Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria.
Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
Leo nilipita chuo kimoja mjini kumpitia mdogo wangu twende Kilimanjaro kula sikukuu.
Wakati nimepaki viunga vya chuo akaja na wenzake Kama watatu hivi kumbe walikuwa wanamalizia ku discuss naswali ya fulani hivi
Nikaanza kuwasikiliza kwa makini wakibishana nikakumbuka kabisa hii mada nilisoma...
Leo ni 3+ wanapigwa Tanzania
Isipotokea hivyo NAJITOA JF RASMI NA SITOTUMIA TENA JF.
Timu kwanza inalaana ya damu inayonuka nchini, mpaka HAKI ipatikane ndio mambo yatakua shwari.
Timu lenyewe halina hata rangi za mpangilio wa jezi ambao umedumu miaka kwa miaka mingi kama timu nyingne za...
Hello
Kupitia analysis fupi niliyofanya nimekuja na majibu kwamba Tanzania tuna asilimia kubwa 99% kubeba kombe hili
Timu nyingi za Taifa ambazo ni magiant round hii zinacheza mpira wa ovyo na hazina ubora ule tuliouzoea siku zote
Viwango vya wachezaji havipishani sana baina ya yale mataifa...
Hapa naongelea Tanzania nzima, sio tu Tanganyika
Yani naongelea hii nchi yetu yote (Tanganyika+Zanzibar) ambayo imebakiza miezi minne kusherehekea miaka 62 ya Muungano
Katika vitu vifuatavyo, ndani ya hii miaka yote 62 tuliyoungana nataka niulize Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu...
Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa.
Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period.
Kwa vilaza 👇👇👇
Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado.
Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua...
Darren Jason Watkins Jr. (aliyezaliwa tarehe 21 Januari 2005), anayejulikana pia kwa jina la kisanii IShowSpeed au kwa kifupi Speed, ni YouTuber na mtiririshaji wa maudhui mtandaoni kutoka Marekani. Yeye ni miongoni mwa watiririshaji wa maudhui yya mtandaoni na miongoni mwa watu mashuhuri wa...
Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia.
Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki.
Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka.
Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini?
Walishasema ufisadi na mambo mengineyo.
Hawa...
MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …
Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
“Hakuna Mwanasiasa yeyote hapa Tanzania asiyetamani kuwa Mwanachama wa CCM, wote walionitukana wakati nimejiunga na CCM sasa hivi tuko nao wote CCM” Habibu Mchange
Hapa ni orodha ya matukio yaliyotikisa nchini tanzania 2025
Maandamano na Mauaji ya Raia (Oktoba 29)
Maandamano makubwa dhidi ya serikali, ambapo maelfu ya raia waliuawa au kujeruhiwa baada ya polisi kutumia nguvu kupita kiasi.
Samia Kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi Bila Kura kuhesabiwa...
Tayari nimeweka nia ya kutojihusisha na mikopo ya aina yoyote ile mwaka 2026. Iwe benki, viccoba au wowote ule nitakaa nao mbali. Yaani nimejiahidi kama nilivyojiahidi kutofanya mapenzi hadi nimalize form 6 na nikafanikiwa. Hii mikopo sio kabisa.
Kimsingi ukipiga hesabu ya marejesho ukajumlisha...
Nichukue fursa hii kumpongeza Mhe.Waziri Mkuu Kijana Mwigulu Nchemba kwa kuanza kuanika japo kwa uchache kilichopo nyuma ya pazia.
Ni muda mrefu humu tumesema juu ya mwenendo usio na afya kwa Taifa unaooneshwa na mabeberu au waite mabwana waliowatumikisha wabara na hata kuwauza utumwani ...
Tukubaliane watanganyika, nasema watanganyika, maana zanzibari sijasikia wakitekwa au lolote BAYA lililotokea kwao,
Nasema tukubaliane Tanganyika RAIS wetu ameshindwa na tabaka la watekaji Sasa tujiamini na tujilinde sisi wenyewe.
Je vyombo vyeti navyo vimeshindwa kutulinda Sasa tujirinde?
Tangu Camilius Wambura akiwa ZCO pale Dar (enzi za Magufuli), vitendo vya utekaji vilishika kasi.
IGP wa wakati huo alijitahidi kudhibiti, lakini wapi. ZCO wa wakati huo (Wambura) alikuwa kwenye kikosi maalumu kilichokuwa kikiripoti kwa Rais (Task Force).
Kikundi hiki tulikipigia kelele lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.