uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. gfsonwin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani za Uchaguzi za Vyama Vikuu vya Siasa

    Wanabodi salam! Ninaomba kwenye huu uzi tujadili kuhusu ilani za vyama vya upinzani hasa vile ambavyo tayari vimeshatoa ilani zao. CDM wao tayari wameshatoa ilani yao na sera yao kubwa ni UHURU HAKI NA MAENDELEO. ACT Wazalendo wao pia walizindua ilani yao jana yenye sera kubwa.ya "KAZI NA...
  2. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Somo zuri kwa vyombo vya Usalama na Uchaguzi Mkuu kupitia wimbo "Innocent" wa Don Nalimison

    NOTES TO: POLICE FORCE,FBI,CIA,INTERPOL,TISS and ALL GOVERNMENTS SYSTEM all over the World. "INNOCENT" special Video song to Police Officers, FBI,CIA,TISS and Governments Systems. Watch this animated song to change Police forces from Don Nalimison
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi, pigeni marufuku JKT kujihusisha na Mambo ya kampeni

    Tunaelewa JKT Wana miradi wanayosimamia na yawezekana wanalipwa kujenga majukwaa ya CCM kwa ajili ya kampeni. Ila huu ni uchaguzi na jeshi ni chombo neutral katika issue kama hizi, tuliona Dodoma magereza wakitumia wafungwa kufunga bendera za chama, leo Singida JKT wanaingia mtaani kutengeneza...
  4. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Ilani ya Uchaguzi ya CCM inafanana sana na Thesis ya PhD ya Mafuta ya Korosho

    Inawezekana Mwandishi ni mmoja..
  5. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imeshinda uchaguzi kuanzia kwenye uandishi wa ilani, wengine ilani ni za utani

    ILANI YA CCM INATOA SULUHU YA MASWALI, ACT NA CHADEMA ZINALALAMIKA Na Elius Ndabila Nimefanikiwa kuzisoma Ilani za vyama vitatu, yaani Ilani ya CCM, ACT Wazalendo na CHADEMA. Nikiwa ninazipitia Ilani hizi nimegundua utofauti mkubwa kwenye kujibu mahitaji ya Watanzania. Ilani ya CCM kama chama...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sioni dalili za Dkt. Magufuli kushindwa kutetetea kiti chake cha Urais uchaguzi wa Oktoba, nimevunjika moyo kama mtumishi wa umma

    Mimi huwa mara zote napenda kusema ukweli. Niwe kazini, barabarani au nyumbani ukweli ndio ngao yangu. Kwa hakika Mimi sitamchagua Magufuli wala mwana CCM yeyote kwa ngazi yoyote ile katika uchaguzi huu. Ila kwa hali inavyoonekana Magufuli atashinda tena kwa kura za ndio. Hii imesababishwa na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

    Kwa tulioko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' tunajua kuwa sasa Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeshaanza japo nimegundua kuwa kumbe kwa mara ya Kwanza Uchaguzi Mkuu wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' umefanana mno 'Kiratiba' na ule Uchaguzi Mkuu ambao nimesikia kuwa unaenda Kufanyika pia kwa 'Majirani'...
  8. CHEF

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi una raha yake, mpaka PAYE imepunguzwa

    SIku chache tu baada ya kampeni kuanza PAYE (pay as you earn) imepunguzwa na mishahara kuongezeka automatically, unafikiri nani hajui umuhimu wa demokrasia ya vyama vingi. Jamani Demokrasia ya vyama vingi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi, tusijiloge kufuta vyama vingi.
  9. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya uchaguzi na CCM wainajisi katiba, Deo Mwanyika hastahili kuteuliwa wala kugombea ubunge kwa sababu ya kesi ya kukwepa kodi

    Tuweke rekodi sawa, Deo Mwanyika alihukumiwa kwa kukwepa kodi. Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa. Fedha kiasi...
  10. Nguruvi3

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi US: 2020

    UCHAGUZI US Ni miezi miwili imebaki kwa Taifa kubwa la Marekani kufanya uchaguzi. Wiki mbili zilizopoita Democrats na Republican vilifanya mikutano ya kuwathibitisha wagombea. Mwaka huu kutokana na gonjwa la Corona, vyama vimefanya isivyozoeleka ''unconventional convention Rais Trump akiwa...
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Mwamakula: Wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    WITO KWA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUKUTANA NA CHADEMA NA ACT WAZALENDO KUTATUA TATIZO LA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA. Tarehe 29 Agosti 2020, nimetoa wito kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kukutana na Uongozi wa CHADEMA na ACT Wazalendo kwa lengo la kuzungumza na kutatua tatizo la kuenguliwa kwa...
  12. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Kila ukifika Uchaguzi MKuu wa Tanzania huwa nayakumbuka maneno ya Hayati Jomo Kenyatta

