tundu lissu

  1. Serikali kukata Rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kumfutia Lissu shtaka la uhaini

    Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) amewasilisha rasmi taarifa ya kusudio la kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania, akipinga sehemu ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliomfutia Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, shtaka la uhaini. Taarifa hiyo, iliyoandaliwa na Wakili wa...
  2. Mpiwa wa UVCCM: Lissu amefungwa makusudi ili mshahara wake upande kutoka Dola 50,000 hadi 100,000 kwa mwezi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora, CDE Kelvin Mpiwa, amewaeleza wananchi wasidanganywe na Tundu Lissu. Amesema Lissu amefungwa makusudi ili mshahara wake upande kutoka Dola 50,000 aliyokuwa akilipwa akiwa mahabusu, hadi Dola 100,000 anayolipwa baada ya kuhukumiwa. Akizungumza katika mkutano...
  3. Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?

    Wanabodi, Naomba kuanza na mchango muhimu very objective wa Mkuu La Roche Ushauri wa kuanza na mchangiaji umetolewa na Mkuu Course Coordinator1 Mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano umeanza, vyama vya siasa vyote vyenye usajili wa kudumu vimepelekewa barua za kuteua majina mawili ya wanachama...
  4. Tundu Lissu amesha sahaulika, Nyumbu muogopeni Mungu

    Wiki mbili kabla ya Kusokotwa ilitoka statement kwa Blenda Rupia kuwa hawatakubali Tundu Lissu kufungwa na watakinukisha, Wiki mbili baada ya Lissu kusokotwa kashasahaulika ndiyo kwanza Nyumbu wanarushiana connection za bibi. Mmemtupa Tundu Lissu yuko peke yake Ushauri wangu akitoka aachane...
  5. Kesi ya Tundu Lissu yakwama Kisutu, mawakili wake hawakupewa taarifa

    Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu,imeshindwa kuendelea kutokana na Mawakili wake kutopewa taarifa na Mahakama (Summacy ). Akizungumza kwa njia ya simu na East Africa Radio, Mkurugenzi wa Sheria na Haki za...
  6. Kinachoendelea kuhusu rufaa ya Tundu Lissu

    Utekelezaji wa maelekezo ya kisheria yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeanza rasmi kwa vitendo baada ya jopo la mawakili wake kuanza maandalizi ya nyaraka za maombi ya dhamana pamoja na kukamilisha hatua ya kuwasilisha notisi ya kukata rufaa mahakamani. Akizungumza, Novemba...
  7. Hukumu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaibua Madudu ya Udhaifu Wa Mhimili wa Mahakama Kutenda Haki, Suluhisho la Madudu Haya ni Katiba Mpya!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
  8. M

    James Kiliba,Sylvia Balwire,Tumain Shija,Simon Karikari ,Jerome Albou ,Paul MAKONDA na NOC ENGINEERS na Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu

    Wanabodi heshima mbele Watajawa hapo juu ni Watanzania ambao Leo kwenye mahakama ya Uingereza kwenye Kasi ya Michael Clifford Vs MIC wametajwa Moja Kwa Moja kuhusika na Kupigwa Risasi Kwa Tundu Antipas Lissu tarehe 17/09/2017. Walihusika Kwa kudukua na kufuatilia mawasiliano yake masaa 24...
  9. J

    Mzungu aliyeituhumu kampuni ya Simu kumdukua Tundu Lissu ameshindwa kesi, lakini ushahidi wake ni mzito. Tumieni ChatGpt kuwajua waliohusika

    Aliyewatuhumu Tigo anaitwa Michael Clifford. Alikuwa mchunguzi wa kampuni ya Millcom ambayo ndio walikuwa wamiliki wa Tigo Huyu bwana anadai Tigo walikuwa wanamfuatilia Tundu Lissu yuko wapi, na anawasiliana na nani 24/7 kwa mwezi mzima mpaka aliposhambuliwa Sept 7, 2017. Sasa Michael...
  10. Tundu Lissu ashukuru kufungwa tu, kosa lake la uchochezi ni kubwa sana, lingeweza kumgharimu maisha.

