tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania uko inclusive ukilinganisha na majirani zetu

    Nyerere mim simkubali kwenye mambo kadhaa Ila kwenye swala la ardhi nampongeza sana alicheza kama pele Tanzania hata maskin wa kutupwa unauwezo wa kumiliki ardhi hiki kitu huwezi kukikuta kenya Jiji kama Nairobi upper middle class kumiliki ardhi ni ishu sana lakin Hali ni tofauti sana Kwa Dar...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Mahakama ya Afrika Mashariki, Kwanini Hukumu Zake Hazina Rufaa na Kwanini Zina Puuzwa na Baadhi ya Nchi Washirika Sisi Tanzania Tukiwemo?

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili ya leo, kazi inaendelea... Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambako mwanasheria wako, Wakili Pascal Mayalla, anakuzamisha kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki sura kwa sura. Leo tunaenda SURA...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Hawajui kinachoendelea Tanzania!

    Hakuna CCM tena, Mbatia hajaondolewa na NCCR, kuna sababu kwa nini akina Mbowe &Co. wapo pro Utawala uliopo, they have no choice, na yoyote atalayejaribu ku challenge status quo ataenda na maji, wengi watafwatia, siku moja mtakuja kutambua who pulls the strings na wala siye mnayemdhania...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bakteria Sugu kwa Dawa watajwa kuwa chanzo kingine hatari cha vifo Afrika, Tanzania ikiwemo

    Uchunguzi uliofanywa na Jumuiya ya Kiafrika ya Madawa ya Maabara (ASLM) imeonesha nchi 14 za Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo zinakabiliwa na hatari ya kuongezeka wagonjwa wenye vimelea wasiotibika kutokana na usugu wa dawa. Ripoti hiyo imebaini kuwa ni vimelea vitano tu kati ya 15...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nimeelewa maana ya karma kupitia siasa za Tanzania

    Siasa za Tanzania zinatoa somo zuri sana juu ya karma na namna ya kuwa mtu mwema na wa kufata sheria. James Mbatia Huyu alitumiwa na Magufuli kufanya siasa za hila Mbeya, leo hii yeye kafukuzwa NCCR Mageuzi!
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Wabunge Tanzania wajitutumua kwenye kingereza

    Hongereni...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Shirika la Reli Tanzania wamepata wapi pesa za kununua Magari ya kifahari ilhali hawaliingizii taifa faida yoyote zaidi ya kutoa huduma?

    Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa limewapa ruzuku ama ni faida kutoka katika huduma wanayotoa. Shirika hili za reli linatumia magari...
  8. OHA

    JamiiForums Tanzania Vijana wasomi wa Tanzania

    Kuna haja kubwa ya kutaka kufanya uchunguzi ili kubaini katika elimu ya vijana wanayo pata hapa nchini inawasaidia kitu gani? Kwakuwa swala la katiba ni swala ambalo vijana kama vijana wangekuwa na ari kubwa kulipigania ili kukomboa nchi na kujenga katiba isiyo na ubagudhi kwa mustakabali wa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mageuzi 10 ndani ya Serikali ya Rais Samia yanayo badili sura ya Tanzania Kimataifa

    Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya kiongozi mwenye kariba hiyo. Haya ni baadhi ya mageuzi yanayotekelezwa kwa weledi mkubwa; 1. Mageuzi...
  10. Poker

    JamiiForums Tanzania Morogoro ndio mkoa uliotoa vipaji vingi Tanzania kuliko mikoa mingine.

    Mkoa wa morogoro ndio tunu ya sanaa, burudani na michezo. Huo mkoa umetoa vipaji adhimu na adimu sana na ndio tegemeo kubwa kwa taifa kwenye kuzalisha burudani na michezo. Hapo Morogoro wametoka akina Albert Mangwea, mbaraka mwinshehe, twaha kiduku, francis Cheka, shomari kapombe n.k. Huwezi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Amani iwe nanyi. Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA! Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa Wabunge wapya watakaoiwakilisha Tanzania EALA

    Ndg. Angela Charles Kizigha Ndg. Nadra Juma Mohamed Dkt. Shogo Richard Mlozi Dkt. Abdullah Hasnu Makame Ndg. Machano Ali Machano Ndg. Mashaka Halfan Ngole Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba Ndg. James Kinyasi Millya Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa HakiElimu: Zaidi ya 80% ya Vijana walioko Shuleni hawajawahi na hawahamasishwi kushiriki mikutano ya Kampeni na Siasa

    Ripoti ya Utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kidemokrasia imezinduliwa rasmi Dar es Salaam, leo Alhamisi Septemba 22, 2022 Kamishna wa Elimu Tanzania Dkt. Lyabwene Mtahabwa akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Haki za Wasichana: LHRC yashinda kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mnamo mwaka 2019 kilifungua shauri dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa niaba ya wasichana wa Tanzania katika Kamati ya Afrika ya Wataalamu ya Haki na Ustawi wa Mtoto Shauri hilo lililenga kuwatetea wasichana wa Tanzania wanaopata ujauzito wakiwa bado shuleni...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda yageuka kuwa Tanzania ya vituo vya mafuta

    Bila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu! Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena...
  16. Tryagain

    JamiiForums Tanzania Biashara na mahusiano kati ya Kenya na Tanzania zimeimarika mara mbili zaidi kutoka 2020

    Napitia Takwimu kutoka kenya juu ya kuimarika kwa Biashara kati ya Tanzania na Kenya mara mbili zaidi kutoka Mwaka 2020. Takwimu kutoka nchini Kenya zinaonyesha Biashara kati ya Tanzania na Kenya zimeimarika zaidi. Thamani ya bidhaa zilizosafirishwa kutoka kenya kuja Tanzania zimepanda kwa...
  17. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Habari hizi za kimataifa kwa manufaa ya nani hapa Tanzania?

    Wakongwe wa tasnia ya habari akiwemo mkuu Pascal Mayalla mtanisaidia kujua ukweli wa hili. Kwa muda mrefu redio na TV zimekuwa na hizi habari wanazoziita za kimataifa na wakati mwingine wanavuka na kuzichambua kabisa, kiukweli Sina Shaka na hilo, lakini Shaka inakuja wanatuletea habari za...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazidi kufunguka, sasa kuwakilishwa ktk oscar award na filamu ya vuta n'kuvute

    Soft diplomacy kupitia filamu fupi ya Vuta nN'kuvute imewekwa katika orodha ya filamu 20 kutoka kote duniani ambazo mojawapo itaibuka mshindi katika tamasha la filamu tajwa duniani la Oscar Award. Nchi za Marekani kupitia Hollywood pia India kwa mgongo wa Bollywood zimeweza kutumia tasnia,ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote. Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
Back
Top Bottom