tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania yangu, mazingira yangu

    Tanzania, Tanzania nchi nzuri na inayovutia kila upande ikiwa na watu wenye upendo, furaha na amani. Asubui ndege uimba kwa sauti mubashara, kaskazini wanyama na milima ya vutia, vilima na bahari vyenye ubaridi na upepo mwanana vya pendeza mbele za macho ya watu. Tanzania nchi yenye milima...
  2. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Chama Cha Walimu Tanzania Anzisheni Chuo Kikuu cha Walimu na Bodi ya Walimu Ili Kuondoa Upungufu wa Walimu na Kuthibiti Ubora wa Walimu Tanzania

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) ni chama cha wafanyakazi chenye sifa pekee zifuatazo kulinganisha na vyama vingine vya wafanyakazi nchini Tanzania: Ndiyo chama chenye wanachama wengi kuliko vyama vingine vyote vya wafanyakazi Tanzania; Ndiyo chama ambacho wanachama wake wote ni wasomi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbinu za kupambana na madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia ya nchi katika kilimo nchini Tanzania

    Kutokana na ukuaji wa shughuli za binadamu za uzalishaji kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira Hali inayopelekea kubadilika kwa tabia ya nchi. Aidha shughuli za kibinadamu Kama vile ukataji miti, viwanda, kilimo na usafirishaji vimepelekea mabadiliko hayo kwa wingi. Baadhi ya madhara...
  4. Let_Clarity

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuthamini Sanaa ya Tanzania kwa ajili ya maendeleo ya Jamii na Uchumi

    Mwaka 2019 ulionesha ya kwamba asilimia 13.6 ya pato la Tanzania (Kitomari, 2019) lilitokana na sekta ya sanaa na burudani. Hii ni kujumulisha sanaa ya kuigiza, muziki, uchoraji na michezo. Katika robo ya kwanza ya mwaka huo huo wa 2019, nchi ya Nigeria ilipata asilimia 0.27% ya pato la taifa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania iwe na Vyama vya Siasa vichache ili kuimarisha Taifa

    TANZANIA IWE NA VYAMA VYA SIASA VICHACHE ILI KUIMARISHA TAIFA. Mfumo wa vyama vingi vya siasa unaboresha demokrasia ya nchi kwa kuifanya Serikali chini ya chama tawala iliyopo madarakani kutimiza majukumu kwa ufasaha na uangalizi zaidi. Nchini Tanzania mfumo wa vyama vingi vya siasa ulianza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afrika usisafiri Tanzania usihame

    AFRIKA USISAFIRI, TANZANIA USIHAME Kwanza nilishtuka kwa mshangao wa bashasha baada ya kuona maneno ya Kiswahili katika ardhi ya Korea, “Afrika Safari” ndivyo yalivyosomeka huku yakipambwa na picha za wanyama wa aina mbalimbali kama vile Simba, Chui, Twiga, na Tembo. Furaha yangu ilianza...
  7. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Kampuni 19 za Kimarekani kuangalia fursa za uwekezaji Tanzania

    DAR ES SALAAM, TANZANIA, 13 Septemba, 2022 – Leo Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kimarekani kutembelea Tanzania Bara na Zanzibar. Ziara hiyo itafanyika kutoka tarehe 27...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
  9. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Kwa sheria za Tanzania hii watafungwa wengi

    Mda huu nipo natazama mkutano wa bunge. MKUTANO WA 8 KIKAO CHA 2. Kuna marekebisho ya sheria yanafanyika mda huu. yakiongozwa na wanasheria mkuu wa serikali ila cha kushangaza lugha inayotumika hapa ni kiingereza wakati sheria hiyo inaenda kutumika kwa mtu anaetumia lugha ya kiswahili. Sasa...
  10. Philombe Jr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuwekeze zaidi kwa watoto na vijana kwa maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    TUWEKEZE ZAIDI KWA WATOTO NA VIJANA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YA BAADAE Nianze na methali maarufu ya samaki mkunje angali mbichi,hivyo ndivyo tunavyotakiwa tufanye nchini kwa kutumia rasilimali watu tukiegemea zaidi kwa watoto na vijana kwa ajili ya Tanzania ya baadae. Kwanini watoto na vijana...
  11. Kumbusho Dawson Kagine

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina cha kujifunza kutoka Kenya?

    ❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi Gachagua, VP-Kenya
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Udugu wa Kenya na Tanzania ni wa damu

  13. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania ni nchi moja yenye Serikali mbili

    Tanzania ni nchi moja yenye serikali mbili tofauti…!!!Serikali hizi hutofautiana kwa lugha,muongozo na hata wananchi wake ila cha ajabu wote ni Watanzania na Rais wao ni mmoja. Serikali A hutumia lugha ya kiswahili ili kuwasiliana na wananchi wake walakini serikali B hutumia lugha ya kingereza...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tamko la Balozi wa Tanzania nchini China kuhusu Mtanzania aliyehusishwa na Udhalilishaji wa mwanamke China

    Kutokana na tukio lililosambaa mitandaoni ambapo Usalama wa Umma wa Xi'an uliripoti tukio la wanaume wa Kitanzania kuwanyanyasa wanawake, Ubalozi wa Tanzania nchini China umethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo umesema kuwa umeomba mamlaka kumlinda kijana huyo na uchunguzi kufanyika kupata...
  15. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya juu kwa maendeleo ya Tanzania

    ELIMU YA JUU TANZANIA Elimu ni ujuzi, uelewa na maarifa kuhusu jambo au mambo Fulani. Elimu hupatikana sio tu kwa kufundisha bali hata kwa kujadiliana na kuuliza maswali. Elimu ni ufunguo wa mafanikio ikiwa na maana ya kuwa ni wajibu wa kila mtu kuipata bila kuzingatia hali ya Maisha, jinsia...
  16. Prospogi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali ya Tanzania itumie magari madogo (small SUVs)

    Tanzania, nchi yangu nzuri, inayotajwa kufikia uchumi wa kati wa chini, imebarikiwa kuwa na rasilimali za aina mbalimbali kama vile ardhi nzuri ya kilimo, madini, misitu, n.k; bado inakuza uchumi wake taratibu sana kutokana na changamoto mbalimbali. Moja ya changamoto kubwa sana kwa miaka mingi...
  17. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa Tanzania, CCM kushinda kila term ndivyo itavyokuwa kwa Kenya Rais kuwa Mkikuyu au Mkalenjin

    Big up kwa Kenya kuwa na Demokrasia kiwango cha juu kuzidi Tz lakini linapokuja swala la uraisi kuna utofauti mdogo sana kati ya Tz na Kenya . Kiti cha urais kina mamlaka makubwa sana, hii ni nafasi executive sio ya kuiletea masihara hata kidogo na kuna system tayari ipo kuhakikisha kiti hiki...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Ntafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia

    Ni siku nyingine tena na natumaini wote tupo salama, nimeleta uzi huu kwenu kwa yeyote mwenye ukaribu na tasnia ya filamu. Wakiwemo madirector, maproducer, wasanii na hata wahusika wengineo. Lengo ni kutafuta nafasi kushiriki au kuwa miongoni wa cast katika filamu au tamthilia zijazo. Edwardo...
  19. Mtambo 1272019

    JamiiForums Tanzania SoC02 Suluhu mbadala ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania

    SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA Maana ya ukosefu wa ajira. Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
  20. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Uber, Bolt kurejesha huduma Tanzania

    Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo wakati akizungumza na...
Back
Top Bottom