tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Nimesikia Tarime iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania

    Kutoka Radio One asubuhi hii saa 12:50 kipindi cha Nipashe, Nimemsikia msoma risala ya kumuaga Kiongozi mmoja wa JWTZ akisema Chacha Suguti alizaliwa wilaya ya Tarime - mkoa wa Mara uliopo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania!!! Hivi reference point huwa iko wapi tunapotaja hizi locations? Je, ni...
  2. JamiiForums Tanzania Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

    Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga Simba SC ijumaa kwa Mkapa. Ufuatao ndiyo Mchanganuo mzima wa hiyo ahadi ya Tsh Milioni 30 kwa Klabu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Banyamulenge ni wahanga wa Kagame

    Kwa wasiojua, Banyamulenge ni watu wenye asili ya kitutsi wanaopatikana DRC kabla hata ya mipaka ya wazungu, kama ambavyo Wamasai wako Kenya na Tanzania. Tunaongelea zaidi ya miaka 200. Kagame anavyofanya fujo Africa Mashariki watu wote wenye asili ya Rwanda/Burundi wanajikuta wahanga. Hata hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Wapi mvua haijaisha hapa Tanzania hadi sasa

    Habari wana jf. Kamtizamo tu binafsi, inaonekana kwa namna hizi mvua zinavonyesha 2023 inaezakuwa na kaneema kidogo hasa kwenye kilimo, watu wakalima na Wakavuna sana tu japo bei ya Chakula ishuke kidogo.
  5. JamiiForums Tanzania Tunaosoma Open University of Tanzania tukukutane

    Bi kupoteza muda. Mimi ni mgeni hapa wakuu nimecheki haraka haraka sioni thread maalumu ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA THREAD. Nataka kujiunga nisome stashahada ya uzamili na nataka panapo uzima niimalize kwa uharaka na iwe kama upepo wa kisulisuli. Sijawa mwanafunzi bado ila uanafunzi...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi sisi Tanzania Tunashindwa wapi hii kitu?

    Wakati Tanzania Iphone ni kama Lulu, wanawake wanahongwa iphone haijalishi ni mdogo au mkubwa ila wanafuraha sana na kutamba wanatumia "latest Iphone" Wenzetu unapewa simu unalipa $15 kwa mwezi ambazo ni TSHS 30,000 tu Shida ni nini? Hizi hapa ni bei kabla ya punguzo unapewa simu kwa mkopo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

    ..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango. ..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
  8. JamiiForums Tanzania TMA yatahadharisha mvua kubwa mikoa 11 Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinatarajiwa kunyesha katika mikoa 11 ya Tanzania. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa, Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara. Katika taarifa iliyotolewa leo Desemba 27, 2022 na TMA...
  9. JamiiForums Tanzania Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Habari! Serikali ya TANZANIA ina taasisi nyingi, ni zaidi ya 450 kama sitakosea. Kila taasisi iliundwa kwa lengo na dhumini maalumu, ingawa baadhi ya taasisi zimefeli kwa % nyingi kutokana na uongozi mbovu wa taasisi husika au kukosa fedha za kuiendesha. Kuna taasisi hazifai kabisa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Ngumi Tanzania ni wa kimchongo

    Mambo vipi WanaJf na wapenzi wa ndondi kwa ujumla. Hoja yangu ni kwamba mchezo wa Ngumi Tanzania au bongo ni wa Kimchongo sana, sioni maendeleo yoyote ya Ngumi zaidi ya kumtumia Mandonga kuuhadaa wapenzi wa Ngumi. Mapambano yenyewe ya Mandonga ndio yanayobeba event nzima ya siku...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Raia wa Colombia aachiwa huru baada ya kukaa gerezani kwa kesi ya dawa za kulevya kwa miaka nane Tanzania

    Bogotá Colombia 13 OCT 2022 Dar es Salaam 13 Oct 2022 Raia wa Colombia hatimaye ataachiwa baada ya plea bargain US$ 25,000 baada ya kusota katika gereza jijini Dar es Salaam kwa miaka nane tangu mwezi Julai mwaka 2014 hadi mwezi October 2022. Ndugu na jamaa zake waliendesha kampeni kubwa juu...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini mgeni akifika Tanzania Bara haruhusiwi kulipia Visa kwa kutumia Credit card?

