tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kutuamulia Tanzania na Uganda nini Cha kufanya ni kutudharau?

    Bunge la Ulaya limesema kuwa ni marufuku Tanzania na Uganda kujenga bomba la mafuta na gesi kutoka Uganda kwenda Tanga Tanzania kwakuwa mradi unachafua mazingira na unadhulumu watu linakopita ni sawa? Maswali hapa ni: 1. Wazungu wanapata wapi nguvu hii ya kutuamulia sisi nini kizuri na nini...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta baada ya kauli ya Bunge la Ulaya (EU)

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria ya Katazo la Utoaji Mimba Tanzania na uhalisia wa maisha mtaani

    Miaka inavyosogea ndivyo mabadiliko ya digitali yanazidi kushika kasi, mabadiliko hayo yanaenda sambamba na mabadiliko ya vyakula, vinywaji na dawa zinazotumiwa na binadamu. Hivyo ndivyo ambavyo magonjwa yanayohusu afya ya uzazi yamekuwa yakiongezeka, hii ni kwa jinsia zote Wanaume na Wanawake...
  5. JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Demokrasia ya Tanzania hadi bwana mkubwa aamue iwe

    Hiyo ina maana kwamba bila utashi wa Rais hakutakuwapo na demokrasia hapa Tanzania.
  6. JamiiForums Tanzania Padre Kitima: Uchaguzi wa Tanzania hauna sifa ya huru

    Katibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki? Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ikiwa bara la Afrika na Tanzania hatutaki kuongozwa na watu kama Magufuli, hatutaendelea kamwe!

    Itakuwa Niko kaburini ambako hakuna fahamu za kuelewa chochote kinachoendelea duniani, na ndio itakuwa mwisho wangu wa kushindwa kuelewa mwelekeo wa kimapinduzi makubwa ya kiuchumi ambayo hayati JPM alikuwa akiyaona huko tukiendako kama Taifa. Ni mjinga pekee ambaye anaweza kupinga mwelekeo...
  8. JamiiForums Tanzania Ulaya yatapatapa kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda hadi Tanzania

    Kama wewe ni wale waafrika wanahamaki wanamapinduzi tukiwaita wamagharibi mabeberu kutokana na ulevi wa fikra waliyofanikikiwa kukupandikiza, na kama uko Afrika ya mashariki yafaa uzinduke sasa. Kutokana na mipango ya nchi za maghararibi nchi za Uganda na Tanzania haziruhusiwi kuendeleza miradi...
  9. JamiiForums Tanzania Kinga ya ugonjwa wa Malaria kwa wanawake wajawazito

    Ugonjwa wa Malaria kwa wanawake wanajawazito huleta athari kubwa za kudumaza ukuaji wa mtoto tumboni au kuufanya ujauzito husika uharibike. Ili kuondoa athari hizi, Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka utaratibu wa wanawake wote kupata dozi tatu za dawa ya SP (sulphadoxine+pyrimethamine )...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua kwa Camilius Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi. Sina shaka na utendaji wako uliotukuka, pichani ni Askari wako Inspekta Emmanuel Govella ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

    Salaam Wakuu, Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira. Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani...
  12. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Anuani za Makazi zizingatiwe kuleta maendeleo

    ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi ambapo utekelezaji wake umefanyika mwaka huu kutokana na sera ya Taifa ya posta ya mwaka 2003...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania imetia saini fomu ya kujiunga na muungano wa Chakula Shuleni

    Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya ya mwanafunzi na maendeleo yake kitaaluma. Mhe. Kipanga amesema hayo jijini Dodoma katika hafla ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ndege ya Mizigo (Air Tanzania)

    Utangulzi Kufuatia mpango wa serikali ya Tanzania kuagiza ndege moja ya mizigo (Boeing 767 yenye uwezo wa kubeba tani 52) katika kkufanya biashara na kusaidia katika usafirishaji wa bidhaa za ndani na nje ya nchi. Niiliwaza na kuona kuwa kuna haja ya kulitizama hili mapema ili kuepuka hatua za...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uendelezaji wa maeneo ya wazi Tanzania

    Utangulizi: Yapo maeneo mengi ya wazi ambayo kwa namna moja ama nyingine naona bado hayajapata bahati ya kuendelezwa ili kuweza kuwanufaisha wananchi wa maeneo hayo kutokana na faida zake. Kama maeneo haya ya wazi yataendelezwa, basi naamini kuwa yatasaidia sana wananchi kufanya tafakari za...
  16. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Zimwi la Teknolojia linavyoitafuna Tanzania

    Imeandikwa na Ras Zimba Kwa mujibu wa tovuti ya egscholars.com kupitia andiko lililotolewa tar 16/3/2022 linaonyesha nchi kumi zilizoendelea barani Afrika hasa katika upande wa teknolojia kwa mwaka huu nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Afrika Kusini huku nafasi ya nne ikishikiliwa na Kenya na ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania tujipange kupokea wazungu watakaokimbia baridi kali kwao

    Hali sio nzuri nchi za Ulaya na Marekani, mfumko wa bei ya mafuta, gesi na chakula umevuruga mipango ya serikali na raia ya wazungu. Hivi karibuni majira ya baridi yataikuta Ulaya ikiwa na uhaba wa gesi na umeme kupashia nyumba joto. Hii itawafanya wazungu wengi kuja kujisalimisha nchi za joto...
  18. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sekta ya Kilimo Tanzania katika uchumi kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi

    SEKTA YA KILiMO TANZANI KATIKA KUKUZA UCHUMI. Kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi, pia biashara ambayo ilihusisha mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa ambapo asilimia kubwa ya bidhaa hizo zilihusiana na kilimo mfano majembe na mapanga, ambayo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa malori barabarani yanayoendelea kukatisha maisha ya Watanzania

    Ndugu wana bodi habari ya leo. Niende kwenye mada. Malori ya mizigo yamekuwa mengi sana barabarani kuliko magari ya aina nyingine. Ukibahatika kusafiri kutoka DSM kwenda Mwanza, malori haya yamejaa. Ukisafiri kwenda Mbeya mpaka Iringa malori haya yamejaa. Ukisafiri kutoka Ruvuma kwenda Lindi au...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inahusudu uchaguzi wa Kenya

    Katika mfululizo wetu wa barua kutoka kwa waandishi wa Kiafrika, mwanahabari wa Tanzania Sammy Awami anapendekeza kwamba nchi yake inaweza kuiona Kenya kama mfano wake wa kuigwa kisiasa. Watanzania wamekuwa wakichungulia katika boma la jirani yao - Kenya - wakiwa na mchanganyiko wa kuvutiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…