Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Ni miaka 60 sasa tangu Taifa letu pendwa kujipatia uhuru wake toka kwa watu wasiostaarabika wa zamani hizo. Leo hii tunapoadhimisha miongo 6 ya uhuru, umoja, amani na mshikamano kuna watu wazima na akili zao timamu wanakaa mitandaoni ni kutukanana mambo ya kijinga kijinga kabisa kama vile...
Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji.
Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani.
1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu.
2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea.
Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
3 Technical Advisors TVET/Employment Promotion in Dodoma
Manyara and Lindi (310 working days each)
Position: technical advisor
Project Status: tender
Project Title: KOICA Tanzania – Provision of short courses in 3 vocational training centres
Project Period: 03/2022 – 12/2023
Duration of...
Tanzania na Kenya zimekubaliana masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha Mpaka, kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona na kushirikiana kwenye Sekta ya Utalii.
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam baada ya Utiaji Saini wa Hati za Makubaliano na Ushirikiano...
Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kutofautisha biashara za ushindani na biashara za vita.
Biashara za ushindani ndio ideology kubwa inayopelekea nchi nyingi zilizoendelea kwa kasi. Asilimia kubwa ya biashara za ushindani ndio chachu ya kukuwa kwa ushindani kama aina mpya ya mitindo ya...
Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji.
Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake.
Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
Leo ni sherehe ya kumbukizi la uhuru wa TANGANYIKA iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza. Tusipotoshe historia!! Leo siyo siku ya uhuru wa Tanzania.
Anayebisha aniambie Tanzania ilikuwa inatawaliwa na mkoloni yupi! Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania wala Tanzania bara!! Tumeamua kupotosha...
Nauza juice dispenser njia tatu.. ipo vizuri inatumia umeme mdogo sana.. unaweza weka juice ata siku sita ikawa inazunguka bila kuharibika. Pia inatoa ubaridi ule ule wa juice ya kwenye fridge.
Nzuri kwa restaurant, hotelini hata pick na pay.
Bei rahisi kabisa
Bei: 580,000
Location: Kimara...
Nchi hii, ili ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma upungue kwa kiasi kikubwa(najua hauwezi kwisha), yoyote ataepatikana na hatia ya ubadhirifu, wizi na ufisadi wa mali ya umma, anyongwe hadharani mpaka kufa.
Tukiwaonea huruma, tunawaacha wanafia jela, ila sheria itamke wazi adhabu yao ni...
Baada ya vita ya kwanza ya dunia, league of nations wakaiweka Tanzania kuwa protectorate chini ya muingereza. Sasa kuwa namna hii na kuwa koloni kama zilivyokuwa Kenya na Uganda kuna tofauti gani?
Nini faida tulizopata na hasara tulizopata ukilinganisha na makoloni kama Uganda na Kenya?
Habari zenu...
Nimejikuta nimedondokea ktk instagram trends na kukuta kuna huyu mmasai wa tanzania anaitwa Kili Paul na mdogo wake wa kike Neema...
Wamekua maarufu sana ktk mitandao ya kijamii haswa tiktok, indtagram na youtube... wanafanya interview na media za india online.
Na kila muhindi...
Wanabodi!
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika...
Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili...
Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu wananchi nawasalimu kwa jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.