tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Sax

    JamiiForums Tanzania Mene, mene, tekeli, na peresi: Somo kali kwa siasa za Tanzania

    Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli, na Peresi” (Danieli 5) inabaki kuwa kioo cha kutafakari mwenendo wa siasa zetu. Ni ujumbe wa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Samia akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu

    Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi, Jeshi la wananchi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu Ndogo ya Tunguu - Zanzibar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania (KUMBUKIZI) Hili limeniuma sana: Marekani yatoa msaada wa MABOZA sita ya maji kwa Tanzania

    Marekani imetoa msaada wa maboza sita ya maji yanayojiendesha yenyewe ya lita 2400 kila moja, kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambayo yataipa uwezo wa kusukuma na kusambaza maji. Hii inaiwezesha JWTZ kusambaza maji safi na salama kwa maeneo ya vijijini ambayo hayana huduma ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kituo cha usambazaji kilichojengwa na Wachina nchini Tanzania charahisisha biashara ya kikanda kote Afrika Mashariki

    Kwenye ghorofa ya tatu ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, majora mengi ya vitambaa yaliyopangwa vizuri yamejaza rafu huku wateja kutoka kila pembe ya nchi na nje ya nchi wakiingia ndani. Na kwa Ayoub Katuga...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania

    Nimefikiria sana kabla ya kuandika singa hii, kwa vile wengi wameshaandika juu ya maudhui. Lakini, kama mfuatiaji wa karibu wa yale yanayoendelea Burkina Fasso, wivu, uchungu na tafrani vimenifanya nilirejee suala hili kwamba, siye Tanzania kitu gani kinafanya nchi yetu izorote? Ni miaka kadhaa...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya Magufuli na Samia wanastahili nishani za kitaifa za kuilinda Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa duniani yanayohusu vita vya kiuchumi ambayo kama mtanzania mzalendo na msomi na mwenye kufuatilia vita baridi vya kiuchumi na kikanda unaaswa na kupaswa kuyafuatilia na kuyazingatia kwa kina bila mihemuko ya kiitikadi,kimazoea au kumezeshwa propaganda . Nimeyetaja matukio...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Delta force walikamatwa Tanzania na mabomu yao, hao Venezuela wanakwama wapi?

    Polisi TANZANIA ilitangaza kumtia mbaroni askari wa Marekani na mabomu yake kabla hajaleta madhara Hao Venezuela wanashindwa Nini kuja kujifunza kwetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji ukome tangu leo, Jana Tanzania kule Morocco ilinyimwa Amani au Haki?

    Vichawa vya CCM kujeni mjibu hili swali Kwa nini jana timu ya Tanzania walishindwa kulinda Amani ilihali mwamzi alikuwa akiwasisitiza kuilinda hiyo Amani Nini kilitokea hadi washindwe kuilinda Amani? Kati ya Haki na Amani, nini kitangulie ili kulinda Neno moja wapo ya hayo mawili?
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Familia ya Clemence Mwandambo yadai haijui alipo baada ya kuchukuliwa na Polisi

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake. "Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Twendeni X (Twitter) tuungane na Mange kumuomba Trump kituo kinachofuata kiwe Tanzania

    Tumechoka kutekwa, kuuliwa, kufunguliwa kesi za uongo, kulawitiwa na kupotezwa. Tumechoka wachungaji na mapadre kushambuliwa, kutekwa na kutishwa. Tumechoka walimu kutekwa na kupangiwa cha kufundisha madarasani. Tumechoka kugombanishwa kidini huku masheikh wakitumwa kusema watatukata vichwa...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Marekani na China zinatengeneza 44% ya uchumi wa dunia

  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuna watu wababe Sana kama kina Mafwele

    Huyu jamaa kateka, kaua na kapoteza watu wengi sana nchini lakini Wala haguswi na mkono wowote wa Sheria za nchi. Hivi Jaji Chande na Tume yake uchwara alikutana na mtu kama huyu anaweza kuwa na pawa kweli ya kumuhoji? Au na yeye atahofia Maisha yake? Maana hata waziri mwenye dhamana na huyu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mpango wa kuyagawa maeneo kadhaa ya Dunia, CCM isipodhibitiwa Tanzania ijiandae

    https://x.com/clashreport/status/2007126491885355164 Baada ya Somalia, kituo kinachofuata ni Yemen, Sudan, Libya, Syria, Kama Iran haitaweza kuzuia kinachoendelea ijiandae kuwa na vinchi ndani ya nchi. Siuoni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama Samia na viongozi wa aina yake wataendelea...
  16. B

    JamiiForums Tanzania UNEP Yamteua Rapa wa Tanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia

    December 2025 UNEP Yamteua Mwanamuziki wa Rapa mTanzania Frida Amani kuwa Mtetezi wa Urejeshaji wa Mifumo ya Ikolojia by Leo Muzivoreva Rapa mkali Frida Amani Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP, limemteua msanii wa hip hop kutoka Tanzania Frida Amani kama Mtetezi wake wa kwanza...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tutajuta kuzaliwa Tanzania

    Huku nywi nywi nywi kule wapigwe tu, huko simba ananguruma, chini songea kimya kama vile hayupo! Wapi twende!
  18. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Je ni kampuni gani bora za KUBET kwa sasa hapa Tanzania?

    Naomba wawekezaji wazoefu mnisaidie kampuni bora kwa sasa ya betting Tanzania. Uniambie na sababu.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hadi Sasa utawala wa Kiislamu katika nchi ya Irani umeanguka kwa asilimia 75%. Tanzania tutafanya kama wairani

    Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na sehemu nyingine nyeti karibia miji yote ya Irani. Khomenei ameukimbia mji mkuu wa Irani(Tehran)...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
Back
Top Bottom