tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania The Tanzania Files: Mnemba, Transit Routes, and the Epstein Shadow

    Date: February 4, 2026 DAR ES SALAAM — The question is no longer if Tanzania is connected to the Jeffrey Epstein network, but how deep the rabbit hole goes. Following the U.S. Department of Justice's massive release of nearly 3 million pages of documents this week, the "Epstein Shadow" has...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tangu alipofariki Shujaa wa Afrika John P Magufuli taifa la Tanzania lina mpasuko mkubwa kisiasa, kidini na hata Ideologically

    Mwenye akilpi ndogo kama punje ya haradali atabisha. Ukweli ni kwamba rais Magufuli alikuwa ameliunganisha taifa kwa kila namna. Na ndio maana hata aliposema tuweke siasa kando hata Wananchi wa kawaida hawakulalama. Maana waliona anapiga kazi kwa wananchi wote. Aliunganisha wananchi wote wa...
  3. Kifaurongo

    JamiiForums Tanzania Tanzania, EU deepen ties

    BRUSSELS: TANZANIA and the European Union (EU) have strengthened their strategic partnership with a renewed focus on practical cooperation in regional peace and security, rules-based trade, investment facilitation and predictable partnership frameworks that support effective implementation and...
  4. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026

    UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026 Huku Mfumuko wa Bei Ukishuka Hadi 2.8% Licha ya Kudorora kwa Uchumi wa Dunia. Umoja wa Mataifa ya Hali ya Uchumi Duniani na Matarajio ya Mwaka 2026 (UNCTAD’s World Economic Situation and Prospects 2026) inatabiri...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa ipi hapa Tanzania ambayo ukienda kusaka fursa ukiwa mgeni utapata changamoto kunufaika kiuchumi ?

    Kuna mikoa ukienda kufungua biashara, jipange kama ni mgeni
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC) matokeo ya leseni mnatoa lini?

    Habar wana Jf Husika na kichwa cha uzi hapo juu, sisi wahitimu ya fani ya uuguzi tulifanya mtihani wa leseni 19 Disemba, 2025 na tulipia huo mtihani laki na nusu! Sasa hawa jamaa muda unazidi kwenda hawatoi matokeo wako busy kukusanya hela za marathon ambazo sisi hazitusaidii, sisi tunataka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siku tukija kupata kiongozi kama huyu hata kama ni mtata basi Tanzania itafika mbli sana kiuchumi, Kenya hawataweza kusogea kabisa.

  8. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Leo ni siku ya sheria : Dah! Inakosa mvuto kwa vile Tanzania hakuna utawala wa sheria

    Wangapi wanajua kuwa leo ni siku ya sheria? Wachache maana hakuna mvuto kwa vile hapa tunaishi bila sheria. Sheria ni Samia, Mafwele, Mulilo na watu wao!
  9. O

    JamiiForums Tanzania State of Fear: Inside Tanzania's Enforced Disappearances - BBC Africa Eye Documentary

    "When Samia Suluhu became Tanzania’s first female president in 2021, after the sudden death in office of her predecessor, there were hopes that her presidency would mark a break from authoritarian rule. She lifted a ban on opposition rallies, allowed the media to operate more freely, and called...
  10. k-bee

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata baskeli za aina hizi kwa Tanzania Bara

    Rejea mada tajwa..! Natafuta baskeli za umeme je niwapi? Kwa Tanzania bara ambapo nitapata mwenye kujua anijuze
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe program ya watu kuchangia kwaajili ya uzee. Iitwe KIZAZI SALAMA FUND (KSF). Ili Kila Mzee wa Tanzania alipwe posho kwa mwezi

    SERIKALI IANZISHE PROGRAM YA WATU KUCHANGIA KWAAJILI YA UZEE. IITWE "KIZAZI SALAMA FUND (KSF)". ILI KILA MZEE WA TANZANIA ALIPWE POSHO KWA MWEZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watu wote nchini ni muhimu. Na wote kwa namna moja ama nyingi wanamchango katika ujenzi wa taifa letu. 2...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha hii ya barabara iliyopo mlimani imepigwa nchini Tanzania

  13. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Malipo ya mafao ya mstaafu kwa mujibu wa sheria za hifadhi ya jamii Tanzania

    Baada ya mwanachama kustaafu rasmi utumishi wake, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii husika unatakiwa kuchakata na kulipa mafao ya mstaafu ndani ya siku sitini (60) tangu kukamilika kwa nyaraka zote muhimu za madai ya mafao. Kisheria, masharti haya yameainishwa wazi katika sheria mbalimbali za hifadhi...
  14. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ila ngumi za Tanzania zina uhuni sana

    Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala. Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la leo ni aibu
  16. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Naendelea kuilaumu TFF na mashabiki wapuuzi wa Tanzania kisa Al Hilal FC

    Saudi arabia anahangaika kulipa mabilioni ili Barcelona na real Madrid wakacheze kwenye ardhi yao, nasikia alitaka kuwalipa england pesa mechi za mzunguko WA pili WA EPL zikachezwe saudia SIJUI walifikia wapi. Kuna kisiwa cha amani kinajiita HIVO mawazir wake huvaa miwani MIKUBWA utasema yes we...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Sakata la Interview za Air Tanzania leo tarehe 31 January 2026

    Kama kuna siku vijana wamejisikia kama wako kwenye onyesho la futuhi—lakini lisilo na kicheko chochote—basi ni siku ya usahili wa ajira wa Air Tanzania leo pale DUCE. Kilichotarajiwa kuwa zoezi la kitaalamu, la haki na la kutoa matumaini, kimegeuka kuwa kilio chenye maswali mengi kuliko majibu...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ameharibu akili za vijana wa Tanzania, Sasa kila linalosemwa na kiongozi wa serikali wanalipokea negative

    Fursa lukuki ambazo zipo ndani ya awamu hii ya Samia gen Z wala hawazihangahikii badala yake vijana wachache mostly ni UVCCM ndio huzipata yet gen Z wanaendelea kusema wanapeana. Hawa vijana walioharibiwa akili na MANGE Kimambi kazi yao kubwa ni kusubiri post yoyote mitandaoni iliyotolewa na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  20. passioner255

    JamiiForums Tanzania Ili kuzuia Tanzania isiendelee kuangamia haya yafanyike

    Ukweli ni kwamba nchi yetu inahali ya kisiasa na kiuchumi mbaya sana.hali ambayo imesababishwa na uongozi mmbovu.tunaongozwa na viongozi waovu. Ili mambo yabadilike viongozi waovu waondolewe kuanzia Rais na wenzake,siasa ziwe bora,haki itawale ndani ya...
Back
Top Bottom