uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

    Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu naanza na kuomba radhi kwa usumbufu wetu wa habari zetu za kampeni zinazomiminika kama mvua za masika , hatuna jinsi ni lazima tuhakikishe nchi inakombolewa . Taarifa ya leo inaonyesha kwamba Mgombea wa Chadema anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais wa CCM JMT na mgombea mwenza wako niwaombe muvae busara akilini mwenu, huu ni uchaguzi mkuu wa vyama vingi!

    Kusema kweli mgombea urais wa CCM na mgombea mwenza naona wanakoelekea siko, busara zinawatoka kwa kasi ya ajabu. Wameanza kutoa kauli za kuudhi tena zenye kiwango cha juu mno. Kitendo cha mgombea urais wa CCM wa JMT kutoa kejeli kwenye majimbo ambayo yaliongozwa na upinzani ni cha hovyo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi aihakikishia Uingereza na jumuiya ya kimataifa uchaguzi huru, haki

    4 September 2020 Video source : millard ayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoja na Jumuiya ya Kimataifa kuwa uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka 2020 utafanyika kwa...
  4. dubu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ni Mshauri wa Mgombea Urais wa CCM Dkt. Hussein Mwinyi

    Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa kisheria wa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Inasemwa kwamba...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani: Trump awaambia wapiga kura wa North Carolina wapige kura mara mbili

    Rais wa Marekani Donald Trump amewaambia watu katika jimbo la North Carolina wapige kura mara mbili katika uchaguzi wa mwezi Novemba, licha ya kwamba kufanya hivyo ni kinyume cha sheria. Bwana Trump alisema wapigakura watume kura kwa njia ya posta, halafu wapige kura binafsi ili kuujaribu mfumo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja tatu ni kwanini wapinzani hawatoshi kwenye Uchaguzi huu

    Wanajamvi, Ninaomba nilete kwenu hoja tatu ni kwanini tusichague Upinzani. Hoja hizo ni Kama ifuatavyo: 1. Njia za kushughulikia janga la korona 2. Kushindwa kuwa mfano kwenye chama na majimbo 3. Kushindwa kuungana Njia za kushughulikia janga la Corona Wakati serikali ikija na mpango mkakati...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa ACT - Wazalendo juu ya kampeni za Uchaguzi

    Habari wenye chama chenu, naamini mnafuatilia mikutano ya Mgombea wenu wa Urais kama mimi nifanyavyo kwa wagombea wa vyama vitatu maarufu. Nilitamani kuongea na kiongozi wa Chama mara baada ya uzinduzi wa kampeni, bahati mbaya simu yake ilikuwa bize haikupokelewa. Niliyoyaona kwenye hotuba ya...
  8. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

    Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo. Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Haki za kiraia zinaminywa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch (HRW) linasema mamlaka nchini Tanzania imeongeza hatua ya ukandamizaji dhidi ya vyama vya upinzani na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi ujao. Katika ripoti yake Human Rights Watch limekosoa sheria mpya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Profesa Juma awataka Majaji na Mahakimu kutendea haki Kesi za Uchaguzi ili Mahakama isigeuzwe kichaka cha Wanasiasa

    Akizungumza kwenye kikao cha kutoa elimu ya namna ya kushughulikia kesi za uchaguzi kwa majaji na mahakimu, JM Prof Juma amewataka watendaji hao kutoa haki kwa wakati. Profesa Juma amesema mahakama inapaswa kutoa haki ili isionekane kama tawi linaloweza kutumiwa na Wanasiasa. Semina hiyo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Balozi kumi zaitakia kila la kheri Tanzania kuelekea Uchaguzi

    Wakuu wa Balozi za nchi ya Ubelgiji, Canada, Denmark, Finland, Ujerumani, Ireland, Netherlands, Norway, Sweden na Uswizi zilizoko kwa pamoja zimeitakia Tanzania uchaguzi mwema Katika tamko hilo la pamoja, wameonyesha kuwa wanatumaini Uchaguzi utauwa wa huru na wa haki utakaoruhusu kila mtu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Serikali na waliofukuzwa kwa vyeti, na wafanyabisahara tutawatwisha lawama ni zenu katika Uchaguzi huu

