tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mkongwe wa Soka 'Pele' yabadilika tena, awekwa chini ya uangalizi maalumu

    Ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vikiwemo DailyMail na Reuters zinaeleza kuwa Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pelé yuko chini ya uangalizi maalumu baada ya matibabu ya Moyo na Mionzi kutompa nafauu Pelé mwenye miaka 82 alikimbizwa Hospitali Novemba 29, 2022 akisumbuliwa na uvimbe...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

    Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo manyuklia. ================= The US Air Force will unveil its new B-21 Raider on Friday, a high-tech...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hazungumzi tena na watu wa leo?

    KWA NINI MUNGU HAZUNGUMZI TENA NA WATU WA LEO? Leo 14:45hra 27/11/2022 Je unaweza kuitambua sauti ya Mungu!? Je ukipata ndoto au maono utaweza kutambua huyu azungumzae nami ni nabii Musa, ama Nabii Elia ama ni Yesu Kristu? Unapaswa kuwajua awa kwa kuwasoma kwenye maandiko jinsi walivyo ili...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Equatorial Guinea: Teodoro Nguema ashinda tena Urais kwa mara ya 6

    Mtawala huyo wa muda mrefu zaidi duniani amechaguliwa tena kwa kupata 95% ya Kura huku chama chake kikishinda viti vyote Bungeni. Imeripotiwa kuwa Upinzani wa Kisiasa dhidi yake umekuwa ukibanwa na Dola, pamoja na kuripotiwa ukandamizaji wa Vyombo vya Habari ambavyo vinamilikiwa na Serikali na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yanga ndio basi tena, hawazuiliki hawashikiki

    Matokeo ya Yanga ikiichapa Mbeya City mabao 2-0 inafikisha mechi 49 bila kupoteza mchezo wowote kwenye ligi pia inazidi kujiimarisha kukaa kileleni, ikifikisha pointi 32, katika mechi 12 iliyozocheza. Ukiachana na kichapo cha leo ilichopata Mbeya City, mara ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa...
  6. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania BAVICHA yachaguliwa kuongoza Umoja wa Vijana Afrika

    Maana tunaimbiwa humu kila mara kua vijana wa bavicha ni bute kabisa, mpaka wanaitwa bavichaa 😂😂😂
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tunaagiza magari kwa zaidi ya M300 na kisha kuyauza kwa M5 tena ndani ya mwaka?

    Tusiwe wanafiki, Elimu zetu mmiliki wake huwenda ni shetani! Na Kwa bahati mbaya shetani hana mazoea na watu eti waishi vizuri na Kwa raha! Serikali zetu endapo watu wake wangelikuwa na nia ya kuzitoa nchi zetu kwenye Lindi la umasikini wa watu wao! Basi kusingelikuwepo na matumizi makubwa...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Magufuli alijitoa nafsi yake kuwasaidia Watanzania. Rais Samia anajitoa nafsi ili achaguliwe tena 2025

    Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kanye West atangaza nia ya kugombea tena Urais 2024

    Rapa huyo aliyebadili jina na kujiita 'Ye', ametangaza nia hiyo licha ya kufanya vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020 aliopata Kura 60,000 kati ya Milioni 158.4 zilizopigwa. Katika video yake ya kwanza ya Kampeni, West anasema alimwomba Rais Mstaafu Donald Trump kuwa mgombea mwenza wake...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio Kisiwa cha amani tena, ni baada ya kufuga watu Wasiojulikana

    Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye amani Afrika na kuwa ya 16. Ila kuwaliwaza wanasema ni ya 7 Ifuatayo ni Orodha ya Nchi zenye...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Hakuna tena mgawo wa maji Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza kuanzia sasa hakuna mgao wa maji ndani ya mkoa huo na kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuelekeza nguvu kuimarisha miundombinu na miradi mikubwa ikiwemo Mabwepande. Oktoba 24, 2022, RC Makalla alitangaza kuwepo...
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mdudu (vunjachungu dume) si ya thamani tena kwa jike baada tu ya kujamiiana

    Ni kwamba karibu robo ya matukio ambapo vunja chungu dume anapomkaribia jike basi huliwa. Na nyakati hatari zaidi kwa dume ni wakati wa tendo la kupandana. Wanapomaliza, ikiwa itatokea dume litaponea kuliwa, basi dume huanguka tu kwa kuishiwa nguvu kutoka kwa majike au huruka kabla...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Moto wa Kabaka: Wajumbe mkutano mkuu UWT wamekubaliana kwa kauli moja Kabaka mitano tena

    KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
  14. Logikos

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC sio Free to Air Tena?

    Naomba kujuzwa hii TBC inayoendeshwa kwa Ruzuku zetu ni lini imebadilika kutokuwa Free to Air ? Kama ni issue za Word Cup huu ndio utapeli kwamba watu wanunue vifurushi ili waone mama anaupiga mwingi ?, Huyu Nape na hawa TCRA wameshindwa Kazi ? au watafuatilia na kuleta majibu baada ya Kombe la...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mara nyingine tena timu zetu za Afrika zinaenda kutuangusha Kombe la Dunia

    Sisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje. Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa alizaliwa kule utamuona jinsi anavyojituma. Halafu tunakaa hapa kusema Mabeberu hivi Mabeberu vile!
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nasema Simba SC kuna Tatizo, Mgunda siyo Kocha na Yanga SC Bingwa tena Msimu huu muwe mnanielewa sawa?

    Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Narudia tena na tena mechi za mikoani ndizo zitakazoamua bingwa kwa mara nyingine

    Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4. Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8 viwanja vya mikoani na Simba atakuwa kacheza mechi 5 viwanja vya mikoani, kwa maana hiyo mzunguko wa pili...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya vs Simba: Leo tena maigizo yanaendelea!

    Heshima kwenu wakuu. Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya City FC lakini mapenzi yake yamelalia zaidi kwa Simba kuliko Mbeya City.Hivyo basi mechi ya leo ni...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Wauza mahindi: Hatuna mahindi tena Tanzania, yaliyopo yanatoka Zambia na Malawi

    Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi. Ikumbukwe mapema leo akiwa kwenye ziara na Samia huko Kondoa Mkoani Dodoma Waziri mwenye dhamana ya chakula...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kumroga Phiri asifunge tena wamefanikiwa, sasa wanakamilisha la Chama kuumizwa ili Simba SC idhoofike

    Nikiwa na wao hujua GENTAMYCINE ni mwenzao (mwana Yanga SC) na bahati nzuri hawajui kuwa ndiyo mimi, hivyo huweza kupata mipango yao mingi ya siri na miovu dhidi ya Simba SC. Taarifa niliyoipata na kuhakikishiwa kutoka Yanga SC ni kwamba, kwa kuona jinsi mchezaji Moses Phiri anavyokuja kasi na...
Back
Top Bottom