tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfg

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfgren, mara baada ya kikao na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Matinyi akutana na wawekezaji wa Sweden, aelezea fursa za uwekezaji

    BALOZI MATINYI AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA SWEDEN, AELEZEA FURSA ZA UWEKEZAJI Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ina midomo mingi, kila unalofanya linatafsiriwa

    Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Karai na ndoto: Vijana wa Tanzania wakumbatia sanaa ya mapishi ya Kichina

    Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania inakwama kwa sababu vijana wamepotezewa roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu

    Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika mambo ya siasa ili kulinda maslahi ya hao watawala. Badala yake, athari za mambo haya tunaziona...
  6. JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini na watu kuwajibika, basi AFCON 2027 inaweza kuwa bonge la failure badala ya fahari

    Suala la kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa Tanzania, Kenya na Uganda ulitangazwa kama ushindi wa kihistoria kwa Afrika Mashariki. Lakini kadri siku zinavyosonga, ndivyo uhalisia unavyozidi kuwa mchungu. Ila nimeshangazwa sana na taarifa na habari za Tanzania kuomba msaada wa taifa la China mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Serikali yaiomba China kuunga mkono jitihada za kuendeleza miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON) pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa Mambo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Samia: Tanzania tunamuunga mkono Museveni kuimarisha usalama Maziwa Makuu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia nafasi yake kama mwenyekiti wa jumuiya hiyo. Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi, Februari 7, 2026...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Museveni awasili Tanzania kwa ziara ya kikazi

    #onemediaupdates🇹🇿 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026.
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Uganda, Yoweri Museveni awasili Ikulu, Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu ambapo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi na maendeleo baina ya Tanzania na Uganda. Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama Tanzania tunayo, hatunayo?

    Waione Kiranga na Nyani Ngabu 🤭
  12. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania kukusanya Dhahabu za Dola Bilioni 2, wajiona wamefanikiwa sana; Russia wamekusanya Dola Bilioni 402 lakini hawajauza – Tafakari

    Russian gold reserves break record The country’s bullion holdings were valued at $402.7 billion as of early February The value of Russia’s gold reserves has reached an all-time high, exceeding the $400 billion mark, according to statistics released by the country’s central bank on Friday...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Ugaidi Tanzania: Mateso, Mauaji, na Utekaji nyara wa Kisiasa unaongezeka. The Washington Post.

    February 6, 2026 Warning: This story contains graphic content. https://t.co/bwpN0QJUj7 Tafsiri isiyo rasmi. Ikimezwa na vita na idadi kubwa ya waliokufa, Afrika inaingia katika aina ya giza ambalo ulimwengu haujawahi kuona. Mto wa damu isiyo na hatia, unaoanzia Nigeria hadi Sudan, unameza...
  14. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania lijadili kikundi cha wabunge wa Ulaya na marekani kinachotumiwa kuichafua Tanzania

    Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania. Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
  15. JamiiForums Tanzania Bunge la ulaya laikemea vikali Tanzania

    Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika hotuba yake, Smith ameorodhesha nchi zinazokandamiza uhuru wa kidini kuwa ni China, Urusi, Nikaragua...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ashiriki hafla ya kusimikwa kwa uongozi mpya wa Baraza la Makanisa ya Pentekoste Tanzania

    MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA KUSIMIKWA KWA UONGOZI MPYA WA BARAZA LA MAKANISA YA PENTEKOSTE TANZANIA ▪️ASISITIZA VIONGOZI WA DINI KUMUOMBEA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA TAIFA KWA UJUMLA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa UN waipongeza Tanzania kwa mchango wake kulinda amani

    Tanzania to the World!!!!! Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
  18. JamiiForums Tanzania Rai wa Uganda, Yoweri Museveni kuwasili Tanzania kesho Februari 7, 2026 kufanya ziara ya siku moja

  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Pascal Mayalla wa JF hajawahi jushinda kesi yoyote mahakama za Tanzania pamoja na kunasibu ni wakili msomi?

    Kama ni yupo Competent kwa nini hajawahi kutoboa hata mara moko. Zaidi ya kuja kujaza makala ndefu ambazo hazina kichwa wala miguu. Maana kadili anavyo itetea CCM ndio inazidi kuchukiwa. What is wrong Paskary?
  20. JamiiForums Tanzania Samia: Tumeboresha sera zetu kuvutia uwekezaji zaidi Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan, jana usiku alishiriki katika uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) uliofanyika jijini Dubai, hatua inayolenga kuimarisha nafasi ya Afrika katika kuvutia uwekezaji wa kimataifa unaozingatia uhalisia wa kifedha na mipango ya muda mrefu. Akihutubia mkutano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…