TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu...
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
Tulipofikia Watanzania, wenzetu huita rock bottom wakiwa na maana kwamba tulipofika hatuwezi kwenda chini zaidi. Tumegota kwenye mwamba.
Fikiria unaagiza mtungi wa gesi na ghafla huo umetua mlangoni...
Unaagiza kreti ya soda mbalimbali na hiyo imetua mlangoni...
Unampa kazi fundi bomba na...
Mnano 09/11/2022 timu bora kabisa katika ukanda Wa Africa Mashariki na Kati, Simba Queen itakua ikiendelea kuliheshimisha Taifa.
Kuanzia 19:00 Simba Queen itakua dimbani nchini Morocco ikipambana na 'Mabingwa Watetezi' Mamelodi Sundowns Queen katika nusu fainali ya CAF Women's Champions League...
Hii itakuwa kazi ya Hamis Kigwangala. Huyu ndiyo alimchonga mjomba wake akaja kutuambia ni Hayati Baba Wa Taifa J.K Nyerere. Alipoonesha watu kwa mara ya kwanza wakawa hawaelewi anawaonesha sanamu ya nani.
Ndiyo mmoja mtu mzima mwana CCM kindaki toka miaka ya 70 akauliza hiyo sanamu ya nani...
Bila hustle mingi!
Si yule mrembo kanitafuta tena na namba mpya! Nikamuuliza vipi, mbona namba mpya? Oooh! Nikikupigia na yangu ya kawaida haushiki simu. Eeeh bwana eh, mwenzenu sijala nyama tangu mwezi wa kumi na mbili, mwaka uliopita!
Mtanisamehe kwa kweli, hapa napita mpaka na mifupa...
Wakuu wa Jukwaa
Kama mada ilivyo hapo juu, miaka kadhaa iliyopita kwenye awamu ya tano wavamizi wote wa bonde la Msimbazi na Jangwani waliondolewa, nyumba kuvunjwa ikielezwa walikiuka sheria hivyo kusababisha uchafuzi wa mazingira uliokithiri.
Baada ya muda zoezi hilo kufanyika uoto wa asili...
Nilisema kuwa akikoswakoswa katika Derby ya Kariakoo (Simba na Yanga) basi atanasa katika Matokeo ya Mechi ya awali ya Club Africaine kama akifungwa au akitoka Sare na asiponaswa hapo anaenda Kuchinjiwa mazima kwa Matokeo ambayo anaenda kuyapata Jijini Tunis nchini Tunisia katika Mechi ya...
Huyu mchezaji sikumbuki kama aliachwa Simba au bado yupo. Ila ni muda sana sijamsikia. Mpaka nilipokuja soma hii post. Je kwenye mpira ndo basi tena? Je simba ndo basi tena?
Ahueni za bei ya mafuta imezidi kuonekana kwa miezi mitatu mfululizo huku hali hii ikiakisi kushuka kwa bei za soko la mafuta la dunia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) leo Jumanne Novemba 1, 2022 imeonyesha kuwa kuanzia kesho...
Taarifa zinadai kuwa kuna zoezi la ukusanyaji wa kodi ya mifugo linaendelea wilayani Ukerewe. Inadaiwa kuwa Mbuzi na Ng'ombe sasa wanalipiwa kodi. Yaonekana, kuna kodi nyingi zinarudishwa.
Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli mitaani.
Taarifa niliyorushiwa, kuna zoezi la kodi ya mifugo inaendelea wilayani Ukerewe. Mbuzi na...
Kwa sasa nyumba nyingi za ibada zinakimbiwa na waumini, hii unatokana waumini kuchoshwa na mienendo ya kanisa ambayo ni tofauti na lilichoachwa na mitume.
Jumuia inabaki na wabibi tena wachache sana hata kupita mtaani kupeleka msalaba nyumba nyingine wanaona aibu.
MAMBO YANAYOCHOSHA
Nipokuwa...
Ndugu zangu Kama ukiacha akili yako iwe huru, ukaondoa mawazo ya uchama kichwani, ukatazama uongozi wa Rais Samia kwa mawazo huru yasiyofungwa na chochote Wala kupofushwa na chuki binafsi kwa Rais Samia, utakubaliana nami kuwa Rais mama Samia kafanikiwa kufanya kazi njema na ya kutukuka katika...
Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya.
Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
Wadau hii vita itaisha lini maisha yanazidi kutubana tu duh naona leo vifurushi vimepanda tena now 2000 mb kadhaa badala gb 1 ila tutafika tu japo tukiwa tumechoka sana
Awali, Mkurugenzi wa JamiiForums aliulizwa swali na mtangazaji wa EATV kuwa, mwaka 2020 alisikika akisema kutakuwa na mawasiliano bila kuhitaji line za simu, mtangazaji akasema inawezekanaje mtu kupata mawasiliano, kulipa bills nk bila kuwa na line za simu?
Akijibu swali hilo Mkurugenzi...
Ndugu wana jamii habari zenu,ni jambo la kumshukuru MUNGU kuwa tunapumua bila kulipa ushuru, japo maisha magumu ila tunakomaa nayo maana tutamlalamikia nani?mwenyewe kasema '' usinichoshe tusichoshane''.
Mnajuwa nini ndugu zangu, kuna mda mwingine ukikaa chini ukiyatafakari maisha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.