Kwa mtazamo wangu Tanzania haina wafanya Biashara wa Petrol bali ina wasambazaji wa Petrol
Hii ni kwa sababu, Petrol inanunuliwa kwa usimamizi wa serikali, inapangwa bei na Serikali, wasambazaji wanachukua kupeleka vituo vya mafuta kuisambaza kwa bei waliyo pangiwa na Serikali (kama MSD inavyo...