    Kosa la uchochezi (sedition) alilohukimiwa nalo Tundu Lissu kwa sababu ya kudai mabadiliko ya kisiasa ni kosa la kale sana ambalo liliwagharimu maisha kabisa watu wakubwa zaidi yake waliomtangulia. 1. Yesu Kristo japo leo hii ana wafuasi zaidi ya bilioni mbili lakini kosa lililopelekea...
  11. Wanaosema Mh. Tundu Lissu ataendelea kukaa ndani hadi rufaa itakapoamuliwa, Kuna kifungu cha 389 cha sheria ya makosa ya jinai

    Wakuu ! Kuna jambo la kisheria ambalo ni muhimu kulielewa katika mjadala unaohusu hukumu ya Mheshimiwa Tundu Lissu. Wengi wanajadili hukumu na uwezekano wa rufaa, lakini je, tunafahamu kwamba sheria inatoa uwezekano wa mtu aliyepatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo kuachiwa kwa dhamana au...
  12. O

    Ninawasihi sana viongozi wetu wa CHADEMA kuzingatia sana suala la Dipolomasia ya Mazungumzo ya kisiasa kutatua suala la TUNDU LISSU

    Ndugu zangu viongozi wa CHADEMA ,tafadhalini sana katika kushughulikia suala la TUNDU LISSU tuzingatie suala la kidiplomasia ya mazungumzo. Pamoja na juhudi za kisheria mahakamani lakini bado kuna umuhimu mkubwa kuzingatia diplomasia ya kisiasa kama nyenzo muhimu ya kutatua matatizo ya...
  13. Mjadala kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa

    Wakili Peter Madeleka ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa mdahalo kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa ghafla kwa hoja kwamba Lissu tayari amekata rufaa, hivyo hukumu hiyo haiwezi tena kujadiliwa. Kwa maneno yake, ametoa pole kwa Odemba na wapigania haki. Lakini swali linabaki: Je...
  14. Kimantiki takwa la kuachiwa huru kwa Tundu Lissu kabla maridhiano hayajafanyika halina maana tena!

    Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote. Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
  15. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  16. A

    Tindu Lissu na Watanzania wanasanifiana

    Tundu Lissu anawasanifu Watanzania kwa familia yake kuwa nje ya nchi na kuwa wanawe ni raia wa Marekani. Watanzania nao, wakiweno viongozi na wanachama wa Chadema, nao wanamsanifu Tundu Lissu kwa kumuacha abebe msalaba wake kwa ubwabwajaji wake. Ndo Dunia hiyo.
  17. Yaani mnamfunga Tundu Lissu halafu mtegemee Timu ya taifa Tanzania ifanye vizuri?

    Kuna wajinga wanadhani timu ya Taifa ya Tanzania ni mali ya CCM. Mmoja ya Wachezaji mdogo wake mlimuua 29.10.2025. Halafu mnamfunga Tundu Lissu. Kichapo hiki kinamanisha hii ni timu ya taifa si timu kutoka Kizimkazi bali ni timu ya Watanzania.. Na watanzania hatufurahi mwenzetu hata akiwa...
  18. Hukumu ya Tundu Lissu tujifunze kupitia shinikizo la Ponsiyo Pilato

    Majaji na hukumu ya Tundu Lissu tujifunze kupitia shinikizo la Ponsiyo Pilato Injili inatufundisha kuwa Pilato alikabiliwa na shinikizo kubwa kutoka kwa Kuhani Mkuu, wakuu wa makuhani, walimu wa sheria, waandishi, wazee, pamoja na makutano ya Wayahudi ili atoe hukumu ya uhaini kwa Yesu...
  19. LHRC yakosoa kuhusu uamuzi wa kesi ya Tundu Lissu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC) kimeibua maswali kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu kumhukumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, baada ya kumkuta hana hatia ya kosa la uhaini. Katika taarifa yake iliyotolewa Novemba 12...
  20. Mapendekezo ya LHRC juu ya Hukumu ya Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu

    Haya hapa mapendekezo na wito wa LHRC kulingana na hukumu ya kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu 1. Wito kwa DPP Kupitia Upya Mashtaka ya Uhaini La kwanza ni kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia upya mashtaka yote ya uhaini yaliyofunguliwa kwa kutumia kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…