    Hakuna nyumba isiyokuwa na mfanyakazi na mfanyabiashara. Nyinyi ni waelewa wa kinachoendelea kwetu nchini. Mmeumizwa sana! Kwanini tutawalaumu? Ushindi wa kuleta mabadiriko uko mikononi mwenu uchaguzi huu. Kwa vipi? Kila mmoja akiwa na wapiga kura 100, basi mabadiriko tayari. Hapiti mtu! Hata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Lipo tatizo linalo ichafua Tume kwa kuwaengua baadhi ya wagombea na wengine kunyanganywa fomu zao wakati wa urejeshwaji, Hayo ni madhila waliyo kutana nayo wagombea wa upinzani pekee,na hili halijatokea kwa bahati mbaya ni makusudi na mipango ilisukwa kwa ustadhi mkubwa toka watendaji wa kata...
  14. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wa nchi za Magharibi waliopo nchini watoa tamko kuhusu uzingatiwaji wa Uwazi, Haki na Usawa kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Ni dhahiri tupo kwenye usawa wa microscope ya tunaowaita "mabeberu". Figisu zote zinaonekana na zitaendelea kuonekana dhahiri kabisa dunia nzima. Muhimu ni kwa vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia uchaguzi vizingatie uwazi, haki na usawa kwa vyama vyote na wagombea wote. Hakuna jiwe...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Katika nchi nyingi za Afrika, wananchi wamejifunza kutosadiki kile waambiwacho na hawa wanasiasa

    Kipindi cha kampeni kipo nasi kwa sasa hivi. Huu ni wakati ambao wananchi watapewa ahadi ambao zinashangaza sana masikioni na akilini pia. Alipata kusema Nikita Khrushchev, kiongozi wa RUSSIA, kwamba wanasiasa ulimwenguni pote hufanana. Wanaahidi kujenga madaraja mahali ambapo hapana hata mto...
  16. A

    JamiiForums Tanzania CCM versus Opposition: Political Lessons to Learn

    Tanzanians will vote for president, members of Parliament and councilors later October this year. We have witnessed the opening of political campaigns for all partipating political parties. The rulling CCM has two tasks: selling their 2020/25 election manifesto and showing how the 2015/20...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Ubunge wa CHADEMA walioenguliwa wapo zaidi ya wiki moja Dodoma Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    1 September 2020 Dodoma, Tanzania Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao" Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi Katika Majimbo Mbalimbali Wamekutana Na Waandishi Wa habari jijini Dodoma Kuiomba Tume Ya Uchaguzi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je, Msajili Hazina anaihujumu CCM?

    Kama tunavyojua, mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu na katika mchakato huo, Watanzania wote huwa na haki sawa ya kushiriki katika uchaguzi huo kwa kuchagua au kuomba kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali zinazogombewa. Katika Uchaguzi wa mwaka huu, kumetokea kuvunjwa kwa rekodi ya kujitokeza...
  19. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Watakaokubalika na vijana watashinda uchaguzi mkuu! Wazee wenye miaka 61 na kuendelea, ni asilimia 3 tu ya watanzania wote!

    Wanajamvi, Kwa wale ambao wamefuatialia “Tanzania demographics”, watakubaliana na mimi. Lakini pia kama upo Tanzania utaelewa ninachosema. Lakini kuna mabandiko mengi ambayo nilikwishazungumzia kuhusu “Tanzania Demographics”, haswa kwenye thread za kuhusiana na “COVID-19”. Ambapo niliweka...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sidhani kama Tundu Lissu atakataa ofa ya uteuzi wa Rais baada ya Uchaguzi

    Ukiondoa akina Christopher Kasanga Tumbo wale wapinzani wa kabla ya CCM hakuna mpinzani wa sasa (hawa wa 1992) mwenye jeuri ya kukataa ofa ya uteuzi wa Rais. Sina shaka baada ya uchaguzi, Tundu Lissu atamkumbusha Rais Magufuli kuhusu ahadi hii ya uteuzi. Tulimwona Prof. Kitila alivyowaponda...
Back
Top Bottom