tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Beberu wa Waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake

    Nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanaupiga vita mwenge wa uhuru na baadhi ya mila zetu za kitaifa, lakini huyu beberu wa waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake hata kama hazina maana kwa wakati huu.
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania haiwezi kupatwa na janga la njaa. Tuna akiba ya tani laki 1.5 za Chakula kwenye Ghala la Taifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Jubilei ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dares Salaam tarehe 11 Septemba, 2022 HISTORIA FUPI YA WAWATA Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) ni umoja ulioanzishwa mwaka...
  3. Stranger94

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la Ajira Tanzania: Nini Kifanyike

    UTANGULIZI Tatizo la ajira limekua mtambuka duniani Kwa sasa, nchi nyingi duniani zimekua zikikutana na changamoto hii hususani katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudua anguko la uchumi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo athari za ugonjwa wa virusi vya Corona pamoja na vita...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ni Propagandist kinara kwa sasa hapa Tanzania

    Huo ndiwo ukweli. Haji anaweza kuunda jambo na likakua kwa kimo cha kutisha na kwalo hata kusababisha madhara makubwa na yenye kuleta sintofahamu ndani ya jamii. Haji ndiye binadamu wa kwanza nchini kufanya kazi kwenye vilabu vikubwa vya kisiasa kwa maana ya Yanga na Simba na kote amekubalika...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi na Utawala Bora Tanzania

     MADA; UCHUMI NA UTAWALA BORA  TANZANIA.  UTANGULIZI nchi yeyote ile Ili ikue kiuchumi inahitaji serikali iliyo bora na imara, Kwa maana ya kwamba serikali ambayo misingi ya democrasia na haki za raia. Serikali ambayo itasimamia rasilimali za taifa lake Kwa umakini mkubwa, kuziendeleza na...
  6. May Day

    JamiiForums Tanzania Tasnia ya Filamu Tanzania inakosa "Master mind" wa kuitazama Bongo muvi kibiashara

    Kuna wakati utawasikia baadhi ya Wasanii wa Bongo fleva wakifikia hatua ya kuwashutumu wale waliojitokeza na kukaa katikati yao na soko. Wanachosahau Wasanii wengi ni kuwa kuwa na kipaji ni jambo moja na biashara ni jambo lingine. Ili kipaji kiwe biashara lazima kuwe na Mfanya biashara. Uwezo...
  7. clever_kid

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya Sanaa

    Sanaa inaweza kutumika kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili ya mtu. Wasanii hutumia ufundi na ujuzi mbalimbali kubadili fikra na mawazo yao kuwa vitu vinavyovutia kwa hadhira zao. Kazi za Sanaa zinaweza kuonekana kupitia tanzu za fasihi, uchoraji, ususi, uchongaji, ufinyanzi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ya dhahabu

    vita vimepigwa kwa mabomu na siraha nzito ili kujenga ngome na kasili lenye kuwafanya watumwa na watwana kuishi katika hali ya usawa, pia mapambano hayo yamechochea umoja na mshikamano katika kujenga jumba lenye kutoa makazi kwa vizazi vijavyo na kuhakikisha afya, kwa hakika walimwaga jasho na...
  9. DENG XIAOPING

    JamiiForums Tanzania Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

    - Habari za muda huu wana jamii wenzangu, natumai ni njema. - Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania Jumuiya ya Madola, dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wana jamii wenzangu. 1. Kwanini Taifa la Tanzania lipo Jumuiya ya Madola? 2...
  10. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni Muhimu kujua haya katika Maombolezo ya Malkia Elizabeth

    Hii picha ni miaka ya 1980+ mwanamfalme wa Uingereza Prince Charles alipozuru uwanja wa ndege katika Mji wa Njombe mkoani Iringa akienda kukagua ujenzi wa barabara ya Makambako hadi Songea. Kushoto kwa Mwanamfalme mwenye kombati ya kijivu ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Athuman Kabogo aliyeshika...
  11. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Upili Tanzania

