tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makosa ambayo hayana dhamana kisheria Nchini Tanzania

    Kifungu cha 148(5)(a) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 kinasema; Afisa polisi ambapo mtuhumiwa anashikiliwa au mahakama ambapo mtuhumiwa amepelekwa kusikiliza shauri lake, haitoruhusiwa kutoa dhamana kwa mtu ambaye ameshtakiwa kwa makosa YAFUATAYO; 1. Mauaji 2. Uhaini 3...
  2. kennedy nkya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya katika maendeleo ya Tanzania 🇹🇿

    AFYA: Ni hali ya kujisikia vizuri kimwili kiakili na kiutu bila kusubuliwa na kitu chochote. Pia afya inaeza kuelezewa kwa hali ya ubora wa kiumbe hai kuweza kufanya vizuri katika mazingira yake, Vilevile shirika la afya ulmwenguni(WHO) limeelezea afya kwa maana ya kuunganishwa na hali ya ustawi...
  3. 0688114577

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana wa Tanzania ya leo

    Kama ilivyo katika mikakati ya kimaendeleo ya taifa letu kuwa kijana ndio nguvu kazi ya taifa na ndio taifa tegemewa la kesho, lakini kijana huyo huyo anaezungumziwa na taifa lake bado haelewi majukumu yake kwenye taifa lake, hii inakuja na vielelezo kadhaa: Kwanza, kijana haoni mchango wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona kwa sasa Timu Bora Tanzania kama Yanga SC na Mbovu kama ya Simba SC

    Kwa mziki huu unaachaje kuipenda Yanga SC kwa mfano.....? 1. Djigui Diara 2. Djuma Shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Dickson Job 5. Yannick Bangala 6. Khalid Aucho 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum Fei Toto 9. Fiston Mayele 10. Stephane Aziz K 11. Bernard Morison Na hawa ndiyo Mabingwa tena wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Teknolojia inayoweza kutatua matatizo mbalimbali Tanzania

    1.0 UTANGULIZI Teknolojia ni suluhisho inayotokana na matumizi ya akili ya mwanadamu baada ya kufanya tafiti au hutokea kwa dharura. Teknolojia inalenga kurahisisha au kutatua changamoto fulani iliyopo katika jamii husika. Teknolojia fulani inaweza kuwa katika taifa moja au taifa moja na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu za kasi ndogo ya maendeleoya nchi nchini Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utajiri wa asili mkubwa duniani, lakini pamoja na kuwa na utajiri huo kasi ya maendeleo ya nchi ni ndogo sana ukilinganisha na rasilimali tulizonazo . Nini chanzo cha hayo yote?1.Kukosekana kwa dira ya taifa. Maendeleo yanahitaji dira kuu ya Taifa ili...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania AIBU: Google yawapa mitaji minono vijana wa Kenya, Rwanda, Uganda huku vijana wa Tanzania wakijadili Simba / Yanga, tunda na k vant

    Google wametoa misaada kupitia black founders programme kwa nchi za Africa kwa mitaji ya milioni 116 na milioni 230 kulingana na uhitaji wa biashara lengo likiwa ni kuzisapoti biashara zinazochipukia ili kutengeneza ajira na kuleta maendeleo. Wanufauka ni Nigeria - nafasi 23 Kenya - Nafasi 12...
  8. jemsic

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania kufikia hatua ya dawa na vifaa tiba bora

    (Source: https://pixabay.com/photos) Magonjwa ya milipuko yamekuwa yakienea katika eneo kubwa sana na kuambukiza watu wengi kwa muda mfupi. Homa ya Uhispania, Virusi Vya Ukimwi na UVIKO-19 ni baadhi ya magonjwa ambayo yamekumba nchi tofautitofauti ikiwemo Tanzania katika historia ya wanadamu...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaazimia kuwa na Chuo cha Vita

    Tanzania inaweza kuwa na Chuo cha Kivita ambacho kitakuwa kinafundisha masuala ya kivita kwa maafisa wakuu wa jeshi. Kwa sasa Tanzania inapeleka wanajeshi wake nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza masuala ya kivita lakini kutokana na umuhimu wa vita Tanzania itakuwa na War Collage Hayo yamesemwa...
  10. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang'ara Japan

    Tanzania imekuwa nchi ya mfano duniani, baada ya Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), kuiweka katika mpango wa kuimarisha kilimo cha uzalishaji wa mpunga barani Afrika na miradi mingine mikubwa ya kimkakati ambayo itatumia mabilioni ya fedha. Japan kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

    Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na: 1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja. 2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC). Asisitiza Vijana kufundishwa aina zote tatu za vita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), leo tarehe 08 Septemba, 2022 jijini Dar es Salaam. Mkuu wa majeshi ya ulinzi (CDF) Jacob John Nkunda amesema dhamira ya kuanzisha chuo cha Taifa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari?

    Nimemsikiliza Shaka akiwa anaongea leo amesema kua Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutoa uhuru kwa wananchi kutoa maoni yao, ushauri na kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari, Ni kweli Tanzania sasa inauhuru wa vyombo vya habari maana magazeti mengi yanaandika kuikosoa serikali kitu...
  14. WATEULE FAMILY

    JamiiForums Tanzania SoC02 Faida ya Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania

    UTANGULIZI Sayansi Ni tawi la maarifa linalohusu nadharia, vipimo, uchunguzi wa hatua kwa hatua na uthibitishaji wa kuwepo au kutokuwepo kwa kitu au jambo katika hali halisi. Tunaliona hili katika historia fupi ya sayansi. Sayansi ilianza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja lakini kadri maarifa...
  15. Moselyn11

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtandao

    Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu. Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam. Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora? Ni mimi huyuhuyu...
  16. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Dimbwi la ajabu lisilo na mipaka wala eneo maalum linaloangamiza vijana wa Kitanzania

    Ilikua ni mapema sana majira ya saa 2 Asubuhi katika kijiji cha Hatuchekani mkoa wa Magharibi nikiwa katika mazungumzo na mzee Haambiliki, Niliweza kubaini vyanzo vya maji tiririka yanayoelekea katika dimbwi la Ajabu na linalotisha,sikuwahi tambua kama katika nchi ya Tanzania kuna Dimbwi...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tanzania haimo kwenye Main List ya walioalikwa Kenya Uapisho wa Ruto

    Hii si fair hata kidogo, sidhani kama nchi ilikuwa obsessed na Uchaguzi wa Kenya kama Tanzania yetu mpaka tumepeleka Rais wetu Mstaafu kusimamia uchaguzi. Yaani nimesoma gazetini wageni waliolikwa na Ruto naona Museveni, Nigeria, Ghana, AK, Ethiopia, Misri mpaka Qatar na Uingereza, China...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sensa kwa sasa haina umuhimu wala faida kubwa kwa maendeleo ya tanzania zitumike njia mpya kupata idadi ya raia kupunguza gharama

    Tanzania ni miongoni mwa taifa linaloyoshiriki katika mchakato wa kupata idadi ya raia wake kwa mfumo wa sensa. Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo sensa ya mwisho kufanyika nchini kabla ya mwaka huu 2022 ilikua sensa ya mwaka 2012 na...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hivi Usalama wa Taifa wanajua matatizo ya Taifa la Tanzania?

    Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa. Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
  20. kennedy nkya

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa Tanzania

    Kwa Utangulizi: Sayansi Ni mmarifa au ujuzi unaopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainshwa hazijathibitishwa.Sayansi imegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ayo makundi ni kama vile;sayansi ya asili(mfano biologia na zologia), sayansi ya umbile(mfano...
Back
Top Bottom