tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Samia ndio Rais Pekee Aliyetoa Ajira Nyingi Zaidi katika Historia ya Tanzania

    Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania. Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.Pia Soma (1) Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Somalia makubaliano ya ziara bila visa

    Somalia na Tanzania wamesaini makubaliano ya uhamiaji yanayoruhusu raia wa nchi hizo mbili kuingia nchini bila ya viza na pia kupata viza wanapowasili, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, utalii, na masuala ya elimu. Makubaliano hayo yalitiwa saini na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Somalia...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Mahakama ya ICC na Tanzania?

    Picha ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (ICC), Balozi Mahmoud Thabiti Kombo na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Mame Mandiaye Niang, pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Februari 14, 2026, imezua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tukiendeleza uchawa tutatawaliwa na Jeshi muda si mrefu

    Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama...
  5. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Forex ni kamari ya kimtandao: "Emmanuel Mpawe Tutuba (Governer Bank of Tanzania)"

    https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163 ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania amenyoosha maelezo kwamba Forex ni kamari, ndugu zetu kina Fbn Nuru2023 heartbeats Extrovert...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuandaa ramani ya maeneo ya dhahabu

    16 February 2026 Baraza la Dhahabu Duniani laashiria utayari wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu - SADC https://m.youtube.com/watch?v=W9De1WL7Rh8 Baraza la Dhahabu Duniani World Gold Council limeonyesha utayari wake wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania MPYA Tanzania inadaiwa zaidi ya Shs 4,803,248,421,486 na IMF, kutokea Shs 0 Disemba 2020

    Mpaka mwezi January 2026, tunadaiwa zaidi ya Shs 4,803,248,421,486 na IMF (sawa na SDR 1,335,730,000). Mnamo Disemba 2020, jemedari na jembe Dr. John Pombe Magufuli alimaliza kulipa deni lote la IMF - mpaka balance ikaonyesha 0 (sifuri au zero). Link ya IMF wenyewe...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hakuna timu kutoka Tanzania itakayovuka

    Ile damu iliopo ardhini bado inalia mpaka itendewe haki ndio mambo yatatulia. Na mwakani mwendo ndio huuhuu 👽 AZAM OUT 👽SIMBA OUT 👽YANGA (CCM DEPARTMENT OF SPORTS) OUT
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

    Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC. Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya. ========== On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC...
  11. opondo

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli hapa Tanzania soko la teknolojia na tehama ni kwenye kutengeneza na sio kuunda?

    Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
  12. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 The economist: Samia Suluhu Hassan ameisababishia matatizo makubwa Tanzania, toka nchi ipate uhuru

    Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War. Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kutumia Usahili wa Kina ni njia bora ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata wabunge wenye sifa, ujuzi, na maadili mema

    “Kutumia Usahili wa Kina ni njia bora ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata wabunge wenye sifa, ujuzi, na maadili mema. Hii si tu inakuza maendeleo ya jimbo na taifa, bali pia inahakikisha wananchi wanapewa wawakilishi wanaowakilisha kwa ufanisi na uwajibikaji.” Hivyo ,Kuna haja ya kuwafanyia...
  15. ubongokid

    JamiiForums Tanzania JeTanzania Inahitaji Shujaa Kama Jerry Rawlings au Tundu Lissu Anatosha?

    Habari za Wakati huu; Kuna mambo ukiyatazama kwa mbali na hata kwa ukaribu huwezi kuelewa kabisa. 1. La kwanza ni hili la Tundu Lisu.Tundu Lisu amewekwa Gerezani takribani Mwaka mmoja.Amewekwa Mahabusu.Kesi yake inaonekana kabisa ni kesi isiyo na mashiko wala msingi.Ni kesi ya kubumba.Swali ni...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Tanzania umedidimishwa na Kikwete, Magufuli na Samia

    Kikwete ndiyo alianza mambo ya mitandao , akaja dikteta fake mwendazake Magufuli na huyu Mama wa machawa Samia. Hawa wamechangia sana kwenye kudidimiza tamaduni na ndiyo waliouwa demokrasia
  17. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Developers wa Tanzania

    Kumekuwa na hofu kubwa sana kuhusu AI, wengi wanaiona kama adui au tishio kwenye ajira na future ya Software Development. Lakini ukweli ni kwamba AI si adui ni tool muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojia. Kama una misingi mzuri wa Software Engineering, AI inakuongezea...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mafanikio Ya Tanzania Yanaonewa Wivu Na Wengi

    https://www.instagram.com/reel/DUsyVutAudz/?igsh=N3lkOHM0bm52anVs
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Tanzania Waendelea kwa Kipaji cha Mafunzo kwa Wafanyakazi wa Reli

    Kwa miaka mitatu na nusu, Amina Ally Sauko amesaidia kuratibu operesheni za treni za Shirika la Reli la Tanzania (TRC) kutoka kwenye Kituo chake cha Usimamizi wa Operesheni kilichoko jijini Dar es Salaam, ambako uhakika na kufanya kazi pamoja kama timu ni muhimu. Amina, ofisa usafiri wa TRC...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, mahakama ya Tanzania inaweza kuendeshwa kama mechi ya Simba na Yanga?

    Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko. Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake? Wakati Yesu anahukumiwa pasipo haki pilato alisimama mbele ya wayahudi akawa anahoji baadhi ya maswali muhimu...
Back
Top Bottom