    Ndugu zangu wana JF,uhuru amani na haki viwe pamoja nanyi. Kwa kweli kila ikikaribia uchaguzi Mkuu wa nchi yetu ukiangalia mwenendo wa kijamii, kiuchumi na kisiasa wa nchi yetu huwa nakumbuka Nukuu ya Hayati Jomo Kenyatta alivyomwambia Mwl.Nyerere. "Jomo kinyata alimwambia Nyerere mimi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho wanachotakiwa kuhubiri Viongozi wa Dini kipindi cha Uchaguzi na si vinginevyo

    Mamlaka za uchaguzi ziweke mazingira sawa kwa wagombea woote bila kuegemee upande wowote. Vyombo vya dola visikubali kutumika kisiasa. Wagombea mtoe hoja na siyo lugha za matusi Tukumbuke amani ya Taifa letu ni muhimu sana" .
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Kwa hiki kipindi kifupi ambacho viongozi wa vyama mbalimbali wamekuwa wakitoa hotuba zao majukwaani, nimejifunza yafuatayo:- (1)Kuna wagombea waliojiandaa kushinda Uchaguzi. (2)Kuna wagombea waliojiandaa kushindwa Uchaguzi. Wagombea waliojiandaa kushinda Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu upuuzi unaoendelea awamu hii ya uchaguzi, haujawahi kujitokeza kabla

    Nimekuwepo tangu uchaguzi wa 1995 , nimejaribu Ku review chaguzi zote kuanzia hapo na zilizo fuatasijawahi kuona upuuzi unaofanywa na tume awamu hii wa kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani na kuwaacha wa chama tawala wapite un opposed. Hapo kabla kulikuwepo matukio ya baadhi ya wagombea wa...
  16. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 CUF ndicho chama chenye sera bora kuliko chama chochote hapa Tanzania. Tukichangie chama chetu tukashinde uchaguzi kwa kishindo

    CUF NI CHAMA CHA WANANCHI KINATEGEMEA WANANCHI WENYEWE TUCHANGIE CHAMA CHETU TUWEZE KUSHINDA UCHAGUZI HUU NA TUTASHINDA #HABARI Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia CUF, Mchumi wa Dunia Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Leo agosti 29, 2020 amezindua mpango maalum wa wanachama na wapenzi wa CUF...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu na Sheikh wamwaga dua nzito dhidi ya watakaofanya dhulma katika Uchaguzi huu

    Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao halali wa nchi hii. Askofu Mwamakula amesoma dua nzito ya kuomba Mungu ashushe Malaika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Tarime: Jackson Kangoye afanya sherehe na wajumbe, ni mwendelezo wa kumhujumu Kembaki

    Jackson Kangoye ambaye alikuwa mshindi wa kura za maoni Tarime na baadae jina lake kukatwa na Kamati kuu na kurudisha jina la mshindi wa pili, Bwana Michael Kembaki, leo hii anafanya sherehe nyumbani kwake na kuwaalika wajumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya na baadhi ya wagombea udiwani wa kata za...
  19. 2019

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tutupie picha zilizosisimua uchaguzi 2015, haitatokea tena

    Nikisema nilikua mpizani kindaki ndaki watu mnaona masihara. Kwanzia leo nitakuwa natupia picha mpaka kampeni ziishe Hakuna sehem kulikua na mkutano maandamano nikaacha kwenda kwa hapa Dar. Ila Lowassa alituangusha sana mana tulikua tayari kwa lolote. Picha zote zilipigwa tarehe kama ya...
  20. Sijijui

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu ya 1977 na uchaguzi wa 2020

    Katiba Yetu inaweza ikawa na mapungufu mengi, katiba hii hii pamoja na mapungufu yake mengi, Mwinyi, Mkapa na Kikwete waliilinda hata kama chaguzi za wakati huo zilikuwa na makando kando lakini hayakuwa Kama haya ya leo. Lakini pia rais aliyeapa kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba...
Back
Top Bottom