tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Sheria kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ya Mwaka 1977

    Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13) Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na Sheria...
  2. JamiiForums Tanzania The Bongo Flava industry in Tanzania; Is still grow or decline?

    Tujadiliane kuhusu Bongo Flava industry ; Is still growing or declining industry? Ni nini Maoni yako kweny Tanzania music industry.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imelipa kampuni za China wastani wa $1B kwa mwaka kwa ujenzi pekee

    Kwa maelezo ya Raisi Magufuli mwenyewe Tanzania imelipa kampuzi za China $10B kwa miaka 10 iliyopita! hii ni wastani wa $1B kwa mwaka. Hii inashutusha kwa jinsi tunavyotoa wahandisi kwenye vyuo mpaka sasa bado kazi nyingi zinafanywa na makampuni ya China. Kazi nyingi kama za majengo, visima...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania on Twitter ni akina nani? Kwanini vyombo vya dola vinawachekea?

    Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi. Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na Serikali . Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania What a wonderful documentary about Tanzania Roads! watch for yourself. enjoy

    Nimetazama documentary hii ni nzuri sana.Tanzania ni kubwa aisee!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kodi za Tanzania ni za ajabu sana, inawezekanaje gari ya miaka 20 iuzwe kwa zaidi ya Milioni 20?

    Sijui ni sababu ya kodi ama umasikini lakini gharama za maisha Tanzania zinasikitisha sana. Hii nchi kweli bado masikini na kuja kutoka hapa sio leo. Leo ukiagiza gari ya mwaka 2001, gari ambayo nchi karibu zote Duniani zimeiondoa barabarani kwa sababu ya kimazingira na kiafya isipokua...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa muongozo mpya wa upimaji kwa wanaosafiri kwenda nje ya nchi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanaoambukizwa #COVID19 na kuwepo kwa vimelea vipya kwa baadhi ya nchi Wizara imetangaza kupanda kwa gharama za upimaji wakisema kuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Uhakika Tanzania tunaingia katika kumi bora za Nchi zenye wananchi wenye furaha duniani

    Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani. Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

    Kwa kipindi cha miaka minne chini ya rais Donald Trump pamoja na Republican party, viongozi wengi wa nchi zinazoendelea hasa madikteta, wameweza kuendeleza ukatili wao pamoja na ukiukaji wa haki za binadamu bila wasi wasi kwani Rais Trump pamoja na Chama Chake waliligeuzia mgongo haya mataifa na...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Wang Yi, Tanzania sasa tujifunze

    China katika kipindi ilichokuwa inatakeleza mkakati wake wa maendeleo makubwa ( economic trajectory and critical mass investment in infrastructures) imekuwa inaendelea kuchukua tahadhari kubwa sana kujiepusha na migongano au migogoro na mataifa yale inayoyaona kwa njia moja au nyingine yanaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Tuambiane ukweli: Tanzania hakuna utawala wa kidikteta

    Kabla ya kujadili mada husika napenda kuwakumbusha wadau kuwa utawala wa kidikteta huwa unakuwa na sifa kubwa mbili, kwaza hakuna demokrasia hii ni sababu hakuna uchaguzi. Maana wanaotawala huingia madarakani kwa mabavu. Pili ni utawala usiofuata misingi ya katiba na sheria. Kwa sifa hizo...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Tanzania inatamani sana Chato ifanane na majiji makubwa ya China ambayo awali yalikuwa ni vijiji vya wavuvi!

    Profesa Kabudi amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa China kwamba anashukuru kwa ziara aliyoifanya Mwaloni leo asubuhi na Tanzania inatamani Chato ije kuwa kama miji mikubwa ya China ambayo awali ilikuwa ni vijiji vya wavuvi kama ilivyo chato. Profesa Kabudi amesema kwa mahusiano mema ya...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachina bana, licha ya mapokezi yote hayo Tanzania, wanatoa kamsaada ka dola laki na nusu ($150,000)

    Wamepokewa kwa mbwembwe zote hizo halafu kwenye bakuli la msaada wanatia dola laki moja, hizo hata zikidadavuliwa vizuri zitagharamikia tu mapokezi, mbona Wachina wamekua wabahiri hivi. ========= Dar es Salaam. Serikali ya China imekabidhi msaada wa dola za Marekani 1,50000 kwa ajili ya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya’s economy to grow fastest in Africa in 2021 - World Bank

    The World Bank predicts that Kenya’s economy will expand by 6.9% in 2021, the fastest growth rate in Africa, and a more ambitious prediction than the government’s estimate of 6.4% economic growth in 2021. Continued support from the international lender in terms of public health interventions and...
  17. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Kufanyika tarehe 30/1/2021

    Uchaguzi Mkuu wa RT unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza, huku nafasi ambazo zitahitajika ni nafasi ya Rais na Makamu wake pamoja na Wajumbe 6, ikiwemo moja ya Viti Maalum Mwanamke. Fomu zitaanza kuchukuliwa Kesho (8 hadi 19, Januari), kwa ada ya shilingi laki mbili...
  18. JamiiForums Tanzania Huduma ya kupangisha nyumba zenye samani ni chache Tanzania

    Nyumba yenye samani zote (full furnished house) ni inayokuja kwa kasi Tanzania. Samani za muhimu ni kitanda na godoro, kabati la nguo lenye kioo, chumbani. Jikoni ni jiko, fridge, washing machine, kettle, sufuria sahani na vyombo vya kulia. Sebuleni sofa na TV. Kwa sasa pango la nyumba hizi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

    Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani. Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea? Itoshe tu kusema...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika bado sana, tusichekane, kule Tanzania wanafunzi kusoma kwa zamu kisa uhaba wa madarasa

    Yaani wanafunzi wanasubirishwa nje ili kundi la kwanza likamilishe somo kwenye ratiba yao, hii Afrika tumechelewa kweli maana siamini mambo kama haya yanatendeka kwenye karne hii miaka mingi sana tangu mkoloni aondoke. Vipau mbele hamna, utakuta wakulu wanasafiri kwa magari ya kifahari kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…