tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la vijana waliosoma vyuo vya nje ya nchi kupata changamoto ya usajili kwenye mabaraza ya kitaaluma kipindi wanaporudi Tanzania.

    Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi je ? Changamoto ni nini? Kwa kupitia nikabaini changamoto chache kwanza kutokua na uelewa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mufti mkuu wa Tanzania Zuberi bin Ally ajikuta katika aibu asiyoitarajia mbele ya wageni waalikwa harusini

    Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Zuber bin Ally amejikuta katika hali ya aibu Ni baada ya wageni waalikwa katika harusi ya mwanaye kuanza kuondoka baada ya mpishi na waandaazi kuchelewasha chakula Tukio hili limetokea leo ijumaa msikiti mkuu Kinondoni.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika

    Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni mtu mmoja tena anamiaka 82! na anataka kumpa mtoto wake ambaye ni mwanajeshi fake na mapepe sana...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya AFRICA50 pamoja na wanahisa wengine

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya Africa50 pamoja na wanahisa wengine ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya miundombinu barani Afrika. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)...
  7. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi "K", "K shaped economy"

    Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi K, kitaalam inaitwa "K shaped economy". Huu uchumi unakuwa na pande mbili kama herufi K, upande wa juu unakuwa na pesa nyingi, ukuaji mkubwa, matrilioni ya hela halafu upande wa chini unakuwa na umasikini hali ngumu na dhiki. Ripoti zilizopo ni za...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani? Jaji wa Namibia anakuja kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Kumbuka Rais wa Namibia alikuja juzi hapa, Tanzania

    Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
  10. JamiiForums Tanzania Halotel ndo Kiboko ya OTP hapa Tanzania

    Habari wanajamvi, Ndio. Hasa kama unafanya kazi za mtandaoni (remote work), Halotel inasaidia sana. Asubuhi hii perplexity.ai ilinisumbua, nikajaribu mitandao yote Halotel ndo ikakubali. Iliwahi kunitokea nilipokuwa naaply Outlier tasking platform. Ndo ilinibeba (Mkenya mmoja ndo kaniibia siri...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda, Tanzania deepen energy ties with $20bn investment potential

    Photo courtesy of State House Uganda. Uganda and Tanzania are stepping up energy cooperation under a new agreement aimed at expanding regional trade, attracting investment and creating jobs. President Yoweri Museveni and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan witnessed the signing of a...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimechoka na huduma ya Parimatch Tanzania, mwezi mzima bila majibu ya kweli

    Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania. Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya Tanzania iliachana na vita dhidi ya Umasikini?

    China inasafiwa kwa kupiga hatua kubwa za maendeleo ya kiuchumi lakini inaisfiwa zaidi kwa hatua kubwa na za haraka za uchumi na maendeleo yaliyomaliza umasikini wa watu wake hadi kuwa china ya 1%. Ni muhimu kujua unaweza kuwa taifa lenye uchumi ukubwa mkubwa na umasikini mkubwa sana kama vile...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Taratibu udini unashika Kasi Tanzania ,Nyerere angekuwa hai asingekubali hili litokee

    Habari za jioni wadau, Dini inatumiwa kama kinga ya kuzuia watu wasiseme maovu ya viongozi na wanasisasa. Ukisema wenye dini yao wanakuja juu unamsema huyu mbona yule hukumsema. Nenda kwenye komenti uone yaani zimekaa TU kidini ili mradi Kila mtu anamsapoti WA dini yake. Watanzania hilo ni...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Buy Sunflower Oil from Tanzania: The Complete 2026 Buyer’s & Importer’s Guide

    Buy Sunflower Oil from Tanzania: The Complete 2026 Buyer’s & Importer’s Guide Buy sunflower oil from Tanzania. Eco Edge Company Limited supplies high-quality, natural sunflower oil for export and local markets. If you want to buy sunflower oil from Tanzania, you are sourcing from one of the top...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Kusafisha Mafuta Cha Trilioni 56 Tanga.

    My Take Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥 Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇 https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
  17. B

    JamiiForums Tanzania "Asilimia kubwa ya vijana kutoka Tanzania na Afrika nzima ujumla wanaoletwa na wazazi kusoma Marekani na Canada wamegeuka kuwa machoko ".. Elli David

    Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja... Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kunufaika na Sh Bilioni 10 Biashara ya Kaboni

    Tanzania inatarajiwa kuingiza zaidi ya Sh bilioni 10 kutokana na mauzo ya biashara ya kaboni baada ya Serikali kuidhinisha miradi minne itakayouza tani milioni 4.2 za kaboni katika soko rasmi la kimataifa la biashara ya Kaboni. Tani milioni 4.2 za kaboni zilizothibitishwa zina thamani ya zaidi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tumezubaa Tanzania mpaka kutawaliwa na kikundi cha wachache hivi?

    Kikwete family yake, Samia family yake wameweza kututeka, kubaka watu na kuiba pesa kwasababu ya ujinga wa wananchi.
  20. JamiiForums Tanzania Yogosilavia na baadae itakavoelekea Tanzania kama CCM wakizidi kutaka kuwa wa milele

    Sio muelezaji mzuri ila ukifatilia jinsi mpaka nchi iliyokuwa na umoja na kuharibika vibaya sababu ya dini, ukabira, rasilimali uwezi kukosa Yugoslavia. Leo nasikia sijui kanali fulani anasema ukiona wanajeshi basi umepata amani ila kasahau October 29 walikuwa kama mgambo na polisi walikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…