    ELIMU YA UPILI TANZANIA Elimu ni ujuzi na maarifa juu ya jambo fulani,inayomwezesha binadamu kupata uelewa juu ya dhana tofauti. Elimu ziko za aina mbalimbali,ila hugawanywa katika aina kuu mbili nazo ni, elimu rasmi na elimu isiyo rasmi. Elimu rasmi ni elimu inayowasilishwa katika taasisi...
  12. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila tozo inawezekana

    Leo 12:15hrs 10/09/2022 Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi, chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake benki, akitoa anakatwa tozo wakati tayari ameshakatwa kodi ya mfanyakazi (PAYE). Akiitoa aiingize...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila tozo inawezekana

    TANZANIA BILA TOZO INAWEZEKANA. Leo 12:15hrs 10/09/2022 Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi,chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake benki,akitoa anakatwa tozo wakati tayari ameshakatwa kodi ya...
  14. luddo17

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini/kipi kifanyike ili tuwe na elimu bora Tanzania?

    Nikiwa kama mdau wa elimu, nafahamu kwamba kufundisha na ujifunzaji ni mchakato mgumu sana. Unahitaji utekelezaji na ufuatiliaji. Katika insha hii, lengo langu halisi ni kuangalia cha kupaswa kufanywa ili kupatikane ufundishaji na ujifunzaji bora, yaani kwa maneno mengine, tupate elimu bora...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania bila ajali inawezekana

    Habari wanajamvi. Nimekaa na kutafakari ongezeko la àjali za baràbarani ambalo limeikumba nchi yetu. Ajali ambazo zinagharimu maisha ya watu, uharibifu wa Mali na miundombinu, huku zikiacha idadi kubwa ya walemavu, yatima, wajane na wategemezi. Ajali zinazorudisha nyuma maendeleo ya familia na...
  16. mraniwene

    JamiiForums Tanzania SoC02 Samaki Mkunjeni, Ila Mwanangu Msimguse!

    (Mwanzo) Hadithi Fupi “Mamu, Mamu, we Mariamu si nakuita ina maana hunisikii?”, ilisikika sauti ya Mama Ibra kama ilivyo kila siku mida ya saa kumi na moja na nusu akiwa anamuamsha mwanaye. “Amka haraka jamani tutakosa wateja, na wateja ndio pesa. Au unafikiri hivi vitumbua vitajipeleka vyenyewe...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania EU yaidhinisha Tsh. Bil.35 kukabili ugaidi mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

    Mkuu wa diplomasia wa EU Josep Borrell amethibitisha uungaji mkono huo ili kuimarisha ulinzi na kukabiliana na ugaidi baada ya mashambulizi kadhaa ya umwagaji damu yanayohusishwa na wanajihadi kwenye mipaka ya nchi hiyo na Tanzania. Amesema EU iliidhinisha nyongeza ya Ths. Bilioni 35.5 za...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Acha wanasiasa wafaidike na tozo, maana siasa za Tanzania zinahusisha fitina, uzandiki, ngono na ulozi

    Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais. Lakini... 1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina. 2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k...
  19. Championship

    JamiiForums Tanzania Waimbaji kumi bora wa nyimbo za injili kuwahi kutokea hapa Tanzania mpaka sasa

    Vigezo vilivyotumika: 1. Nyimbo zinazoendana na neno la Mungu 2. Kuwepo kwenye imani thabiti ndani ya Kristo 3. Kuwa na malezi ya kiroho na kanisa analohudhuria kama mshirika 4. Muendelezo wa ukuaji wa huduma, ujuzi na ubora wa kazi. Kumbuka, hatulinganishi karama bali namna karama...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Assad: Hasara za Tozo ni kubwa kuliko faida zake, Mawaziri ndio wakatwe kodi

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amezungumzia suala la Tozo wakati akihojiwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM. Profesa Mussa Assad amesema anaamini suala la Tozo lina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali. Amesema “Kuna namna...
Back
Top Bottom