tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waandishi wa habari Tanzania hawaongelei rushwa?

    Tumekuwa na taifa la ajabu hasa kwenye waandishi wa siku hizi. Hakuna hata blog mmoja au youtube channel ambayo ni ya rushwa! Wakati ndiyo kitu kikubwa sana wananchi hawakipendi. Tume baki kuangalia tu idadi ya wanawake wa wasanii! 🤔 na umbeya kila siku Nashauri wana habari tengeni muda na...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais Dikteta mwenye Maono ili iendelee

    Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia. Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika...
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

    It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto. Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

    Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya! Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

    Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni. Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania MORUWASA ndiyo mamlaka ya maji ya ovyo sana Tanzania

    1. Maeneo mengi ya Morogoro mjini hayana maji toka June, 2022 wao wamekaa tu kama hawahusiki. 2. Sehemu zinazopata maji hasa eneo la Bong'ola, maji hayo ni machafu na hayatibiwi. 3. Bili haziakisi kiasi cha maji mteja alichotumia 4. Matatizo ya wateja hayafanyiwi kazi 4. Waziri wa maji...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania wanatangaza bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika?

    Kumekuwa na tabia kama sio utaratibu wa nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania kutangazwa kwenye vyombo vya habari bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika. Je, kuna siri au ubaya gani kama idadi ya nafasi ikatajwa kwenye tangazo la ajira. Nilitarajia Jeshi hilo kutoa mfano linahita vijana...
  8. Eagle Wa njano

    JamiiForums Tanzania Je, katiba pekee ndio inaweza kubadili mienendo na siasa za Tanzania? Kama sio basi nini kifanyike kubadili siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla?

    Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili. Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima? All in all ebu...
  9. Billionaire wa Betting

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba kama naweza kupata gari 0 kilometers au kuagiziwa

    Wakuu heshima kwenu, Naomba kufahamu authorized dealers au hata waagizaji wa magari kutoka USA kwa hapa Bongo.
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

    Amani iwe kwenu, Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa. Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu. Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Dua zenu zimekubaliwa: Kenya haitaagiza tena chakula kutoka Tanzania 2023

    Kenya wamepanga kuagiza tani 900,000 za mahindi na tani 600,000 za mchele kutoka nchi kwa njia ya meli kutoka nchi za Amerika Shehena hiyo ya mchele na mahindi ni kwa ajili ya kufidia upungufu wa chakula kwa mwaka 2023 kwa kuwa uzalishaji wa ndani ni mdogo Hii ni habari njema kwa wale...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza kwenu wana JF kuhusu Katiba na nafasi ya Urais Tanzania

    Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar! Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kutumia Mita za Nauli kwenye Taxi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imepanga kufunga mita za kielektroniki kwenye Teksi ambazo zitawawezesha wateja kulipa nauli kulingana na umbali waliosafiri. Vifaa hivyo vipya vya kiteknolojia vinatarajiwa kufungwa kwenye magari hayo kabla ya Juni 2023, hatua...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna tatizo la wataalamu

    Ukiongea na wananchi wa kawaida wana lalamika kuna wasomi wengi sana hawana kazi. Ukiongea na wataalamu wanalalamika hakuna watu wa kutosha wenye ujuzi na taaluma za kazi. Kuna Mtanzania Dr Mushi alifanya PHD yake kwenye hili na link ya kitabu chake iko hapo. Je ni kweli kuna tatizo la...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa adai Kanuni za Uchaguzi Tanzania zimetungwa kinyume na Katiba

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa ameibuka na kukosoa kanuni za uchaguzi zinazotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha chaguzi, akisema zimetungwa kinyume na Katiba ya nchi. Kupitia mahojiano na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Dk Slaa ambaye aliwahi kuwa...
  16. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania: Ukabila na Ukanda sasa rasmi, mwanzo wa kuanguka umoja wa Kitaifa-Uchaguzi wa CCM umedhihirisha!

    Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi. Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri na kwa kila mtu kujionea kwa macho yake yanayoendelea nchini. Kama kuna kielelezo kinajitokeza ili...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: CHADEMA haikwepeki katika kuamua mustakabali wa Tanzania

    Dr. Wilbrod Slaa amesema CHADEMA ndiyo kinara wa kuongoza katiba mpya kwani ipo frontline na imejibainisha kubeba agenda hii ya muhimu kuliko vyama vyote vilivyosajiliwa Tanzania. Dr. W. Slaa anaongeza kuwa njama zozote za kuipiku CHADEMA katika jambo la katiba mpya kwa kukiweka chama hiki cha...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Tanzania kwenye US-Africa Summit ni ipi?

    Tunahudhuria US-Africa Summit huko US je kama Taifa tunapeleka Agenda gan huko? Wawekezaji? Fursa zaidi?
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukomba Wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa wa Kimarekani kuja kuwekeza Tanzania

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni zaidi ya kiongozi, Ni zaidi ya Mwanasiasa,Ni zaidi ya mwanadiplomasia,Ni zaidi ya jasusi wa kiuchumi,Ni zaidi ya komandoo wa Vita ya kiuchumi, Rais Mama Samia Ni mchanganyiko wa hivyo vyote,Ni mjumuiko wa hayo yote, Ni muunganiko wa hayo yote, Ndani yake utayaona hayo...
Back
Top Bottom