tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Binafsi Bado nina imani na Rais Samia kutuletea Tanzania iliyo bora zaidi

    Ndugu zangu pamoja na mambo mengi yaliyopita tangu Tupate uhuru ni wazi kuwa kwa sehemu fulani Rais Samia amekuwa Rais Bora miongoni mwa waliokuwa bora. Hili linakuja kutokana na mchango wake mkubwa hasa ktk kuleta ajira, na kuongeza fedha ktk mzunguko wa miradi ya kitaifa. Kama miradi hiyo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kuna Yoabu? Yoabu huyu hapa, ana nguvu sana

    Utangulizi: Yoabu alikuwa ni Mkuu wa Majeshi au Jemedali wa Jeshi la Israel wakati wa Mfalme Daudi. Habari za Yoabu na Mfalme Daudi utazipata kwa kina ktk Kitabu cha Biblia cha Samweli wa kwanza na Wapili, Mambo ya Nyakati wa kwanza na Wa Pili lakini pia Habari zake zinaanzia Katka kitabu cha...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Uganda na Zambia ni moja ya nchi kumi zitakazopata fursa zaidi ya soko nchini China

    Kwa mara nyingine tena China imeendelea kuonyesha udhati wake kwenye kuzipatia fursa nchi zilizonyuma kiuchumi, kwa kufungua zaidi soko lake na kupunguza masharti ya kuingia kwenye soko. Hatua mpya ya mwelekeo huu ni ile iliyotangazwa na kamisheni ya ushuru ya baraza la serikali ya China...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Boda ya Horohoro (Kenya - Tanzania) vyoo ni vichafu na abiria wanakoma kwa joto (AC hazifanyi kazi)

    Wiki iliyopita nikiwa natoka Kenya kuja TZ kupitia boda ya Horohoro kuna mambo mawii niliyoona na yakanikata na kunifanya nitafakari kuhusu mamlaka zetu hizi za Uhamiaji. Nilikuta mazingira ya vyoo ambavyo vinatumiwa na abiria ni vichafu na vinahatarisha hata afya ya watumiaji, kuanzia...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Balozi Donald Wright: Vijana wa Tanzania wanapenda kuwa huru kujieleza

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald J, Wright amesema katika vijana aliokutana nao wameonesha kutaka kushiriki katika maisha ya kisiasa na kijamii, pia wanataka uhuru wa kujieleza sauti zao zisikike. Ameyasema hayo Desemba 12, 2022 alipoungana na viongozi vijana zaidi ya 400 kutoka nchi...
  6. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Hatima ya shule zilizofutiwa matokeo ni ipi?

    Mustakabali wa shule zilizofutiwa ni upi Msaada kwa mwenye taarifa za BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA)
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa ni Waziri wa Bahati Mbaya kuwahi kutokea katika Wizara ya Michezo Tanzania

    Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup. Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni umri gani kwa mwanasiasa haufai kugombea nafasi za kisiasa Tanzania?

    Kuna hoja huwa inakuja mara kwa mara kwamba "fulani ni mzee sasa anafaa apumzike siasa". hivi kwa Tanzania mtu akifikisha miaka mingapi ndipo ahesabiwe kwamba umri wake haufai kugombea nafasi za kisiasa?? Rais wa sasa wa Marekani Joe Biden ana miaka 80 na kuna uelekeo kwamba anaweza kugombea...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huyu ndege kiboko ya nyoka(Secretary bird) anapatikana wapi Tanzania? Kwa kiswahili anaitwaje?

  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angekuwa hai, Zitto Kabwe angetuelezea vizuri deni la trilioni 91 limefanya nini Tanzania.

    KAMA HAYATI MAGUFULI ANGEKUWA HAI,ZITO KABWE ANGETUELEZEA VIZURI DENI LA TRILIONI 91 LIMEFANYA NINI TANZANIA. Leo 13:15hrs 11/12/2022 Mara ya mwisho kusikia habari ya deni la Taifa ilikuwa kwenye bunge la budget mwaka huu nilipomsikia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Wasambaa ni moja ya watu wenye lafudhi mbovu zaidi Tanzania

    Wako kienyeji enyeji sana, kile Kiswahili mnachokisikia cha watu wa Tanga, ni Wabondei na w Wadigo, Wasamba hamna kitu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavunja rekodi kuwa nchi ya kwanza kusimika Intaneti katika kilele kirefu zaidi cha mlima

    Siku ya jana katika maazimisho ya siku ya uhuru waziri wa habari na mawasiliano alifanikiwa kuzindua internet yenye kasi zaidi katika kilele cha Mlima kilimanjaro chenye urefu wa mita 5,895kutoka usawa wa bahari. Huduma hii ya internet ni sehemu ya kuifungua zaidi Tanzania katika Nyanja za...
  13. imhotep

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaombe Wafanyabiashara wa Tanzania warudishe Mitaji

    Sote tunajua Awamu ya tano ilivyokuwa ikiwapora Wafanyabiashara wa Ndani pamoja na kubambikiwa Kodi zenye nia ya kuwafilisi Wafanyabiashara wetu wa ndani. Kuona hivyo Wafanyabiashara wengi walipekeka Mitaji yao Nchi za Nje. Ni pesa nyingi ya Watanzania iko Nchi jirani. Samia awaombe warudishe...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Sioni maana ya sherehe za uhuru wa Tanganyika, nguvu zihamishiwe kusherekea muungano wa Tanzania

    Tanganyika ipo wapi? Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia? Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania 'Tanganyika' imetawaliwa na wakoloni kwa muda gani?

    Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na wajerumani. Mwaka 1907 vita ya majimaji ikaisha. Mpaka wakati huu mkoloni alikuwa ameishaweka mizizi...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Yusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na maji mchini, amshambulia vikali mwandishi, asema "Kuwa na shukrani".
  18. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Bunge la Peru lamuondoa Rais Madarakani huku Tanzania Mzee Makamba akichochea kuni moto uwake

    Bunge la nchini Peru limemuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo Rais huyo alitangaza kutaka kulivunja bunge la nchi hiyo baada ya bunge kuanza mchakato wa kupiga...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

    Raia huyo wa Iran bwana Hamidreza Mohammad Abraheh alidanganya uhamiaji kwamba ameoa Tanzania, kisha akaanza mipango yake ya hovyo kama kawaida yao...ila wamemshtukia na kumfurusha. Sielewi kwanini hawa watu wasiishi kwa amani dunia hii, wamuabudu 'mungu' wao kwa njia za amani bila kuwa kero...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764 3. Christina Solomon Mndeme Kura...
Back
Top Bottom