tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaipiga bao Tanzania, yanunua mahindi Tanzania na kuyauza kwa bei ya juu Sudan Kusini

    Kenya imechangamkia fursa iliyotokea hivi karibuni ya uhitaji wa zao la mahindi nchini Sudan Kusini, hii ni baada ya Uganda ambayo ni tegemezi la South Sudan katika mazao kuwa na uzalishaji mdogo wa mahindi. Jambo hili limepelekea bei ya zao la mahindi nchini Sudani Kusini (mwanachama wa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi mkubwa, leo hii serikali ya mkoa wa Kilimanjaro na baadhi ya idara wangepata misukosuko isiyosahaulika

    Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000. Napata tabu sana kuelewa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania haina wapinzani bali wajaza matumbo. Tatizo la uhaba wa madarasa limetatuliwa; mnalalama nini kihusu mikopo?

    Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao. Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza...
  4. JamiiForums Tanzania I am seeking advice as an American moving to Tanzania

    I am currently a 17 year old American who has been voluntarily learning Kiswahili for almost a year and a half now. I have been wanting to move to Tanzania for the same amount of time. Another few things to note, I have no family, no friends, no ties at all to Tanzania, I have no talents or...
  5. JamiiForums Tanzania Hayati Gadafi wakati akiongoza alitumia rasilimali ya mafuta kwa kutokuwa na madeni Tanzania inafeli wapi?????

    Salama wandugu tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake. Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama...
  6. JamiiForums Tanzania Nilitegemea Lissu aje Tanzania kumsaidia Mbowe na kesi ya ugaidi kuliko kutuma salamu za mwaka mpya akiwa Ubelgiji

    Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka. Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti Watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani. Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu kweli tunaingia 2022 ukiamini Samia Suluhu Hassan haijui Tanzania?

  8. JamiiForums Tanzania Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

    Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imeifutia usajili Skuli ya Eden inayomilikiwa na Shirika la Afrika Agape Association kuanzia Januri 3 mwakani. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizara kubaini mmiliki wa Skuli hiyo kuendesha Skuli kinyume na sheria, miongozo na kanuni za Wizara...
  9. JamiiForums Tanzania Ukomavu wa kisiasa; Wakati Kenya wanaonesha njia, Tanzania kama wafanyavyo mbuni, tumezika vichwa mchangani

    Siku hizi nashindwa hata kuingia JF kwani kwa sasa hili jamvi letu pendwa limekuwa kama kokoro. Hata hivyo hili tukio huko kwa jirani zetu limenizindua kutoka usingizi mzito. Kuna wakati taifa letu lilikuwa la kupigiwa mfano na hata sisi wananchi wake tulitembea vifua mbele bila soni wala aibu...
  10. JamiiForums Tanzania Japo Hakuna Kazi za Kike na za Kiume, Lakini Utangazaji Mpira Redioni, Ni Mwanamke Mmoja Tu Tanzania, Halima Mchuka.

    Wanabodi Kuna huu msemo, "Everything a man can do, a woman can do", kumaanisha hakuna kazi za kike na za kiume, kila kazi inayofanywa na mwanaume, inaweza kufanywa na mwanamke. Moja ya kazi rahisi sana ni kazi ya utangazaji, ila inahitaji kipaji. lakini kwa upande wa utangazaji wa mpira wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mabango ya Wakala Tanzania

    Watengenezaji wa Mabango Tanzania kwa gharama nafuu zaidi. karibu tukuhudumie, wasiliana nasi kwa namba 0762399650 kwa maelezo zaidi.
  12. JamiiForums Tanzania Watengeneza Mabango, logo na Vipeperushi

    Wataalam na mabingwa wa kutungeneza Mabango Tanzania, Logo, Posters, Flyers na uchapishaji (Printing). Wasiliana nasi kwa 0762 399 650 kwa maelezo zaidi.
  13. JamiiForums Tanzania Hii gari inaitwa Ford consul model ya mwaka 1954 ni gari ambayo ilimilikiwa na Adam sapi mkwawa alikuwa spika wa bunge la Tanzania

    Remember
  14. JamiiForums Tanzania Je utanunua Mkoa gani iwapo Tanzania itauzwa kwa Mnada?

    Tuchukulie kampuni ya McHugh & Co ya London UK wamepewa deal na Bunge la Tanzania waiuze Tanzania yote.......wauze mkoa kwa mkoa hadi nchi yote iishe. Je wewe kama una hela ungenunua mkoa upi?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Katuni za Watu wazima zinapatikana Tanzania tu,

    Yaani kama umeshavuka miaka 25 basi kuangalia Tom & Jerry inakuwa ni vioja na kuonekana mtu wa ajabu sana,bado hujakua.Ila kama unataka kufurahi kama enzi zile basi angalia viongozi wa Tanzania wanapozungumza ,wawe wa serikali au wa vyama vya siasa,hata huko kweny vyuo au hata wale maprofesa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, ni wazi kwamba watu wanamdharau (wanamchukulia poa)

    Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR "..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana

    Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

    Kiswahili ni Tanzania kama ilivyo Ujamaa, Tanzania inajivunia Nyerere daima kwa kufanya Tanzania kuwa na influence kubwa ulimwenguni Tafiti zinaonekana kwamba Tanzania ndio taifa lenye ushawishi mkubwa wa kitamaduni duniani kutokea Africa Tanzania to the world 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 Hope this is the next...
  19. JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu mmojawapo kati yao alikuwa Rais wa Tanzania je unamkumbuka ni nani?

    HEBU TUJIKUMBUSHE
  20. JamiiForums Tanzania Maisha ya makambi ya Ukimbizi siyo kabisa. Amani ya Tanzania tuilinde kwa nguvu zote

    Nimebahatika kutembelea kambi ya wakimbizi Nyarugusu niliyaona daah. Kuna wakimbizi wa kishua na hohehae kabisa, Wale hohehae wana maisha magumu kinyama. Mule ndani ni kama upo Kongo au Burundi, wana shule zao,wana makanisa yao Kuna mitaa ya kikongo na kirundi. Mrundi haruhusiwi kukatiza mitaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…