    Hivi kuna anayejua kwa nini mgeni akifika TANGANYIKA haruhusiwi kulipa Visa kwa kutumia Credit card ni hadi awe na hela Cash? Hii hulazimu wageni wasio na Visa wajazane kiwanjani wakipanga foleni kwenye ATM kupata hela cash kwa ajili ya kulipia Visa. Nimeandika TANGANYIKA kwa kuwa, kwa upande...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je aina hii ya swala wanapatikana Tanzania?

    Hawa Swala wakubwa kama Ng'ombe Kudu na Sable Antelopes wanapatikana kwenye mbuga zetu? Mimi nawaonaga tu wanapatikana Zambia, Namibia, Botswana n Sauz huko.
  14. JamiiForums Tanzania Data za mwaka 2021, Tanzania na mataifa mengine zikionesha kiwango cha nishati ya umeme kilichozalishwa kwa mwaka Tanzania ina kipi cha kujifunza?

    Data za mwisho wa mwaka wa 2021 ziki onesha viwango vya kinishati ya umene Tanzania pamoja na mataifa mengine walicho zalisha kwa mwaka. Data hizo zili tawaliwa kwa taifa la China kwa kuongoza katika uzalishaji mwingi wa nishati za umeme, liki fuatiwa na taifa la marekani baadae India na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa. Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu zaidi, Mhe Kafulila anasema hata Japan ambayo ni nchi ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Taja sekta ama nyanja ambazo taifa la Tanzania limefanikiwa sana

    Mijadala mingi humu JF ni ya kulalamikia juhudi, mipango na mikakati ya kitaifa inayofanywa na serikali. Watanzania muda wote tunajiona tuko ktk taifa la hovyo na lisilo na jambo jema lolote. Nachotaka kusema hakuna jambo jema ktk sekta yoyote linaloongelewa na watanzania kuhusu taifa lao...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Top Ten Richest Countries in Africa in 2022/23 by GDP 10. Ghana 🇬🇭 73.8 Billion USD 9. Tanzania 🇹🇿 77.5 Billion USD 8. Ethiopia 🇪🇹 105.3 Billion USD 7. Kenya 🇰🇪 114.6 Billion USD 6. Angola 🇦🇴 124 Billion USD 5. Morocco 🇲🇦 133 Billion USD 4. Algeria 🇩🇿 193 Billion USD 3. South Africa 🇿🇦 426...
  18. JamiiForums Tanzania Madai, kesi, na hukumu ya kuruhusu wafungwa kupinga kura ni kielelezo kingine cha maono mafupi ya wanasheria na mawakili wa Tanzania

    Kwenye sheria na mahakamani wanao msemo wa mahakama siyo mama yako. Dhana hii inaelekeza kuwa mahakama itakupa tu kile ulichoomba na kuthibitisha stahiki ya wewe kupewa. Hivi karibuni imetolewa hukumu na mahakama yetu kufuatiwa kuombwa na mawakili kadhaa kuwa wafungwa wanayo stahiki ya kupiga...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Sokoine ndio Waziri Mkuu anayeenziwa kuliko wote Tanzania?

    Hakuwa waziri mkuu wa kwanza, Ila cha ajabu ndio waziri mkuu anayeenziwa kuliko wote hebu tazama, 1. Uwanja wa sokoine mbeya 2. Sokoine University of agriculture 3. Sokoine road Arusha/Dar es salaam 4. Sokoine secondary 5. Sokoine regional refferal hospital lindi 6. kituo cha afya sokoine...
  20. JamiiForums Tanzania Wafungwa wa Tanzania sasa ruksa kupiga kura

    Mahakama Kuu nchini imesema kuwa wafungwa wa makosa ya kawaida ya jinai wana haki ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu. Mahakama hiyo imetamka haki hiyo baada ya kubatilisha kifungu cha 11(1) (c) cha Sheria ya Taifa Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…