Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Yaani Safari zinasitishwa kabisa na watu wana amani. Sababu wao wanatumia ndege.
Watu wanajenga reli hawakujua hii sehemu gani reli ipite juu au chini? Hawakujua Nchi yetu maji yanajaa mabondeni?
Eti leo Reli inapita ndani ya maji kisa mvua imenyesha.
Mbona pale Buguruni reli inapita juu...
My people,
Kumekuwa bado na mijadala ya hapa na pale kuhusiana na je Tanzania kuna amani? Na wengine wakisema hakuna haki au wanasema haki kwanza,au amani ni tunda la haki
Haki huja baada ya amani kuwepo sehemu yoyote ile duniani,kwani uwepo wa amani ndio hufungua kurasa nyingine za mazungumzo...
Yaani huu ndiyo ukweli wenyewe tusitegemee kama tutakuja kupata maendeleo chini ya Serikali ya CCM.
Wanachopigania wao ni kuendelea kubaki madarakani lakini siyo kuiona inchi inapata maendeleo.
Haiwezekana watu smart wenye akili kubwa na uwezo wa kutuongoza wako inje halafu mtu anajaza familia...
Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli.
Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusi...
Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani.
Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu...
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" ipo uwanjani ikikipiga na Uganda katika mchezo wa Kombe la Afrika (AFCON) hadi mapumziko mchezo huo hakuna mbabe.
Matokeo bado ni 0-0.
Vijana wetu wanaendelea kupambania kombe la Ubingwa barani Africa.
Kila la kheri kwao
kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B, ukuaji mzuri sana huu, maaana yake mpaka mwisho wa mwaka 2026 kama ukuaji utakua huu huu basi...
Mara kadhaa nimekuwa nikikutana na watu na wengine kuwasikia wakijitambulisha kwa vyeo fulan lakini nashindwa kuelewa kuwa hivi vyeo wanavipata wapi?
Kuna vyeo vinatumika zaidi mfano
CDE
COMRADE
CAPTAIN
DKT
Na hivi vyeo hasa hivi vitatu vya mwanzo vinatumika zaidi kwenye majukwaa ya kisiasa...
Mchachango wa Oscar kambona ktk Taifa letu ni mkubwa sana lakini inastajabisha kuona mtu huyu hakumbukwi kwa lolote lile hakuna hata mradi uliopewa jina lake !? , kwakweli Jasho la huyu mtu kulipigania Taifa hili limedhulumiwa
anamchango mkubwa wa kupigania mfumo wa vyama vingi katika nchi hii...
Nimeona kwa wenzetu kenya wana idara inajitegemea inaitwa Independent oversight authority (IPOA).
Kama polisi watafanya makosa basi wanaweza nao kuchunguzwa na kukamatwa na hiyo idara.
Ila hapa kwetu malawi sasa yani polisi anakufanyia makosa alafu na yeye anaomba ulete ushaidi wa kosa.
..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga.
..sikiliza mahojiano yake hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
Sikukuu ya Christmas mwaka huu imekuja na jambo la ajabu na la hovyo sana la masheikh wengi kuharamisha katika umma kupitia vyombo vya habari kwa ukubwa sana waumini wa Kiislamu kutoshiriki Christmas na Wakristo, hawa masheikh kwa vyovyote vile sidhani kama wanaelewa wanachokifanya na kwa hakika...
Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho
I. Suala la Uhaba wa Ajira
II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili
I. UHABA WA AJIRA
Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
Cap. Kapero.
Ni moja ya mavazi yanayopendwa sana ulimwenguni tena na watu wema.
Lakini kwa nchi yetu, vazi hili binafsi nimekuwa nikilinasabisha na uhalifu.
Mara kwa mara matukio haramu ya utekaji ukitizama wale watekaji pale inapotokea wamerekodiwa hakosekani mmoja (au wawili au zaidi)...
Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo.
Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏
Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
Nahisi serikali ya CCM inapenda wale wawekezaji wasiotaka mema nchi wala kuona inapiga hatua mbele.
Vyanzo vingi vya uchafu vinaweza kuwa recycle na kuwa na faida.
Mfano mpaka sasa tumeshindwa kwenye majiji kutatua shida ya maji wakati mitaro ya maji,mito na vyanzo vingine ikawa msaada...
Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni.
CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani hutamuona mtu kule.
CHADEMA IPO BILA RUZUKU, BILA BIASHARA LAKINI WATU WANAIKIMBILIA NA KUIAMINI NA...
Hili swali nimeuliza mahsusi kwa sababu.
Atleast nchi kama Japan wameipa dunia gari aina ya TOYOTA.
KOREA wameipa dunia products za Samsung
Na hata Russia wameipa dunia AK 47
N K
Sasa sisi kama Tanzania tumeipa nini Dunia kama Product unique ambayo inaitambulisha Tanzania? Naomba kufahamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.