Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tumechoshwa sana na mizigo mingi na mikubwa tuliyolimbikiziwa wananchi
1. Kodi ya aridhi
2. Kodi ya majengo
3. Lesen
4.kodi kwenye luku
5. Kodi ya miamala ya fedha
6.kodi ya mizani
7.kodi ya ya mafremu
8.kodi ya maegesho
10.kodi ya biashara
11.kodi kibali cha...
https://www.youtube.com/watch?v=tx3B0RfO9-U
wenzetu
https://youtu.be/8p9riRjgazo?si=8faEViuKjxL8ndY2
Kenya wamepata $1.6B kwenye mkutano mmoja wakati biashara ya Tanzania na Urusi ni $400M tu kwa mwaka. Akili za wajinga wajinga ndiyo wanatuongoza
Usimamizi mmbaya wa rasilimali.
Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani.
Uongozi butu!.
Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu...
Wakuu,
Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024...
"You deserve to be in the market but don't call yourself I am a certified professional. No, huna cheti, usiseme unacheti. Kama mimi ‘trainers’ wangu wamesafiri hadi Uturuki nagharamika ili niwasomeshe.
Kwanini? Kwasababu mimi I am responsible for afya ya watu, tayari nimeshaingia kwenye kile...
Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika.
Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini.
Tukio la Sasa: Mining Indaba 2026
Tarehe: Februari...
Dar es Salaam – Serikali imeiomba China kuunga mkono maendeleo ya miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki.
Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa...
PROJECT PROPOSAL YA KITAIFA
**KAMPENI YA KITAIFA:
“TUINUE VIPAJI KWA TAIFA LETU NA MAENDELEO YETU”**
Wizara Husika:
Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
1. UTANGULIZI WA KIMKAKATI
Tanzania ni taifa lenye idadi kubwa ya watoto na vijana wenye vipaji vikubwa vya...
09 February 2026
UETCL mradi wa dola milioni 250 kutoka Benki ya Dunia, kupeleka umeme Tanzania waanza
Kampuni ya Usambazaji wa Umeme ya Uganda Limited UETCL imeanza mchakato wa ununuzi wa laini ya umeme yenye volteji nyingi ya shilingi bilioni 937.5 inayounganisha Uganda na Tanzania...
Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika.
Sisi kama mawakala:
Tunaweka mtaji wetu binafsi
Tunahudumia wateja na kubeba...
Anonymous
Thread
barua
barua ya wazi
huduma
huduma ya umeme
kamisheni
kuuza
kwenda
selcom
tanzania
umeme
wazi
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfgren, mara baada ya kikao na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha...
BALOZI MATINYI AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA SWEDEN, AELEZEA FURSA ZA UWEKEZAJI
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha...
Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika mambo ya siasa ili kulinda maslahi ya hao watawala. Badala yake, athari za mambo haya tunaziona...
Suala la kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa Tanzania, Kenya na Uganda ulitangazwa kama ushindi wa kihistoria kwa Afrika Mashariki. Lakini kadri siku zinavyosonga, ndivyo uhalisia unavyozidi kuwa mchungu.
Ila nimeshangazwa sana na taarifa na habari za Tanzania kuomba msaada wa taifa la China mwaka...
Serikali yaiomba China kuunga mkono jitihada za kuendeleza miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON) pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki.
Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa Mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.