdul...
  10. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kesi za Tundu Lissu na Uchaguzi Mkuu wa 2020

    CCM wamekuwa na hofu kubwa sana juu ya huyu mgombea wa CHADEMA. Mgombea wa CCM huyo siku zote amejawa hofu na ndiyo sababu kwenye chama chake hakuruhusu mtu hata mmoja kuchukua form ya kugombea urais. Tundu Lissu akienda Mahakamani Kisutu na kusomewa mashtaka mapya kama walivyopanga hawa watesi...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania "Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

    Msikilize kwa makini IGP Sirro kuanzia dakika ya 33 hadi mwisho.
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa Tume ya Uchaguzi

    Kufuatana na Ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi tarehe 25 Agosti, 2020 ni siku ya UTEUZI. Ushauri wangu ni wa bure kwenu. Hakikisheni Wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Majimbo Tarehe 25 Agosti, 2020 wanakaa kwenye vituo vyao bila kukosa na isije ikajirudia mapungufu yaliyotokea katika uchaguzi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania eleweni: Kuanza kampeni kabla ya wakati ni kanuni ndani ya CCM tu; haipo popote katika Sheria za Tanzania, wala katika Kanuni za Uchaguzi

    Habari wana JF, Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao. atika Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo katika kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu. Sasa kanuni za CCM nani anataka...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi Sirro, Mahakama na Tume ya Uchaguzi kazi kwenu

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Pamoja na yote kwa hali ya amani inayoendelea kuwapo, itakuwa ni kukosa uelewa kutompa pongezi binafsi afande IGP Simon Sirro. Hii zaidi ikiwa kwa jinsi alivyo lidhibiti jeshi la polisi vilivyo tangia kuwasili kwa bwana Tundu Lissu...
  16. Noel france

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kupitia kauli hizi kuna uhuru kwenye uchaguzi wa mwaka huu?

    Binafsi nakosa imani kabisa,ukijimlisha na kauli zinazotoka vinywani mwa taasisi muhimu kama vile jeshi letu la polisi( IGP Siro) nk. Naomba kushare na nyinyi ka crip kadogo kisha mseme wenyewe,uchaguzi huu utakuwa huru na haki kweli.
  17. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

    Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk Hata...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu

    22 August 2020 Tunduma, Songwe Tanzania CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu za wagombea. Hivyo wameomba uchunguzi na hatua za haraka za kiuchunguzi zifanyike ili kama kweli mipango hiyo ipo basi...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

    Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu mwenzake kuwa serikali yako ndiyo ilinipiga risasi, serikali yako imeteka na kuua Watu nk. Tumeona barua...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Taznania kuwekewa vikwazo baada ya uchaguzi

    Katika historia za chaguzi Tanzania, Zanzibar mara nyingi ndio huwa inaleta utata. Kama mnakumbuka uchaguzi wa 2015, alioporwa Maalim Seif, ulisababisha wadau wa maendeleo kukisusia kisiwa hiko. Marekani iliondoa msaada kwa Tanzania wa takribani trillion moja, huku wadau wengine kama UK na nchi...
Back
Top Bottom